FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
- Thread starter
- #641
Kwani miaka mia si sawa na kuuzwa tu. Kwani wakiuza watakuambia? Loliondo leo utasema haijauzwa? Pengine dubai wakikabidhiwa miaka zaidi ya 30 ulikua hujazaliwa😆😂
Pitia post namba moja halafu tuoneshe hiyo miaka 100 iko wapi> Kifungu kipi?
A