DP WORLD: Mkataba wa Bandari kwa Kiswahili (tafsiri isiyo rasmi)

DP WORLD: Mkataba wa Bandari kwa Kiswahili (tafsiri isiyo rasmi)

Mimi ngoja niwasaidie ili msiparurane, huyo mama tunanuonea bure.

Nchi inauzwa na Watanganyika wenzetu, wabunge wangekuwa wazalendo wala leo tusingekuwa na mjadala huu.

Tujifunze kuwajuwa maadui wetu halisi badala ya kuangalia na mtu ambaye hana uwezo wa kujuwa ubaya au uzuri wa huu uhuni.

Maadui zetu ni Watanganyika na si Wazanzibar wala waislamu.

Mnaokumbuka kundi la G55 lililoongozwa na Njelu Kasaka mtakuwa najuwa nguvu ya bunge.

Na haya ni madhara aliyotuachia Magufuli hili ndio bunge alilotaka yeye kuwa rubber stamp ya serikali.

Kwa bunge hili hata Lowasa angekaa kwenye uwaziri mkuu mpaka mwisho wa muda wake.
 
Kwa sababu nguvu kubwa imetumika kuuponda huu mkataba wa maendeleo, sasa tuwache porojo, mkataba ndiyo huu, mseme tatizo nini.

Mama anaupiga mwingi Kimataifa.
Soma ibara ya 23, ambapo nchi mwanachama haruhusiwi kuvunja mkataba Kwasababu yoyote Ile, hata kama sababu hiyo inahatarisha usalama wa nchi, kuharibu miundo mbinu( yaani mtu anaharibu miundo mbinu na taarifa za intelijensia unazo. Halafu unamwangalia tu), au wanaonesha kufanya kazi tofauti na Ile mliokubaliana( Mfano: vitendo vinavyoashiria ugaidi. Unatakiwa usichukue hatua yoyote dhidi ya DP WORLD). Sasa mambo ya usalama yanahitaji action on the spot.
Kwahiyo, mkataba ukikuambia huruhusiwi kuingilia hata ukiona violation yoyote ni mkataba HATARI.
Pili haujataja UKOMO wa mkataba.
Tatu, bandari ni suala la MUUNGANO, na ushahidi unaonesha kuwa mambo yote mazuri kutoka nje pande zote za MUUNGANO zinashiriki.
 
Faiza hii bandari wangepewa wa Taliano wa Vatican nahisi ungeupinga mpka ungevuwa ushungi live, Ndugu anamtetea nduguye
mapigo ya moyo, na ndivyo inavyofanyika saa hii, kuna waliokula takrima na kuunga juhudi ila baada ya kuona jina dubai wakadhani ni uarabu wameunga mkumbo hadi kuvua na nguo
Ni kweli ndugu humtetea ndugu hamna geni hapo
 
Mkataba nimeuweka kwa Kiswahili kwa msaada wa tafsiri ya Google, kama ulivyo.

Kama kuna makosa ni ya kimtandao, muyaainishe tutayafanyia marekebisho (editing) kidogo kidogo.

Naona Watanzania tunadanyana sana hapa JF. Sasa kila mmoja wetu avione na avisome vipengele vyote walivyokubaliana serikali mbili na tutowe maoni yetu. Tuyajadili kiheshima.

Binafsi nauunga mkono huu mkataba wa maendeleo.

Mama anaupiga mwingi Kimataifa.
MAKUBALIANO YA SERIKALI
KATI
ΤHΕ lJNlTED REPlJBLlC 0F TANZANIA

Yaani wewe ajuza ni kinara wa kukusea hiyo hapo ndio nini sasa pimbi wewe
 
Wabongo hawawezi kusoma,watasubiria wapotoshaji Kwa minajiri ya Kisiasa wawafafanulie ndio Waanze kuropoka.
Mkataba umeandikwa kwa Kiingereza, bi ajuza anakiri ametoa hii tafsiri akisaidiwa na google. Wengine tuliobahatika kuisoma kupitia lugha rasmi iliyotumika kwenye huo Mkataba tutazidi kuuchambua.

Hizi jitihada za Bi ajuza nina wasiwasi si bure. Hivyo nina swali...nini hatma kama yetu Watanganyika wengi kama tutaendelea kuupinga? Je nguvu zitatumika kutusokomezea hadi tumeze tupende tusipende?
 
Hakuna mkataba mbovu umewahi kutokea kama huu duniani

Samia akishirikiana na waziri na katibu mkuu wameiuza Tanganyika kwa waarabu

Watanganyika amkeni muitete nchi yenu wajukuu na vitukuu vyenu vitazaliwa km watumwa chini ya nchi ya waarabu ambao wameuziwa nchi

Mkumbuke viongozi waliofanya haya wananufaika na uuzwaji huu wa nchi
Tuwekee mkataba Mzuri wa aina hii uliowai kuingia mkuu.
Tuone uzoefu wako katika mikabada,maana huwenda ukasa upo sahihi alafu tunakubishia.
 
Mkataba umeandikwa kwa Kiingereza, bi ajuza anakiri ametoa hii tafsiri akisaidiwa na google. Wengine tuliobahatika kuisoma kupitia lugha rasmi iliyotumika kwenye huo Mkataba tutazidi kuuchambua.

Hizi jitihada za Bi ajuza ninsa wasiwasi si bure. Hata hivyo nina swali...nini hatma kama Watanganyika tulio wengi tutaendelea kuupinga? Je nguvu zitatumika kutusokomezea hadi tumeze tupende tusipende?
Hatma ni hii hapa 👇
 
Mkataba nimeuweka kwa Kiswahili kwa msaada wa tafsiri ya Google, kama ulivyo.

Kama kuna makosa ni ya kimtandao, muyaainishe tutayafanyia marekebisho (editing) kidogo kidogo.

Naona Watanzania tunadanyana sana hapa JF. Sasa kila mmoja wetu avione na avisome vipengele vyote walivyokubaliana serikali mbili na tutowe maoni yetu. Tuyajadili kiheshima.

Binafsi nauunga mkono huu mkataba wa maendeleo.

Mama anaupiga mwingi Kimataifa.
Mkataba nimeuweka kwa Kiswahili kwa msaada wa tafsiri ya Google, kama ulivyo.

Kama kuna makosa ni ya kimtandao, muyaainishe tutayafanyia marekebisho (editing) kidogo kidogo.

Naona Watanzania tunadanyana sana hapa JF. Sasa kila mmoja wetu avione na avisome vipengele vyote walivyokubaliana serikali mbili na tutowe maoni yetu. Tuyajadili kiheshima.

Binafsi nauunga mkono huu mkataba wa maendeleo.

Mama anaupiga mwingi Kimataifa.
Raisi aondolewe kinga ya kutokushtakiwa, mengine tutajua baadae.
 
Mkataba umeandikwa kwa Kiingereza, bi ajuza anakiri ametoa hii tafsiri akisaidiwa na google. Wengine tuliobahatika kuisoma kupitia lugha rasmi iliyotumika kwenye huo Mkataba tutazidi kuuchambua.

Hizi jitihada za Bi ajuza nina wasiwasi si bure. Hivyo nina swali...nini hatma kama yetu Watanganyika wengi kama tutaendelea kuupinga? Je nguvu zitatumika kutusokomezea hadi tumeze tupende tusipende?
Mag3: huyu ajuza kazi yake ni kujipendekeza tuu hana lolote wala.chochote hata hiyo dini anayoipigania wala haendagi msikitini kuswali yaani hiki kimama ni kima kweli
 
Hatma ni hii hapa 👇

Nadhani wewe una shida ya uelewa. Huyu ni Mbunge lakini pamoja na bunge la walaji wa CCM kuridhia, Watanganyika walio wengi hawajaafiki.

Najua Wazanzibar wanaunga mkono mkataba huu kwa asilimia 100% ingawa nashangaa kwa nini hawalalamiki mkataba huu kuwatenga wasinufaike na wao!
 
Nadhani wewe una shida ya uelewa. Huyu ni Mbunge lakini pamoja na bunge la walaji wa CCM kuridhia, Watanganyika walio wengi hawajaafiki.

Najua Wazanzibar wanaunga mkono mkataba huu kwa asilimia 100% ingawa nashangaa kwa nini hawalalamiki mkataba huu kuwatenga wasinufaike nao!
[emoji38][emoji1][emoji23][emoji23]
 
Mag3: huyu ajuza kazi yake ni kujipendekeza tuu hana lolote wala.chochote hata hiyo dini anayoipigania wala haendagi msikitini kuswali yaani hiki kimama ni kima kweli
[emoji23][emoji1][emoji38][emoji38]
 
Aundolewa wapi! Kwenye huu mkataba pendwa na Dubai au kwenye katiba mpya
Kwenye katiba mpya.
ujasiri wa kufanya aliyoyafanya anaupata kwa sababu ana kinga ya kutokushtakiwa hata akiachia madaraka.
Mapungufu ya katiba yanatumika kama kichaka cha kuwapiga/kuwaibia watanzania. Tuamkeni Watanzania.
Tupambanie katika ili iondoe kinga kwa maraisi wote waliopita ili sheria ifuate mkondo wake endapo watabainika kufuja mali za taifa wakati wa uongozi wao.
 
Back
Top Bottom