DP World kuchukua Eneo la Chuo Cha Polisi Kurasini

Siku hizi haiingii tena JF sijui km ataiona comment yako
 
Kwa hili sitavumilia nipo tayari nijichome moto hadharani kwaajili ya watanzia wenzangu, labda Dp world wakinipa mgao na mimi ndo ntakaa kimya

Bila hivyo ntajichoma moto hadharani
Hauna ujasiri huo mtanzania mwenzangu [emoji3] lbd km sio mtanzania halisi
 
Chuo kilijengwa kwa strategy ya ULINZI...Bandari imezuungukwa na Wizara nyeti...

Hii mpaka creche wanaelewa .....Immekwisha!!!
Bandari ndio mlango wa nchi. Tunawapa wageni funguo, milango ya Tanzania bila sisi kuwasimamia, kuwa na oversight. Madawa, silaha, wanyama, madini, watu watapitishwa jinsi DP World inavyotaka.
Hata kuchuku Twiga, Pundamilia , Simba wote . Kinana atakuwa mratibu.
 
Pia nasikia GENTA atauliwa sababu ni muongeaji sana.
 
Nani kasema hawatasimamiwa?

Swisssport wapo pale airport mbona hujawahi kusema ni mlango wa nchi na ipo kampuni ya kigeni inafanya kazi?
 
Naziona hajira myingi Kwa vijana,vijana tumuunge mkono DP World.
 
Kwa hili sitavumilia nipo tayari nijichome moto hadharani kwaajili ya watanzia wenzangu, labda Dp world wakinipa mgao na mimi ndo ntakaa kimya

Bila hivyo ntajichoma moto hadharani
Aahaaaaa
 
kwani ni la babako au la babu yako, unawashwa na nini, tuliza hayo matako yako kafanye mambo yako. Iache serikali ifanye shughuli zake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…