Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaunga vipi mkono mkataba usio na ukomo?Mkataba nimeuweka kwa Kiswahili kwa msaada wa tafsiri ya Google, kama ulivyo.
Kama kuna makosa ni ya kimtandao, muyaainishe tutayafanyia marekebisho (editing) kidogo kidogo.
Naona Watanzania tunadanyana sana hapa JF. Sasa kila mmoja wetu avione na avisome vipengele vyote walivyokubaliana serikali mbili na tutowe maoni yetu. Tuyajadili kiheshima.
Binafsi nauunga mkono huu mkataba wa maendeleo.
Mama anaupiga mwingi Kimataifa.
TendeDada umepewa sh. Ngapi kuupigia debe huu mkataba??. Huu mkataba ubadilishwe au baadhi ya vifungu vifutwe.
Huyu mwanamke kichaa ndio anaunga mkono huu ujinga.Hiki kipengere ni hatari kuliko hatari yenyewe, yaani hata isipo perform hakuna mtu kujitoa, ni kama ndoa ya kikristo hadi kifo kiwatenge.
“Nchi Wanachama hazitakuwa na haki ya kukemea, kujiondoa, kusimamisha au kusitisha Mkataba huu katika hali yoyote, ikiwa ni pamoja na katika tukio la uvunjaji wa nyenzo, mabadiliko ya msingi ya hali, kukatizwa kwa uhusiano wa kidiplomasia au wa kidiplomasia, au sababu nyingine yoyote inayotambuliwa chini ya sheria ya kimataifa. Bila kujali yaliyotajwa hapo juu, mgogoro wowote kati ya Nchi Wanachama kuhusiana na hali kama hizo utashughulikiwa kulingana na mahitaji ya Ibara ya 20 ya Mkataba huu.”.
Mbona jibu lake lipo sentensi ya mwisho hapo? Isome ibara ya 20. Pia soma ibara ya 5:4.Hiki kipengere ni hatari kuliko hatari yenyewe, yaani hata isipo perform hakuna mtu kujitoa, ni kama ndoa ya kikristo hadi kifo kiwatenge.
“Nchi Wanachama hazitakuwa na haki ya kukemea, kujiondoa, kusimamisha au kusitisha Mkataba huu katika hali yoyote, ikiwa ni pamoja na katika tukio la uvunjaji wa nyenzo, mabadiliko ya msingi ya hali, kukatizwa kwa uhusiano wa kidiplomasia au wa kidiplomasia, au sababu nyingine yoyote inayotambuliwa chini ya sheria ya kimataifa. Bila kujali yaliyotajwa hapo juu, mgogoro wowote kati ya Nchi Wanachama kuhusiana na hali kama hizo utashughulikiwa kulingana na mahitaji ya Ibara ya 20 ya Mkataba huu.”.
Mkataba huo hapo, tuoneshe huo ulaghai uko kifungu kipi?Huu mkataba unakwenda kuingia kwenye vitabu vya kihistoria.
Mkataba wa Kilaghai wa Chifu Hangaya
Yaani ni aibu hata kuutazama
Haitishi kura wala nini, kwa mara ya kwanza kawapa uhuru wa Kuongelea mikataba. Miaka 2 nyuma mlikuwa mnaweza kujadili mkataba wa nchi na nchi ? Mliuonea wapi?Mama kama ni Msikivu wa Wananchi bora aitishe kura ya Ndio au hapana Inchi nzima halafu afanye Maamuzi.
Naona watu wengi hawautaki.
hiki ulichoandika hapa ni lugha gani? ki-Polish? Huko shule ulienda kusomea ujinga au?ΤHΕ lJNlTED REPlJBLlC 0F TANZANIA
Kwasababu hawana AKILI na hivyo maamuzi yao yatakuwa ya hovyo!😊😊
Kwa nini Watu hawaamini Akili na maamuzi ya viongozi wao?
Kwanza hujausoma, na umetoka mtupu hujaelewa chochote, pili huyu mhuni inaonekana ametumia google kutafsiri mkataba halisi ndio maana kimekuja kioja. Kuna maneneo ya kiingereza ndani ya Kiswahili, aliyeleta hiki kitu ni mhuni flani tu mwenye nia ya kipuuzi. Lete mkataba halisi km ulivyoandikwa kwa Kiingereza. Tafsiri iwe rasmi siyo huu upuuziHakuna mkataba mbovu umewahi kutokea kama huu duniani
Samia akishirikiana na waziri na katibu mkuu wameiuza Tanganyika kwa waarabu
Watanganyika amkeni muitete nchi yenu wajukuu na vitukuu vyenu vitazaliwa km watumwa chini ya nchi ya waarabu ambao wameuziwa nchi
Mkumbuke viongozi waliofanya haya wananufaika na uuzwaji huu wa nchi
Kwahiyo kama kuna makosa ya kiutafsiri tuwalalamikie na kulumbana na Google!!Mkataba nimeuweka kwa Kiswahili kwa msaada wa tafsiri ya Google, kama ulivyo.
Kama kuna makosa ni ya kimtandao, muyaainishe tutayafanyia marekebisho (editing) kidogo kidogo.
Sasa km watu wenyewe ni km wewe, mna tofauti gani na nyumbu wa Serengeti. Kuandika hata kwa kiswahili huwezi ndio uelewe mkataba tena wa kimataifa? ni ngumu sana, we baki kuiamini serikali yako na watalaamu wake. Shule siyo rahisi ndio maana wengi waliishia njianiMkataba nimeuweka kwa Kiswahili kwa msaada wa tafsiri ya Google, kama ulivyo.