Mkataba wa bandari unaopigiwa kelele kila siku usitekelezwe huu hapa , kwa kweli ni aibu kwa watu wanaojiita wabunge kupitisha mkataba uliojaa mapungufu mengi kiasi hicho, nilifikiri wanasiasa wa upinzani wanapotosha kumbe mambo yenyewe yapo hivi aise[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15] tunaenda wapi kama taifa, hili bunge la awamu hii limejivua uchi kuwa hakuna linachokifanya kuisimamia serikali wala kuishauli watu hawa hawafai kurudishwa 2025!
Asubuhi njema leo jumapili tukumbuke kuendelea kuliombea taifa linapita katika miiba mikali na mkataba wa kinyonyaji , tunajuwa mungu hawezi kutuacha na mateso haya atafanya jambo! [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
View attachment 2682567