DP World inatisha. Musukuma alisema kweli

DP World inatisha. Musukuma alisema kweli

Sagia kunguni ya kibabe sana doh
Labda siyo FaizaFoxy, kila ukisagia kunguni ndiyo nazidi kuuelimisha umma ukweli. Wasio na laana ya ubaguzi watanielewa.

Msukuma alilisema hilo la Bandari, mkamuona muongo, sasa nimewaletea video kabisa kuuthibitisha ukweli wake, hapo msagie hata mavi wacha kunguni, ukweli ukidhihiri uongo hujitenga.

Mama anaupiga mwingi Kimataifa.
 
Wanawake bhana, mnasikitisha!
Umemuona binti wa Kiarabu Amna Ghanem anamwaga darsa la teknolojia za DP World? Anapendeza sana, siyo kusikitisha.

Mnaosikitisha nyinyi msiouona ukweli. Macho mnayo lakini hayaoni, masikio mnayo lakini hayasikii, akili mnazo lakini hazielimiki. poleni sana.

Mama anaupiga mwingi Kimataifa.
 
Tumeshawastukia, tunawajuwa ni kina nani wenye kulazimisha kupitushiwa Mizigo yao bila kulipia bandarini.

Tunafahamu hii ni vita ya kiuchumi na DP World wanafahamu hilo.

Jiulize kwanini TICTS kwa miaka zaidi ya 20 ya uwepo wao Bandarini wamewekeza Dola million 100 tu, wakati DP World kabla haijaanza kazi rasmi wameshawekeza katika kuweka mifumo ya TEHAMA sawa kwa Dola million 500. DP World inatisha.

. Ukipata jibu tujulishe, ukikosa jibu uliza tukusaidie.

Mama anaupiga mwingi Kimataifa.
Swali kwako mtukufu, muwekezaje yeye anapata faida? Naomba kufahamu
 
Tumeshawastukia, tunawajuwa ni kina nani wenye kulazimisha kupitushiwa Mizigo yao bila kulipia bandarini.

Tunafahamu hii ni vita ya kiuchumi na DP World wanafahamu hilo.

Jiulize kwanini TICTS kwa miaka zaidi ya 20 ya uwepo wao Bandarini wamewekeza Dola million 100 tu, wakati DP World kabla haijaanza kazi rasmi wameshawekeza katika kuweka mifumo ya TEHAMA sawa kwa Dola million 500. DP World inatisha.

. Ukipata jibu tujulishe, ukikosa jibu uliza tukusaidie.

Mama anaupiga mwingi Kimataifa.
Hapa kinachogomba sio miaka ya uwekezaji wala kiasi kilichowekezwa, kinachogomba ni vipengele vya kinyonyaji vilivyopo kwenye ule mkataba, huwezi kututoa sadaka na bandari zetu zote wabara za bahari na maziwa, kwa wajomba tena kwa muda usio na kikomo tukae kimya tu, sisi sio wajinga.

Article 23 ya ule mkataba inazungumzia duration, niambie wameweka miaka mingapi pale mpaka mwisho wa mkataba?
 
Hapa kinachogomba sio miaka ya uwekezaji wala kiasi kilichowekezwa, kinachogomba ni vipengele vya kinyonyaji vilivyopo kwenye ule mkataba, huwezi kututoa sadaka na bandari zetu zote wabara za bahari na maziwa, kwa wajomba kwa muda usio na kikomo, sisi sio wajinga.
Mwanakwetu eeeh ni kichekesho
 
Labda siyo FaizaFoxy, kila ukisagia kunguni ndiyo nazidi kuuelimisha umma ukweli. Wasio na laana ya ubaguzi watanielewa.

Msukuma alilisema hilo la Bandari, mkamuona muongo, sasa nimewaletea video kabisa kuuthibitisha ukweli wake, hapo msagie hata mavi wacha kunguni, ukweli ukidhihiri uongo hujitenga.

Mama anaupiga mwingi Kimataifa.
Hamna umma unaouelimisha hapa, wewe unahangaika tu, ndio maana tunakuona kama mwanasesere wa mwarabu.
 
Ww huna AKILI ni kama kuku tu ww unadhani hizo mashine zilijileta hapo zenyewe kenge kweli ww kama watu milion 3 wameweza hivyo Akili za panzi zinajua kuuza bandari tu,UJINGA mkubwa kabisa ,Hv ww wakikutrain hiyo KAZI huwezi kufanya?acha kujidharau,alafu ww una mambupu huyo hana acha kujidharau kaka.
Punguza jazba.

Ndiyo wanakuja hivyo kutufundisha kazi, au hujamsikia Bi Amna Ghanem anachokisema hapo?

Jiulize, kwanini TICTS iliyokuwa inamilikiwa na shirika kubwa duniani la uendeshaji bandari hawajayafanya hayo kwa miaka zaidi ya 20 waliokuwepo bandarini?

Ukipata jibu utaelewa kwanini DP World ni bora kwetu kwa sasa.

Mama anaupiga mwingi Kimataifa.
 
Wanapigwa spana huko insta simchezo kila post watu wanaenda nayo watajua hawajui[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hao maharamia wakiarabu wana kesi kila taifa walipowekeza, kwani huko kote kwenye hayo makesi waliyofunguliwa hakuna mabinti wakuelezea teknolojia ya kushusha mizigo? Jiheshimu.

Samia ni shetani msaliti.
Mtapiga kelele weee lkn mwisho wa siku Mwarabu keshapewa hiyo bandari ya waswahili.
 
Punguza jazba.

Ndiyo wanakuja hivyo kutufundisha kazi, au hujamsikia Bi Amna Ghanem anachokisema hapo?

Jiulize, kwanini TICTS iliyokuwa inamilikiwa na shirika kubwa duniani la uendeshaji bandari hawajayafanya hayo kwa miaka zaidi ya 20 waliokuwepo bandarini?

Ukipata jibu utaelewa kwanini DP World ni bora kwetu kwa sasa.

Mama anaupiga mwingi Kimataifa.
Naona umekomaa na Article 13 pekee. Article 23 umeipitia? Ihusuyo Muda wa mkataba na ukomo
 
FaizaFoxy naomba unipe majibu ya swali hili

Muwekezaji atapata faida gani kwenye utekerezaji wa makubaliano haya?
 
Msukuma alisema kweli, muone binti akishusha makontena kama anacheza video game[emoji1484]

Mama anaupiga mwingi Kimataifa.

Mama unahangaika kama kuku anayetaka kutaga kwa mambo ya kawaida.

Kwako wewe hiyo unaona ni muujiza? Yaani unamshangaa mtumiaji, badala ya kumshangaa mtengenezaji. Hiyo mitambo ametengeneza huyo operator au DP? Kama amenunua tu vilivyotengenezwa, wewe unashindwa nini kununua, na mtengeneza akatoa mafunzo kwa operators.

Ujinga na akili ndogo kweli ni mzigo. Yaani unamshangaa rubani anavyoishusha ndege ya Boeing itua badala ya kumshangaa mtengenezaji aliyewezesha ndege kwa kuguswa tu kitufe inatua, inapaa na kubadili uelekeo.

Ni sawa na kumsifia mtu kuwa ana uwezo wa kula chakula kizuri. Only lunatics can count it a miracle. Kama hawa ndio ambao inasemekana amewapanga watu kwenye mitandao kuitetea DP, amekula hasara kabisa.
 
Back
Top Bottom