DP World inatisha. Musukuma alisema kweli

Kwa hiyo tuliowakabidhi kubaini wizi, kukamata wezi, kushitaki wezi, na kufunga wezi wameshindwa kazi. Sasa kama tatizo ni hilo kwa nini wasishughulikiwe hao wazembe wa kudhibiti wizi, kisha tuweke waadilifu hapo bandarini?

Au ndiyo unataka kuudhibitishia umma wa Watanzania na ulimwengu kwa ujumla kuwa Watanzania wote zaidi ya Milioni 64 pamoja na viongozi waluoshika madaraka kwa Sasa ni wezi?? Mkuu taratibu aisee!!!

Dawa ni kutibu tatizo siyo kukwepa Tatizo. Tujitegemee!!!

Ebu endelea kuniweka sawa, Mkuu, yawezekana itafika wakati nitakuelewa sawia. Asante
Magufuli aliwahi kusema kuna mwaka flani yalipita makontena 60 bandarini hayakuwa recorded popote,hiyo shida ya wizi nchi hii yenye laana haikuanza Kwa samia
 
Dubai ni nchi moja ya nchi ndogo ndogo kadhaa zinazounda nchi moja inayoitwa United Arab Emirates au kwa Kiswahili Umoja wa Falme za Kiarabu.

Huwa sikisii.

Soma zaidi👇🏾

Mama anaupiga mwingi Kimataifa.
Je, ina bendera yake, ofisi za balozi nchini na kwingineko na pia Wana uwakilishi UN? Nielekeze ulipo ubalozi wao nchini nikamsalimie mh. Balozi wa Dubai. Ukiandika kuwa Dubai ni Jimbo mojawapo linalounda nchi za UAE utaeleweka kuliko kukaza macho kudanganya! Au hujui maana ya nchi?
 
Hapa kinachogomba sio miaka ya uwekezaji wala kiasi kilichowekezwa, kinachogomba ni vipengele vya kinyonyaji vilivyopo kwenye ule mkataba, huwezi kututoa sadaka na bandari zetu zote wabara za bahari na maziwa, kwa wajomba tena kwa muda usio na kikomo tukae kimya tu, sisi sio wajinga.

Article 23 ya ule mkataba inazungumzia duration, niambie wameweka miaka mingapi pale mpaka mwisho wa mkataba?
Sema ukweli,tatizo kwenu hapo ni mwarabu na si kingine
 
Msukuma alisema kweli, muone binti akishusha makontena kama anacheza video game👇🏾

Tafsiri ya Kiswahili kwa msaada wa AI:

Hi

Jina langu ni Amna Ghanem.

Mimi ni msimamizi (supervisor) wa uendeshaji kreni (cranes) kwa kutumia rimoti (remote control) katika bandari ya Jabel Ali inayoendeshwa na DP World, mojawapo kati ya bandari zenye shughuli nyingi Zaidi (busiest) ulimwenguni.

Unashuhudia hapa teknolojia ya hali ya juu ambayo imesaidia sana kubadilisha njia za kupakia na kushusha makontena kwenye meli.

Tunaanza na mafunzo kwa kutumia “simulators” zinazoonekana kama kitu halisi. Baada ya mafunzo ya wiki mbili kwenye “simulators” mwanafunzi anakuwa tayari kuanza kazi. Udhibiti wa mbali (remote) unaturuhusu kuendesha kreni (cranes) kutoka umbali wenye usalama kwa kutumia “joysticks” na vifungo badala ya kupanda mita 50 za ngazi kwenda juu ya kreni. Kamera zenye Vihisio (sensors) hukimbiza data kwa njia ya mtandao, ambao unatupa usalama kwa kutywezesha kufanya kazi kwa mbali lakini kama tupo karibu, chini ya vyombo hatari.

Kila siku nikifika hapa DP World naendelea kujisikia kuwa na msisimko wa kazi kwani kila kitu kinabadilika kwa haraka sana, hakuna kitu kinachooneka kipo vilevile kila kukicha.

Ushauri wangu (kwa kijana mwenzangu) ni kulenga kwenda kwenye kazi zenye ugumu, usiende kwa ajili ya wepesi wa kazi, kazi zenye ugumu zitakufanya ujielewe na kujijua wewe ni nani.

Mama anaupiga mwingi Kimataifa.

Shida yetu siyo kumshangaa binti wala mbwembwe za teknolojia, hoja yetu ni mkataba wa kipumbavu ambao anayeweza kuingia nao ni kichaa pekee
 
Kama nchi tunapata Faida gani? Tutaingiza shilingi ngapi kwa haya makontena kushushwa kama vile unacheza video game??
Kwa mujibu wa Waziri Mbarawa tunategemea kuingiza zaidi ya asilimia 60 ya bajeti yetu.

Mama anaupiga mwingi Kimataifa.
 
Msukuma alisema kweli, muone binti akishusha makontena kama anacheza video game👇🏾

Tafsiri ya Kiswahili kwa msaada wa AI:

Hi

Jina langu ni Amna Ghanem.

Mimi ni msimamizi (supervisor) wa uendeshaji kreni (cranes) kwa kutumia rimoti (remote control) katika bandari ya Jabel Ali inayoendeshwa na DP World, mojawapo kati ya bandari zenye shughuli nyingi Zaidi (busiest) ulimwenguni.

Unashuhudia hapa teknolojia ya hali ya juu ambayo imesaidia sana kubadilisha njia za kupakia na kushusha makontena kwenye meli.

Tunaanza na mafunzo kwa kutumia “simulators” zinazoonekana kama kitu halisi. Baada ya mafunzo ya wiki mbili kwenye “simulators” mwanafunzi anakuwa tayari kuanza kazi. Udhibiti wa mbali (remote) unaturuhusu kuendesha kreni (cranes) kutoka umbali wenye usalama kwa kutumia “joysticks” na vifungo badala ya kupanda mita 50 za ngazi kwenda juu ya kreni. Kamera zenye Vihisio (sensors) hukimbiza data kwa njia ya mtandao, ambao unatupa usalama kwa kutywezesha kufanya kazi kwa mbali lakini kama tupo karibu, chini ya vyombo hatari.

Kila siku nikifika hapa DP World naendelea kujisikia kuwa na msisimko wa kazi kwani kila kitu kinabadilika kwa haraka sana, hakuna kitu kinachooneka kipo vilevile kila kukicha.

Ushauri wangu (kwa kijana mwenzangu) ni kulenga kwenda kwenye kazi zenye ugumu, usiende kwa ajili ya wepesi wa kazi, kazi zenye ugumu zitakufanya ujielewe na kujijua wewe ni nani.

Mama anaupiga mwingi Kimataifa.

Wao walimsomesha nasi tunatakiwa tuwekeeze kwenye alimu tusomeshe wa kwetu waje wawashangaze wengine kama sisi tunamvyomshangaa huyu
 
Hapa kinachogomba sio miaka ya uwekezaji wala kiasi kilichowekezwa, kinachogomba ni vipengele vya kinyonyaji vilivyopo kwenye ule mkataba, huwezi kututoa sadaka na bandari zetu zote wabara za bahari na maziwa, kwa wajomba tena kwa muda usio na kikomo tukae kimya tu, sisi sio wajinga.

Article 23 ya ule mkataba inazungumzia duration, niambie wameweka miaka mingapi pale mpaka mwisho wa mkataba?
Tumelijibu sana hilo.

Mama anaupiga mwingi Kimataifa
 
Ipo siku tutabinafsisha airport kwa wachina na wahindi tutabinafsisha mashamba kama tulivyofanya kwenye mbuga za wanyama na gas
 
Wahi mapema kutafuta kazi DP World, inalipa. Ingia hapa👇🏾
Inalipa kweli lakini walichofanya mwaka Jana, kinatia wasiwasi
===
 
Hamna umma unaouelimisha hapa, wewe unahangaika tu, ndio maana tunakuona kama mwanasesere wa mwarabu.
Ungekuwa huelimiki usingekuwepo kwenye huu uzi.

Unemuona Amna Ghanem?

Mama anaupiga mwingi Kimataifa.
 
Vijana wetu wame table propasals kibao za maana za mifumo ya TEHAMA serikalini, tena zenye gharama ndogo na usalama wa kutosha ukilinganisha na za nnje,lakini zinapigwa chini bila sababu yoyote ya msingi, kisha wanapewa makampuni ya nnje kufunga mifumo hiyo kwa gharama maradufu.
unaweza kuleta ushahidi au ni hisia zako tu
 
Msukuma alisema kweli, muone binti akishusha makontena kama anacheza video game👇🏾

Tafsiri ya Kiswahili kwa msaada wa AI:

Hi

Jina langu ni Amna Ghanem.

Mimi ni msimamizi (supervisor) wa uendeshaji kreni (cranes) kwa kutumia rimoti (remote control) katika bandari ya Jabel Ali inayoendeshwa na DP World, mojawapo kati ya bandari zenye shughuli nyingi Zaidi (busiest) ulimwenguni.

Unashuhudia hapa teknolojia ya hali ya juu ambayo imesaidia sana kubadilisha njia za kupakia na kushusha makontena kwenye meli.

Tunaanza na mafunzo kwa kutumia “simulators” zinazoonekana kama kitu halisi. Baada ya mafunzo ya wiki mbili kwenye “simulators” mwanafunzi anakuwa tayari kuanza kazi. Udhibiti wa mbali (remote) unaturuhusu kuendesha kreni (cranes) kutoka umbali wenye usalama kwa kutumia “joysticks” na vifungo badala ya kupanda mita 50 za ngazi kwenda juu ya kreni. Kamera zenye Vihisio (sensors) hukimbiza data kwa njia ya mtandao, ambao unatupa usalama kwa kutywezesha kufanya kazi kwa mbali lakini kama tupo karibu, chini ya vyombo hatari.

Kila siku nikifika hapa DP World naendelea kujisikia kuwa na msisimko wa kazi kwani kila kitu kinabadilika kwa haraka sana, hakuna kitu kinachooneka kipo vilevile kila kukicha.

Ushauri wangu (kwa kijana mwenzangu) ni kulenga kwenda kwenye kazi zenye ugumu, usiende kwa ajili ya wepesi wa kazi, kazi zenye ugumu zitakufanya ujielewe na kujijua wewe ni nani.

Mama anaupiga mwingi Kimataifa.

Kinachogomba kwa DP WORLD yetu inayokuja sio hiki bi mkubwa. Kwani kuna mtu anabisha kuwa pengine watakuja na teknolojia ya robots..?

Bila shaka hakuna!!

Kinachogomba ni hiki: Kwamba itatusaidia nini kuletewa teknolojia ya kiarabu kushusha kontena nyingi kwa muda mfupi huku ukiwa umeuza uhuru (sovereignty) ya watu wako???

Tanganyika hatuwezi kuwa kama Essau aliyeuza urithi wake wa mzaliwa wa kwanza kwa mdogo wake Yakobo kwa chakula kitamu cha dengu cha siku moja na kwenda kukinya kama mavi chooni..!!

Kwa hiyo ishu ni mkataba mbaya. Issue siyo uzuri au ubora wao ktk ku - develop, ku - manage na ku - operate mambo ya bandari..!!

Nyie Wazanzibari lazima muelewe kuwa tatizo letu sio hicho mnachofikiri nyie..!!
 
Back
Top Bottom