DP World kuchukua Eneo la Chuo Cha Polisi Kurasini

Kilichobakia tu sasa ni marinda yenu kuwekwa rehani. Wabeba boksi tutapona.
 
Mama Abdul atatumaliza walahi
 
Kwanini wasichukue ikulu ya Magogoni ambayo haina kazi ?
 
Kwa hiyo Watanzania hawataruhusiwa kuendesha biashara za maroli kwenda nje ya nchi?
Huu Ni uongooo siamini....hizi Ni chuki zenu.
Mizigo analeta kwa meli zake nakumfikishia mteja wake mlangoni kwake haijalishi yuko wapi, nadhani unamuona Dangote, je Dangote aliingiza magari mangapi ya kubeba simenti?
 
Bora wachukue tu maana kijografia ...tulipo leo mzigo ukishuka bandarini mara unaambia uende mbagala mara kigamboni mara buza wafanye hivyo mzigo ushuke tupate siku iyoyoo Kuna ICD mpaka mwenge. Wakati kurasini ni wehemu ya fursa ...ni swala.la.kufikiri tu
 
Mpaka tufike 2030 cjui nn kitakuwa kimebakia mikononi mwa watanganyika😢. Lile la wamasai wa loliondo hakuna aliewapigania leo limetufika wote
 
Sa100 ni kituko, hana uzalendo, asipodhibitiwa atatuuza kwa bei ya rejareja
 
Nilisikia mara ya kwanza wamechukua kota upande wa kota za polisi kule, wamehamia na upande wa pili tena!?
 
Kweli samia umeamua kushupaza shingo? Sitasema tena juu ya hili ! KWA jiwe tulimshauri abadilike akashupaza shingo mpaka nikaandika hapa menemene tekel na persin!!!! Kwako mama samia sitaandika haya ila mpaka nione kweli dp wamepewa hizo exclusive rights ikitokea hivyo nitanawa mikono juu yako na sitakuwa na hatia juu yako nitakususa na kumuachia Mungu.
 
Day sasa huku so kuua ajira tena na kutiana umaskini....sababu kampuni za walipa vizuri in za wazungu tu...waarabu na Asia ni 'hand to mouth' tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…