HORSE POWER
JF-Expert Member
- Feb 22, 2015
- 2,238
- 1,577
Wanoliamini hili jengo na waliomo;kwa kweli niwape pole.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawako huko bungeni kwa ridhaa ya umma, bali waliingizwa huko ndani na Magufuli ili wapitishe azimio la Magufuli kutawala zaidi ya miaka 10. Hivyo wanatii chochote itakacho serikali na sio watakacho wananchi.hatari sana! lile jengo la dodoma watu waliomo mle ni kikundi cha watu kinachoshirikiana na serikali kujiamulia mambo binafsi na wala siyo kwa ajiri ya umma.
Asubuhi njema leo jumapili tukumbuke kuendelea kuliombea taifa linapita katika miiba mikali na mkataba wa kinyonyaji , tunajuwa mungu hawezi kutuacha na mateso haya atafanya jambo! [emoji419][emoji375]Mkataba wa bandari unaopigiwa kelele kila siku usitekelezwe huu hapa , kwa kweli ni aibu kwa watu wanaojiita wabunge kupitisha mkataba uliojaa mapungufu mengi kiasi hicho, nilifikiri wanasiasa wa upinzani wanapotosha kumbe mambo yenyewe yapo hivi aise[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15] tunaenda wapi kama taifa, hili bunge la awamu hii limejivua uchi kuwa hakuna linachokifanya kuisimamia serikali wala kuishauli watu hawa hawafai kurudishwa 2025!
Asubuhi njema leo jumapili tukumbuke kuendelea kuliombea taifa linapita katika miiba mikali na mkataba wa kinyonyaji , tunajuwa mungu hawezi kutuacha na mateso haya atafanya jambo! [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 2682567
Tunapotosha wap mzee?Hivi mkipotosha watu mnzfaidika na nni?
Uho mkata ni fake kama ilivyo I'd yakoTunapotosha wap mzee?
Wanadai walitumia sheria ya PPP, huenda hiyo haina kushindanisha kampuni........lakini kumbuka mjomba ni mama.Hiyo tenda ya KAZI ya kuboresha bandari ni lini ilitangazwa na kampuni ngapi zilishindanishwa
Weka mkataba genuine ulionao tuiilinganishe! Hoja kwa hoja au siyo?Uho mkata ni fake kama ilivyo I'd yako