Kwani miaka mia si sawa na kuuzwa tu. Kwani wakiuza watakuambia? Loliondo leo utasema haijauzwa? Pengine dubai wakikabidhiwa miaka zaidi ya 30 ulikua hujazaliwa😆😂
Nimesikiliza sana na kwa umakini, utetezi ni ule ule kuwa matokeo ya uwekezaji ni makubwa.Mtjibu yote tazama video clip ya jana, hakuna kifungu ambacho hakijajibiwa:
Haya mtabiri.Nimesikiliza sana na kwa umakini, utetezi ni ule ule kuwa matokeo ya uwekezaji ni makubwa.
Narudia tena, mkataba huo utaigharimu CCM kwenye chaguzi zijazo, labda, labda, labda kama Serikali itaweka wazi mikataba ya utekelezaji (HGAs) kwa kuwa inadai itazingatia madai ya upungufu wa IGA yanayotolewa hivi sasa. Nasema hivyo kwa kuwa Wagombea wa CCM, siyo Serikali, ndio watawajibika kujibu maswali ya wapiga kura kuhusu ulinzi wa Rasimali za Taifa, uwekezaji bandari ukiwa mfano
Hoja hiyo sikuitegemea kutoka kwako bi FaizaFoxy.Haya mtabiri.
Imeondoka AA iliyozaa TAA iliyoizaa TANU ilyoizaa CCM, nayo itaondoka ije nyingine.
Tunaondoka Binaadam, itakuwa vyama vya kibinadam?
Sasa kama ndivyo kwamba neno agreement linatafsiri nyingi kutokana na mkhtadha wake, kwa nini ulikuwa unakomaa kwamba siyo mkataba wakati wataalam wa sheria walikwisha toa tafsiri. Na hakika zaidi tafsiri hiyo imefafanuliwa ndani ya Agreement yenyewe sehemu ya utangulizi kifungu B kikiwa kimetafsiri kwamba huo ni mkataba.Nimeandika mara nyingi sana humu, hakuna maneno ya Kiswahili yanayowea kutafsiri Agreement, unaweza kutafsiri makubaliano unaweza kutafsiri mkataba. Mradi uelewe tu ni mkataba wa nini? Au ,akubaliano ya nini?
Wewe nani alitaka umuamini?
Wewe unapenda mkataba? Sema ni mkataba wa nini?
Mbona mambo myepesi yanawahangaisha nyinyi failures?
Sijaiona hoja yako.Hoja hiyo sikuitegemea kutoka kwako bi FaizaFoxy.
Hata kama wewe hufaidiki na uCCM, wanasiasa na viongozi wa CCM wamenufaika na wataendelea kunufaika ikiwa inaongoza nchi. Hilo ndilo lengo kuu la chama chochote cha siasa na Wanasisa. Madai ya Katiba na Tume Huru ni uthibitisho wa hoja yangu.
Halina tafsiri nyingi. Kiswahili ni kifupi, tunajaribu kukufajhamisha, lakini mwisho wa siku, IGA inafata sheria za Kimataifa na haipo kwa Kiswahili, hii mkatba sijuwi makubaliano tunapiga porojo sisi mapoyoyo.Sasa kama ndivyo kwamba neno agreement linatafsiri nyingi kutokana na mkhtadha wake, kwa nini ulikuwa unakomaa kwamba siyo mkataba wakati wataalam wa sheria walikwisha toa tafsiri. Na hakika zaidi tafsiri hiyo imefafanuliwa ndani ya Agreement yenyewe sehemu ya utangulizi kifungu B kikiwa kimetafsiri kwamba huo ni mkataba.
Kama kile kipengele cha uhuru wa kumiliki ardhi ndani ya Tanzania kwa katika kitabaki vile ile😥😥😥.
Naona hatari ya hawa waarabu kudahi uhuru wao maana wana haki ya ardhi, na wataongozwa na sheria zao nini kimebaki hapo,
Tukumbuke Dubai ni mdogo hivyo wanatumia akili kuipanua imaya yao.
na kama uwajuavyo waarabu wakihisi kitu ni chao wapo tayari kufa.
Mimi nahisi kama mkataba sijui makubaliano hayana mwisho ni heri tukauvunja,
-Tuwape watu wenye mwisho ili wajue hapa si kwao
-Tuwape watu watakaofata sheria za nchi- na si sheria zao.
- Tusifanye kosa la kuongoza na wazanzibar tena yakitukuta wao watakimbilia kwao ,sisi tutakimbilia sijui wapi.
Nawasilisha.
#Kataa Muungano ,Muungano ni utapeli
Umelipwa shi ngapi?Mkataba huo hapo post namba moja tuoneshe hicho kipengele unachokiaongelea.
Siku hizi kuna Dirham jijini Dar. Nani alipwe pesa za madafu?Umelipwa shi ngapi?
Kauze kwenu zanzibar?
Nmecoat mara ngapi vipengels vyenye utata kwako ukajibu kihisia,
Ukitaka twende hoja hakikisha unaweka hoja sitaki hisia Hapa,
"Habari ya sisi hatuwezi" sitaki
DP World siyo tatizo kabisa; tatizo ni mktaba unaowaleta. JPM hangekubali mktaba huo wa kijinga hivyo.
Tulishausoma mama we; una matatizo. Wasioona matatizo ya mktaba huo wakiwa madarakani ndio matatizo zaidi.Mkataba wa IGA huo hapo post namba moja, tujadiiane wapi kwenye tatizo lisilojijibu lenyewe kwenye huo mkataba wa IGA. Au kuna mwengine zaidi ya huu mnaouongelea?
Mmarekani kajua kutugombanisha!Faiza hii bandari wangepewa wa Taliano wa Vatican nahisi ungeupinga mpka ungevuwa ushungi live, Ndugu anamtetea nduguye
Ukishagundua kuwa Dubai siyo nchi... Utabaini kuwa Mmarekani kafanikisha kutugombanisha!Mkataba wa IGA huo hapo post namba moja, tujadiiane wapi kwenye tatizo lisilojijibu lenyewe kwenye huo mkataba wa IGA. Au kuna mwengine zaidi ya huu mnaouongelea?
Tatizo machawa wa viongozi wanawapotosha na kuwafanya waonekane wana akili kubwa sana kuliko wengine!😊😊
Kwanini Watu hawaamini Akili na maamuzi ya viongozi wao?