DP World kuanza mchakato wa kuajiri, Wafanyakazi wa TPA wadaiwa kutakiwa kuchagua kwenda DPW au kubaki TPA

DP World kuanza mchakato wa kuajiri, Wafanyakazi wa TPA wadaiwa kutakiwa kuchagua kwenda DPW au kubaki TPA

Mkuu mbona tangazo lipo wazi au mimi ndio sielewi? Huwezi kuwa mtumishi wa serikali halafu hapo hapo ukawa mtumishi wa DPW. Mumishi anachagua abaki TOA au aende DPW na huo ndio utaratibu na hao watumishi wamepewa elimu na muda wa kuchakata suala hili tangu mapema sana.

Kwa ninachofahu na nilichoelewa ni kuwa Ukiamua kwenda DPW utapewa terminal benefits zote kisha unaajiririwa DPW ambapo huko ni private sector na tunajua huko hakuna mbambamba ni kazi kwa kwenda mbele tofauti na serikalini ambako hata uharibu vipi basi unaangaliwa au watakuhamisha kitengo. Lakini private sector huwa wapo strictly.

Sasa hapo ni uamuzi na uchaguzi wa mwajiriwa mwenyewe abaki au aende lakini hakuna aliyetimuliwa wala kulazimishwa kuchagua atakacho
Ninavyowajua hao wafanyakazi wa bandari wemgi watabaki TPA maana DPW watashindwa coz wengi ni wavivu tuuu!!
 
Na msikiti Utajengwa humo humo ndani, muda utaongea tu hawa Akina Tippp Tipp wamepewa Nchi na Elimu yao tunaenda kuifundisha Shuleni! Mungu atusimamie na hawa Wakoloni waliotugeuza watumwa. Daaaah
Ila sio Arabs tu wanaotubabua Sisi wa Swahili, Africans, kila race, wazungu, wa china, wa Hindi, wanatubabua kweli kweli, Ila wabaya wetu ni mijitu myeusi iliyopo madarakani, mi ccm, hawa ndio chanzo cha yote,
Upande mmoja kuna vijana wameamua kuwa chawa wa samia, upande wa pili, wanalia lia, maisha magumu!
Kuna uhusiano wa moja kwa moja Kati ya state of nation Tanzania na majqmbazi yaliyopo ikulu,
 
Wametumia lugha nzuri ambayo haya makondoo yenu yanaenda kuambiwa.Soon mtasikia kelele zao.Subirini wapewe termination letter ya TPA wakishapewa mafao Yao,hapo hakuna Cha Nani Wala Nani.
Maana kisheria hutambuliki kokote,hivyo inatakiwa uombe kazi upya kama mwanachi mwingine

Sikilizia hapo Sasa.
Na hakuna wa kuwapangia,kiufupi waliyokuwa watumishi imekula YOOO.
Hii Serikali Hadi Raha jamani,wanaccm oyeeeeee.
Mpaka wapinzani wakomae si ndio jamani.

Sekta zote pale atakuwa mwalabu na hakuna wa kuulizia,si imewashinda nyinyi🤔.

Mtz labda KULI😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Mleta mada ana upoyoyo fulani hivi.
Unaongea kwa nyodo, jeuri, ngebe na nakujivunia kwasababu tangu udogoni mwako you lived a pampered unaishi Canada hadi kustaaf nakupokea mafao maneno. Mmebaki tu kubeza na kudharau wengine kwa mentality za kishenzi na za kidini.
 
Unaongea kwa nyodo, jeuri, ngebe na nakujivunia kwasababu tangu udogoni mwako you lived a pampered unaishi Canada hadi kustaaf nakupokea mafao maneno. Mmebaki tu kubeza na kudharau wengine kwa mentality za kishenzi na za kidini.
Hiyo ndio mada iliyopo?

harisha tu, ukimaliza nambie.
 
Kwa nini DP WORLD wasiajiri Wafanyakazi wanaowahitaji kwa kuweka matangazo na vigezo
Kuliko kuwa rubuni wa watumishi wa TPA. Maana waarabu Wana historia mbaya sana ya kunyanyasa Wafanyakazi hasa Waafrika, muda wowote unafukuzwa kazi bila kufuata mashart.

Au TPA na DP WORLD wakubaliane ku-transfer some expert kwa muda wakati huo huo wakiendelea na maslahi yao TPA kuliko huu ulaghai wa kikoloni.
 
Pàtatokea redundancy Tu 😂.
Wafanyakazi wengi wa TPA Wana uwezo mdogo,walipeana Kazi kirafiki,Hata kuongea sentence moja ya English Tu wengi hawawezi.

Redundancies lazima itokee , SEMA Sio mbaya wataambulia mamiliioni ya mafao yao
 
DP wana world class standard hakuna longo longo kama unajijua wewe unga unga mwana bora bakia TPA....wako very strictly watanzania nawajua wataanza kulalamika soon.....wako atrictly niamini mm
Walete ufanisi sasa ,maana ndio kinachotakiwa , ule ulelemama na kufanya kazi kwa mazoea viishe ,maana kuna wapumbavu hapo bandarini washajiona miungu watu na kufanya kazi kwa rushwa ,wizi na kujuana

Sent from my Nokia 6.2 using JamiiForums mobile app
 
Kwa watanzania walivyo wajinga wajinga na wavivu nawashauri wabaki TPA!
Hao DPW sio watu wa mchezo wajiandae kwa mchaka mchaka chinja….kama ni mwizi lazima wakutose baharini hawana mchezo ndio maana wanesema wanaotaka kuajiriwa na sio wanaotaka kuamia maana yake unachagua kuacha kazi TPA au kubaki au kwenda kuajiriwa DPW na utasaini mkataba mpya hapo hautozidi miaka mitano….
Kwa watanzania niwajuavyo watapoteza kazi sana hapo…
Na ndio kinachotakiwa , maana hata TPA bandari yenyewe ishawashinda siku nyingi , upumbavu mwingi , kufanya kazi kwa mazoea , kujuana na rushwa

Sent from my Nokia 6.2 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom