DP World kuanza kuendesha bandari ya Dar es Salaam tarehe 01 Novemba 2023

Kelele za Watanganyika kulilia dhidi ya mkataba mbovu wa bandari, hazijasikilizwa na DP WORLD wanaingia rasmi ofisini tarehe 01 November.

Watu walikuwa wanadhani watendaji wa DP WORLD ni Waarabu, hapana, kuna Wazungu, Wahindi, Wafilipino na watu weusi.
Aheri tungeona hao waarabu. Hao wazungu ndio wenye mpango mzima. Siku hizi watakuja na jina wanatoka uarabuni. Huko watapata washirika wa kuwekeza. Wafilipino ni washirika nguvukazi waaminifu na watiifu mradi wale. Kwa hakika mpango mzima ni kupora umiliki wa mali asili na kuwanyonya waafrika. Kwa ujinga wetu hatuoni wazungu wakisema njia pekee ni hivi wanakua wana wenyeji wametayarishwa na kwa ujinga wetu wanakuta kuna wengi wanakubali. DP world kwa hakika ni bomu lingine. Kama kawaida tutashituka wameshatuibia kabisa. Miaka 63 ya uhuru hakila hakuna tusiloliweza wenyewe. Tatizo ni ubinafsi ns ufisadi kwa viongozi wetu kutuingiza kwenye mikataba ya ovyo kwa maslahi yao.
 
Hivi hao Dp world wameanza kazi! Itakua vizuri sana waarabu kushika hapo,
 
Aheri tungeona hao waarabu. Hao wazungu ndio wenye mpango mzima. Siku hizi watakuja na jina wanatoka uarabuni. Huko watapata washirika wa kuwekeza. Wafilipino ni washirika nguvukazi waaminifu na watiifu mradi wale. Kwa hakika mpango mzima ni kupora umiliki wa mali asili na kuwanyonya waafrika. Kwa ujinga wetu hatuoni wazungu wakisema njia pekee ni hivi wanakua wana wenyeji wametayarishwa na kwa ujinga wetu wanakuta kuna wengi wanakubali. DP world kwa hakika ni bomu lingine. Kama kawaida tutashituka wameshatuibia kabisa. Miaka 63 ya uhuru hakila hakuna tusiloliweza wenyewe. Tatizo ni ubinafsi ns ufisadi kwa viongozi wetu kutuingiza kwenye mikataba ya ovyo kwa maslahi yao.

Itapendeza sana Dp world ikiwa chini ya waarabu badala ya mzungu kafiri, wana imani na huruma sana hao ndugu zetu waarabu.
 
Ukituondoa sisi Waafrika, hakuna mtu wa hovyo na asiye na utu, kama mwarabu. Ndiyo maana wamebakia kuuana wenyewe kwa wenyewe wakati wote.

Kama mwarabu hauoni utu wala thamani ya uhai wa mwarabu mwenzake, atakuthamini wewe anayekuita mtwana?

Hapa hapa Tanzania, tembelea makampuni ya Waarabu uone hali ilivyo. Wasikilize wafanyakazi wasio waarabu, ambao huwa ni wachache sana, jinsi wanavyobaguliwa. Tena ukiwa wa dini tofauti, ndiyo mbaya zaidi.
 
Wewe ni mdini sana, na ni mbaguzi vile vile, nakujua vizuri hivyo sio mgeni kwangu

Ulishajiwekea wewe ni mtu wa kubaguliwa, huo ugonjwa ni mbaya sana badilika kaka.
 
Back
Top Bottom