DP WORLD: Mkataba wa Bandari kwa Kiswahili (tafsiri isiyo rasmi)

DP WORLD: Mkataba wa Bandari kwa Kiswahili (tafsiri isiyo rasmi)

Unamtazama kwa uoga tu, unaona mama Samia na kubwabwaja na kuhororoja kwenu kote hana habari. yeye anaupiga mwingi tu, kitaifa na kimataifa.

Naona wewe na anayejiita FRANCIS DA DON mmekuja na wimbo mmoja lakini chorus tofauti. Ni mawakala wa shetani yupi nyinyi?
Maana mkataba huu hapa mbele ya uso wenu hamuoneshi una tatizo lipi? Tatizo lenu mkataba au Waarabu wanaokuja kutuletea maendeleo tuliyoshindwa kujiletea zaidi ya miaka 60 ya uhuru sasa?
Waarabu watuletee maendeleo ndio mnavyofikiri kweli? Jamii zote alizoshukia mwarabu Tanzania zipo nyuma kimaendeleo na sasa anarudi kunyonya tena kama zamani.
 
Waarabu watuletee maendeleo ndio mnavyofikiri kweli? Jamii zote alizoshukia mwarabu Tanzania zipo nyuma kimaendeleo na sasa anarudi kunyonya tena kama zamani.
Naona unaongea kwa hisia bila uhalisia. Kuw nyuma au mbele ni neno linaloweza kutafsirika hsi au chanya inategemeaa na ulivyoliandika au litamka. Hutegemea na jinsi ulivyojazwa ujinga (brain washed).

Mimi kwa kukujibu sitajiweka hasi kabisa mpaka kwanza unijibu maswali yangu bila kuwana chuki isiyo na haki "biased". Swali:

Wewe siyo mstaarabu?
Unafahamu maana ya neno "ustaarabu"?

Kusema Waarabu, nnavyoelewa mimi ni kujumuisha ulimwengu wote wa wanaoongea Kiarabu, au wewe unamaanisha nini kwa neno "Waarabu"?

Tuanzie hapo ili tuelewane bila kuwa na chuki za kijinga "ignorance",
 
1:Tuambie hao Dpw wanapewa Bandari kwa muda wa miaka mingapi
2:Tuambie sababu za kuhitaji na bandari nyingine zote za kwenye maziwa yetu ambazo zipo mbali kuliko za Zanzibar na za Zanzibar hazipo kwenye huo mkataba.
3:Tuambie kwa kina maslahi ya nchi yatakuwa ni yapi hasa iwapo hiyo kampuni italegalega kama TICTS
1) DPW sijaona kwenye mkataba sehemu yoyote inayosema "wanapewa bandari", mkataba huo hapo post #1 , tafadhali tuoneshe labda wengine pametupita.

2) Hapo sijaakuelewa "kuhitaji" umemaanisha nani au nani aliyehitaji? Mana tunaongelea mkataba wa pande mbili. Tnznia na Dubai. Weka wazi hapo ili nasi tuelewe, wenye kuhitaji bandri ziwe na maendeleo ni Tanzania, Dubai au DPW?

3) Kwanini ufikirie kulegalega kama TICTS? Kwani TICTS walioondolewa, wana bandari ipi nyingine duniani wanayofanya kazi au waliyofanya kazi zaidi ya Tanzania?

Nini sababu za kuwaondosha TICTS baada ya kuwepo kwa miaka zaidi ya 25?

DPW wana bandari nyingi sana duniani wanazofanya kazi, ipi kati ya bandari wanazofanya kazi wamelegalega?

Kwanini tuanze kuandikia mate wakati DPW hata mkataba nao wa kuendesha bandari hata moja ya Tanzania, au wewe unao? Tafadhali tuoneshe maana wengine bado hatujauona.
 
Naona umeweka picha picha bila na maandikao uliyoykatakata "out of context, sijaelewa unakusudia nini kwa mabandiko hayo. Ruanzie hapo.
Nshomile wa Muleba

Nimekuuliza swali hapo juu, mbona hujajibu, au huna majibu? Si bora useme kama Shivji kuwa "sina ushahidi".
 
Rais samia bado anayo nafasi ya kurudisha heshima yake ilyopetea ghafla. Hii kashfa ni mbaya kuwahi kutokea katika historia ya dunia hata kina chifu Mangungo hawakufanya hivi.

Hivyo tunamuomba Mama Samia ahutubie Taifa na kutangaza kuachana na huu mkataba wa kuiangamiza Tanganyika.

Inawezekana kwa sasa waliokuzunguka wanafanya kila aina ya robber kuhalalisha huu uhaini. Wanafanya hivyo kwasababu wanalamba asali lakini hawafanyi kwa uhalisia wao.

Rais Samia itisha hutuba ya Taifa ya kuvunja mikataba ya kilaghai nchi yetu kuuzwa kwa waarabu.

Ni bora bandari zibaki tupu kuliko hii aibu ya karne.

Wako Rais wetu kipenzi naamini tutasilizwa.
Mkataba huu hapa post #1, tuoneshe hicho kifungu kilichouza mkataba.

Wacha uongo wewe, hakuna bandari iliyouzwa walaitayouzwa. Mama halihutubii Taifa kwa upuuzi wako wa kijinga.


Hata Profesa Shivji, msomi alyebobea sheria kawaambia "Mnaweza Binafsisha Mahoteli, Hamuwezi Binafsisha bandari", ikiwa kuibinafsisha tu haiwezekani itawezaje kuuzwa.
 
mkataba ni haki yetu kuujuwa kama wananchi na ni haki yetu kukemea mikataba ovu yakifirauni yani ukomo wake haueleweki alafu bado tujione tupo salama apo.?

Sent using Jamii Forums mobile app

Mkataba huo hapost namba moja, unataka haki ipi nyingine?

Unaweza pia kuingia tovutoi ya bunge ukasoma hansards zilizoujadili na kutolewa ufafanuzi.
 
Makubaliano yapi ? Mimi napinga mkataba Hauna uhalali kati ya Tanganyika na Dubai ports world tunataka waliomshauri raisi wajitokeze tuwahoji mambo mengi ambayo wewe huna majibu

Mkataba upo hapo post #1. Anza na kifungu kimoja unachokipinga ni kipi?

Hatutaki ngonjera.
 
Kifungu kipi kimeondoa bandari za Zanzibar? Usiseme uongo. Mkataba huo hapo post #1. Tuoneshe.


Mama anaupiga mwingi Kimataifa.
Huu mkataba upo katika lugha ya kisheria. Kwa mtu asiesoma sheria ni vigumu kuutafsiri. Hilo natumai unalijua, hivyo tusilumbane kwa kuingiza siasa. Zipo hoja za wanasheria walioukosoa. Zifuatiliwe hoja hizo kama upotoshaji au kweli
 
Huu mkataba upo katika lugha ya kisheria. Kwa mtu asiesoma sheria ni vigumu kuutafsiri. Hilo natumai unalijua, hivyo tusilumbane kwa kuingiza siasa. Zipo hoja za wanasheria walioukosoa. Zifuatiliwe hoja hizo kama upotoshaji au kweli
Unafikiri uliandikwa na nani huo kama siyo wanasheria? Hakuna cha lugha za sheria walaa nini, mtu yeyote aliyeenbda shule anauelewa kabisa. Kama ni wanasheria hata Rais anatumia wanasheria.


Kwa hiyo wewe unapinga kwa sababu zipi na kifungu kipi cha huyo mwanasherua wako?

Huo mkataba haukuanzia hapo. Umeanzia na mikataba 36 iliyosainiwa mwaka 2020 mwendazake akiwa hai.


Tatzi hamlielewi nyinyi, wale waaliokuwepo wakati hupo, kina Ndugai na Bashiru ndiyo walijihakikishia madili hayo yanakuja. Sasa wanaona kunateam mpya kabisa na wao wamepigwa kikumbo mbali kabisa huko, ndiyo wanaleta uzushi wote mitandaoni humu, wanalitumia na kanisa, si ndiyo wale wale.


Jisome ushahidi wangu huu hapa:


 
Taaluma ya SHERIA ulisomea wapi bi Faiza?

Taaluma ya kutafsiri mkataba Kutoka kiingereza kwenda Swahili ulifundwa wapi?
Mtandaoni. Elimu kiganjani siku hizi.
 
Unaamini una CAPACITY ya kuargue na Tundu Antipas Lissu au Professor Shivji kwenye mkataba huu Kwa Elimu Yako ya kuokoteza vifungu?

Hakuna kati yao hata mmoja aliyeupinga mkataba Nioneshe kauli yao ya kuupinga mkataba.


Sasa unataka nibishane na mtu ambae hajapinga mkataba wala uhusiano na Dubai?
 
Hakuna kati yao hata mmoja aliyeupinga mkataba Nioneshe kauli yao ya kuupinga mkataba.


Sasa unataka nibishane na mtu ambae hajapinga mkataba wala uhusiano na Dubai?
Ama Kweli,

RUSHWA hupofusha ufahamu.
 
Kifungu Namba 5(4)

"TPA haitaongeza mapendekezo mengine yoyote ya Miradi yoyote ya Awamu ya 1 kuanzia Tarehe ya Kusainiwa hadi tarehe ambayo majadiliano kati ya DPW na TPA kwa Miradi ya Awamu ya 1 yamesitishwa au baada ya kumalizika muda wa miezi 12 kutoka Tarehe ya kusainiwa kwa Mkataba huu, yoyote iliyo ya mapema"


Yaani hata mapendekezo hayaruhusiwi pale yanapohitanika?
 
Back
Top Bottom