Na nguvu kubwa inetumika kuaminisha Uma kuwa ni Mkataba Bora.Kwa sababu nguvu kubwa imetumika kuuponda huu mkataba wa maendeleo, sasa tuwache porojo, mkataba ndiyo huu, mseme tatizo nini.
Mama anaupiga mwingi Kimataifa.
Sawa kabisa, sasa weka hiyo ibara ya 20 iliyotajwa hapo Maana kwa kuwekwa hapo ibara ya 20 inamaanisha hicho kifungu ulichokiweka hakitumiki peke yake. Ukikitumia oeke yake unakuwa "out of context".4. Nchi Wanachama hazitakuwa na haki ya kushutumu, kujiondoa, kusimamisha au kusitisha Mkataba huu katika hali yoyote, hata ikitokea ukiukwaji wa mkataba (material breach), mabadiliko ya kimsingi ya hali, kuvunjika kwa uhusiano wa kidiplomasia au kibalozi, au sababu zingine zozote zinazotambuliwa chini ya sheria ya kimataifa. Bila kujali yaliyotajwa hapo juu, mgogoro wowote kati ya Nchi Wanachama kuhusiana na hali kama hizo utashughulikiwa kulingana na mahitaji ya Ibara ya 20 ya Mkataba huu.
Wewe na mama yako ni vichaa, mnatoaje bandari milele? Sasa mkauze visiwa vyenu hapa hakuna kitakacho fanyika bila kubadili vipengele tulivyo shauri vibadilike.Kichaa vile vyema na vizuri ndiyo anaviona kichaa.
Umeshawahi kupimwa kichaa?
Mama anaupiga mwingi kitaifa na Kimataifa.
Kwani mkataba ni wa miaka mingapi kweli? Hapa kijiwe cha kahawa ndilo swali linaloulizwa tu!
Hivi Tanzania ina tafsiri gani zaidi? Tanzania ni Tanzania tu.Nimesoma kinaga ubaga kifungu/sehemu ya 1 hadi 4 na nimegundua haya.
1. Definition au tafsiri ya neno Tanzania ktk mkataba huu haieleweki, haiko wazi na imekaa kimtego.
2. DP WORLD ni wakala wa serikali na DP WORLD nae atakua na mawakala wake(washirika) ambao watakua ni kama wafadhili. Kumbe hapa DP WORLD anaweza kugawa mradi kwa wengine kwa kigezo cha ufadhili, nae akalipwa, na yy akailipa serikali. Kumbe bandari hii inakwenda kuliwa na wataojiita wafadhili wa DP WORLD, DP WORLD wenyewe na Serikali ya Dubei
3.Ukataba huu utakua ni miendelezo wa mikataba mingine maana mkataba unaruhusu kuingiwa kwa mikataba mingine. Hivyo huu unaweza kurekebishwa ila wazee wa kupokea mirungula na chawa akina kitenge wakitia juhudi kidogo basi mikataba ya hovyo inaweza kuingiwa.
4. Mkataba huu unakwenda kuzikabidhi bandari zooote na fursa za bandari zoote nchini kwa DUBAI na DP WORLD yake maana mkataba unasema fursa zote na zozote za bandari zikionekana basi Serikali ya Tanzania inatakiwa kuitaarifu kwanza Dubai ili ione Kama Kuna haja ya kuchangamkia fursa. Huku ndo kusema bandari zetu tanganyika zimeuzwa kwa Dubai kwa ujinga wa kuingia mikataba ya hovyo.
5. Mwisho, Ndug Samia ni lini alitutangazia kwamba anakwenda Dubai kusaini mikataba ktk mambo ya bandari? Na baada ya kusaini ni lini walitupa taarifa kua wamesaini? toka 2022 hadi leo ndo tunapata taarifa ghafla, je tukisema mkataba umevuja tutakua tumetenda dhambi? Mimi nimwambie mheshimiwa kua nchi hii sio yake na Tanganyika sio ya wazanzibari hivyo watanganyika tunahaki ya kushirikishwa na kutaarifiwa na kusikilizwa ktk kila hatua maana watoto wetu mambo ya kiharibika hapa hawana pa kukimbilia, wala hawatokimbilia Zanzibar maana hata Sasa wazanzibar hawatuhitaji watanganyika ktk ardhi yao. Hatma ya watanganyika ni ya watanganyika wenyewe hvyo tunawajibu wa kukataa ujinga Kama Zanzibar wanavyokataa kwa miaka nenda rudi wakidai bara tunawanyonya. Kivyovyote vile tunahitaji tuione sura ya Tanganyika kwaajili yetu watanganyika.
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Kama umeusoma mkataba na hujakiona hiki ππΎ una matatizo ya kusoma, huelewi unachokisoma. Kabla hata hujaufungua ndani makubaliano /mkataba unakutana na hiki ππΎNimesoma kinaga ubaga kifungu/sehemu ya 1 hadi 4 na nimegundua haya.
1. Definition au tafsiri ya neno Tanzania ktk mkataba huu haieleweki, haiko wazi na imekaa kimtego.
2. DP WORLD ni wakala wa serikali na DP WORLD nae atakua na mawakala wake(washirika) ambao watakua ni kama wafadhili. Kumbe hapa DP WORLD anaweza kugawa mradi kwa wengine kwa kigezo cha ufadhili, nae akalipwa, na yy akailipa serikali. Kumbe bandari hii inakwenda kuliwa na wataojiita wafadhili wa DP WORLD, DP WORLD wenyewe na Serikali ya Dubei
3.Ukataba huu utakua ni miendelezo wa mikataba mingine maana mkataba unaruhusu kuingiwa kwa mikataba mingine. Hivyo huu unaweza kurekebishwa ila wazee wa kupokea mirungula na chawa akina kitenge wakitia juhudi kidogo basi mikataba ya hovyo inaweza kuingiwa.
4. Mkataba huu unakwenda kuzikabidhi bandari zooote na fursa za bandari zoote nchini kwa DUBAI na DP WORLD yake maana mkataba unasema fursa zote na zozote za bandari zikionekana basi Serikali ya Tanzania inatakiwa kuitaarifu kwanza Dubai ili ione Kama Kuna haja ya kuchangamkia fursa. Huku ndo kusema bandari zetu tanganyika zimeuzwa kwa Dubai kwa ujinga wa kuingia mikataba ya hovyo.
5. Mwisho, Ndug Samia ni lini alitutangazia kwamba anakwenda Dubai kusaini mikataba ktk mambo ya bandari? Na baada ya kusaini ni lini walitupa taarifa kua wamesaini? toka 2022 hadi leo ndo tunapata taarifa ghafla, je tukisema mkataba umevuja tutakua tumetenda dhambi? Mimi nimwambie mheshimiwa kua nchi hii sio yake na Tanganyika sio ya wazanzibari hivyo watanganyika tunahaki ya kushirikishwa na kutaarifiwa na kusikilizwa ktk kila hatua maana watoto wetu mambo ya kiharibika hapa hawana pa kukimbilia, wala hawatokimbilia Zanzibar maana hata Sasa wazanzibar hawatuhitaji watanganyika ktk ardhi yao. Hatma ya watanganyika ni ya watanganyika wenyewe hvyo tunawajibu wa kukataa ujinga Kama Zanzibar wanavyokataa kwa miaka nenda rudi wakidai bara tunawanyonya. Kivyovyote vile tunahitaji tuione sura ya Tanganyika kwaajili yetu watanganyika.
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Linalosema upotoshaji uendelee?!Waziri Mkuu ameshatoa tamko
Achana na kichwa. Soma contents.View attachment 2669337
Wakuu tuanze na neno partnership hivi ni kweli ni sawa na kuuzwa, kukodishwa, kutolewa bure?
Kilichomo ndani ndio cha muhimu. Contents zile hazifai kuitwa partnership wala IGA. Zile contents ni mkataba.View attachment 2669337