DP World kuchukua Eneo la Chuo Cha Polisi Kurasini

Kwa hili sitavumilia nipo tayari nijichome moto hadharani kwaajili ya watanzia wenzangu, labda Dp world wakinipa mgao na mimi ndo ntakaa kimya

Bila hivyo ntajichoma moto hadharani
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mambo ya mkataba yameanza utekelezaji haraka sana, huku mipango ikianza kufanyika Ili ndugu zetu DP world waanze kufanya kazi mara moja.

Sijui mambo ya Mikataba, lakini DP world katika mkataba wao watachukua pia Eneo la Chuo Cha Polisi Kurasini Kinachosimamiwa na kamishna Msaidizi Mambo Sasa.
Sijajua kwanini serikali haitagazi hatua mbalimbali zinazoendelea za utekelezaji wa mkataba huu , ambao Umekuwa ukipingwa Kwa nguvu na watu wanna, Mwabukusi, Slaa, Padri kitima na Mdude.

Wataalamu Wa serikali na wawakilishi wa DP world walitembelea maeneo ya chuo Cha Polisi Kurasini na kufanya na kuchua vipimo vya mipaka, huku dp world ikijiandaa kulipa fidia zote za uhamishaji wa chuo hicho Cha jeshi.

Jingine linaloendelea , ambalo silijui rasmi. Ni kuwa DP world ataingiza magari zaidi ya 2000 yaani maroli Kwa ajili ya kisafirisha mizigo nje ya nchi, inavyosemekana DP world ndio atakuwa transporter pekee wa kisafirisha mizigo nje ya nchi, na watanzania watabaki Tanzania.

Hizi ni habari zinaukweli lakini nashangaa kwanini Serikali ya Chama Tawala haitoi maendeleo ya utekelezaji wa mradi huu ambao unaendelea kimya kimya kama alivyosema Mangwea "KIMYA KIMYA"

Wachukue tu hayo maeneo tena tulichelewa
 
Hili nalo Jeshi la polisi limsake aliyetoa taarifa hizi. Nimewaona JWTZ linamsaka aliyeandika wameongeza mshahara! Tumefikishwa huku na serikali hii
 
Sasa Kuna shida gani hapo maana mwewe alibakisha vifaranga Sasa ndio amekuja kuvichukua kwenda navyo mawinguni
 
Msoga gang wakiamuaga jambo lenye mihela wako tayari kwa lolote..
Si mnakumbuka escrow..
Wanatujua wabongo ni waoga
 
Mambo ya mkataba yameanza utekelezaji haraka sana, huku mipango ikianza kufanyika Ili ndugu zetu DP world waanze kufanya kazi mara moja.

Sijui mambo ya Mikataba, lakini DP world katika mkataba wao watachukua pia Eneo la Chuo Cha Polisi Kurasini Kinachosimamiwa na kamishna Msaidizi Mambo Sasa.
Sijajua kwanini serikali haitagazi hatua mbalimbali zinazoendelea za utekelezaji wa mkataba huu , ambao Umekuwa ukipingwa Kwa nguvu na watu wanna, Mwabukusi, Slaa, Padri kitima na Mdude.

Wataalamu Wa serikali na wawakilishi wa DP world walitembelea maeneo ya chuo Cha Polisi Kurasini na kufanya na kuchua vipimo vya mipaka, huku dp world ikijiandaa kulipa fidia zote za uhamishaji wa chuo hicho Cha jeshi.

Jingine linaloendelea , ambalo silijui rasmi. Ni kuwa DP world ataingiza magari zaidi ya 2000 yaani maroli Kwa ajili ya kisafirisha mizigo nje ya nchi, inavyosemekana DP world ndio atakuwa transporter pekee wa kisafirisha mizigo nje ya nchi, na watanzania watabaki Tanzania.

Hizi ni habari zinaukweli lakini nashangaa kwanini Serikali ya Chama Tawala haitoi maendeleo ya utekelezaji wa mradi huu ambao unaendelea kimya kimya kama alivyosema Mangwea "KIMYA KIMYA"
"inavyosemekana"..... halafu mwisho unamaliza kwa kusema "huu ndio ukweli".

Hata kama umetuona hamnazo sio kwa kiwango hiki mkuu
 
Kwa hiyo Watanzania hawataruhusiwa kuendesha biashara za maroli kwenda nje ya nchi?
Huu Ni uongooo siamini....hizi Ni chuki zenu.
Nadhan kama utekelezaji WA miradi ukianza lazima hicho kitakuwepo kipengele hicho Cha kuondoa ushindani
 
Mambo ya mkataba yameanza utekelezaji haraka sana, huku mipango ikianza kufanyika Ili ndugu zetu DP world waanze kufanya kazi mara moja.

Sijui mambo ya Mikataba, lakini DP world katika mkataba wao watachukua pia Eneo la Chuo Cha Polisi Kurasini Kinachosimamiwa na kamishna Msaidizi Mambo Sasa.
Sijajua kwanini serikali haitagazi hatua mbalimbali zinazoendelea za utekelezaji wa mkataba huu , ambao Umekuwa ukipingwa Kwa nguvu na watu wanna, Mwabukusi, Slaa, Padri kitima na Mdude.

Wataalamu Wa serikali na wawakilishi wa DP world walitembelea maeneo ya chuo Cha Polisi Kurasini na kufanya na kuchua vipimo vya mipaka, huku dp world ikijiandaa kulipa fidia zote za uhamishaji wa chuo hicho Cha jeshi.

Jingine linaloendelea , ambalo silijui rasmi. Ni kuwa DP world ataingiza magari zaidi ya 2000 yaani maroli Kwa ajili ya kisafirisha mizigo nje ya nchi, inavyosemekana DP world ndio atakuwa transporter pekee wa kisafirisha mizigo nje ya nchi, na watanzania watabaki Tanzania.

Hizi ni habari zinaukweli lakini nashangaa kwanini Serikali ya Chama Tawala haitoi maendeleo ya utekelezaji wa mradi huu ambao unaendelea kimya kimya kama alivyosema Mangwea "KIMYA KIMYA"
Wasisahau kupima na kuchukua lile eneo la Magogoni!!
 
Duu, mambo moto moto. Yaani tayari wamepewa exclusive rights ya eneo la chuo cha polisi na malori yao exclusive rights ya kusafirisha mizigo yote inayoshushwa pale Dar Port kote nchini na nchi jirani. Pamoja na tenka zote za mafuta. Wazawa waliokuwa wakifanya biashara hii basi tena, hayo malori yao watajua pa kuyapeleka.
 
Chuo kilijengwa kwa strategy ya ULINZI...Bandari imezuungukwa na Wizara nyeti...

Hii mpaka creche wanaelewa .....Immekwisha!!!
 
Mambo ya mkataba yameanza utekelezaji haraka sana, huku mipango ikianza kufanyika Ili ndugu zetu DP world waanze kufanya kazi mara moja.

Sijui mambo ya Mikataba, lakini DP world katika mkataba wao watachukua pia Eneo la Chuo Cha Polisi Kurasini Kinachosimamiwa na kamishna Msaidizi Mambo Sasa.
Sijajua kwanini serikali haitagazi hatua mbalimbali zinazoendelea za utekelezaji wa mkataba huu , ambao Umekuwa ukipingwa Kwa nguvu na watu wanna, Mwabukusi, Slaa, Padri kitima na Mdude.

Wataalamu Wa serikali na wawakilishi wa DP world walitembelea maeneo ya chuo Cha Polisi Kurasini na kufanya na kuchua vipimo vya mipaka, huku dp world ikijiandaa kulipa fidia zote za uhamishaji wa chuo hicho Cha jeshi.

Jingine linaloendelea , ambalo silijui rasmi. Ni kuwa DP world ataingiza magari zaidi ya 2000 yaani maroli Kwa ajili ya kisafirisha mizigo nje ya nchi, inavyosemekana DP world ndio atakuwa transporter pekee wa kisafirisha mizigo nje ya nchi, na watanzania watabaki Tanzania.

Hizi ni habari zinaukweli lakini nashangaa kwanini Serikali ya Chama Tawala haitoi maendeleo ya utekelezaji wa mradi huu ambao unaendelea kimya kimya kama alivyosema Mangwea "KIMYA KIMYA"
Tunasubiri mikataba.

Chuo cha polisi kinaweza kuhamishwa kwa faida ya nchi. Tatizo nini?

Wanahamishwa raia itakuwa serikali?
 
Mambo ya mkataba yameanza utekelezaji haraka sana, huku mipango ikianza kufanyika Ili ndugu zetu DP world waanze kufanya kazi mara moja.

Sijui mambo ya Mikataba, lakini DP world katika mkataba wao watachukua pia Eneo la Chuo Cha Polisi Kurasini Kinachosimamiwa na kamishna Msaidizi Mambo Sasa.
Sijajua kwanini serikali haitagazi hatua mbalimbali zinazoendelea za utekelezaji wa mkataba huu , ambao Umekuwa ukipingwa Kwa nguvu na watu wanna, Mwabukusi, Slaa, Padri kitima na Mdude.

Wataalamu Wa serikali na wawakilishi wa DP world walitembelea maeneo ya chuo Cha Polisi Kurasini na kufanya na kuchua vipimo vya mipaka, huku dp world ikijiandaa kulipa fidia zote za uhamishaji wa chuo hicho Cha jeshi.

Jingine linaloendelea , ambalo silijui rasmi. Ni kuwa DP world ataingiza magari zaidi ya 2000 yaani maroli Kwa ajili ya kisafirisha mizigo nje ya nchi, inavyosemekana DP world ndio atakuwa transporter pekee wa kisafirisha mizigo nje ya nchi, na watanzania watabaki Tanzania.

Hizi ni habari zinaukweli lakini nashangaa kwanini Serikali ya Chama Tawala haitoi maendeleo ya utekelezaji wa mradi huu ambao unaendelea kimya kimya kama alivyosema Mangwea "KIMYA KIMYA"
Duuuu!
Salim bin Kleb
Afroil
World Oil
Bakresa
Mo Oil
Kichwabuta
Lake Oil
Mainline nknk

Zote zikae ndani
 
Back
Top Bottom