Steven Joel Ntamusano
JF-Expert Member
- Jun 17, 2023
- 5,203
- 3,913
Utakavyoona inafaa yote sawa tu.Bandari yetu au bandari zetu??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utakavyoona inafaa yote sawa tu.Bandari yetu au bandari zetu??
Usikimbilie kusema unapiga porojo sasa wewe si ume weka mkataba tu discuss au unatuchora jibu kwa hoja basiUnapiga porojo, unatafsiri utakavyo na vifungu vipo wazi. Jisomee👇🏾 utueleze ni nini hiki👇🏾
MAKALA YA 22
MAREKEBISHO YA BAADAYE
Mkataba huu unaweza kubadilishwa wakati wowote, kwa maandishi, kwa makubaliano ya pamoja ya Nchi Wanachama. Hakuna marekebisho ya Mkataba huu yatakuwa na athari bila makubaliano kwa saini na kuridhia na / au kupitishwa kwa nyaraka zinazofaa na Nchi Wanachama.
Mama anaupiga mwingi Kimataifa.
Nikosoe kwa hoja mkuu muite kabudi anipinge watu wengi ccm hamjui sheria mlizo tunga wenyeweUmeandika mengi ambayo huna uhakika nayo.
Mbaguzi huyo pia anaweza kuwa ni miongoni mwa hawa watoto wa juzi juzi.Ubovu wake uko wapi?
😆😄😂Hiki kipengere ni hatari kuliko hatari yenyewe, yaani hata isipo perform hakuna mtu kujitoa, ni kama ndoa ya kikristo hadi kifo kiwatenge.
“Nchi Wanachama hazitakuwa na haki ya kukemea, kujiondoa, kusimamisha au kusitisha Mkataba huu katika hali yoyote, ikiwa ni pamoja na katika tukio la uvunjaji wa nyenzo, mabadiliko ya msingi ya hali, kukatizwa kwa uhusiano wa kidiplomasia au wa kidiplomasia, au sababu nyingine yoyote inayotambuliwa chini ya sheria ya kimataifa”.
Halafu kuna mimbuzi inaunga mkono hilo
Walahi bora tuandamane tu Samia Out
Nasema oorojo kwa sababu unabuni vitu kichwani mwako na mkataba upo. Nukuu kifungu kinachokupa shida, hapa hatujadili mawazo yako, tunajadiki nkataba.Usikimbilie kusema unapiga porojo sasa wewe si ume weka mkataba tu discuss au unatuchora jibu kwa hoja basi
Leta "version yako ambayo siyo ya "kunjunga". Tuloiweka hapa, vifungu vyake vilivyomo ni hivi...Baaada ya kelele kuwa kubwa mkaleta version ya kunjunga ila kutulaghai.
| |||
| |||
SEHEMU YA I | 7 |
UFAFANUZI, UFAFANUZI NA UPEO | 7 |
MAKALA YA I | 7 |
UFAFANUZI NA UFAFANUZI | 7 |
PART Il | 12 |
MAJUKUMU YA JUMLA | 12 |
MAKALA YA 2 | 13 |
MALENGO YA MKATABA | 13 |
MAKALA YA 3 | 14 |
USHIRIKIANO | 14 |
MAKALA YA 12 | 20 |
ULINZI NA USALAMA | 20 |
MAKALA YA 13 | 21 |
MAUDHUI YA NDANI, AJIRA NA UWAJIBIKAJI WA KIJAMII WA USHIRIKA | 21 |
MAKALA YA 14 | 23 |
MATUMIZI YA | 23 |
MAKALA YA 15 | 23 |
VIWANGO VYA MAZINGIRA, AFYA YA KAZI, KIJAMII NA USALAMA | 23 |
MAKALA YA 16 | 24 |
VIWANGO VYA KIUFUNDI | 24 |
MAKALA YA 17 | 24 |
HAKI ZA KAZI | 24 |
SEHEMU YA Ill | 25 |
UTAWALA WA FEDHA | 25 |
MAKALA YA 18 | 25 |
KODI, WAJIBU NA TOZO NYINGINE | 25 |
SEHEMU YA IV | 25 |
MASHARTI YA MWISHO | 25 |
MAKALA YA 19 | 25 |
MFULULIZO WA SERIKALI | 25 |
MAKALA YA 20 | 26 |
MAKAZI YA MIGOGORO | 26 |
MAKALA YA 21 | 27 |
SHERIA YA UTAWALA | 27 |
MAKALA YA 22 | 27 |
MAREKEBISHO YA BAADAYE | 27 |
MAKALA YA 23 | 27 |
MUDA NA KUKOMESHA | 27 |
MAKALA YA 24 | 28 |
UHIFADHI, LUGHA NA VIAMBATANISHO | 28 |
MAKALA YA 25 | 29 |
KUINGIA KATIKA NGUVU | 29 |
Huu ni ukurasa wa mwanzo kabisa wa mkatab soma vizzuri utueleze ni nini hujakielewa hapa...Sasa wewe ni mjuaji wa kuiba bandari zetu za Tanganyika na kuziacha za Zanzibar? Hapo Mimi nimeweka hoja kulingana na mkataba lkn wewe unajibu kutoka makalioni hebu achaa upuuzi
Kwaiyo ni sawa mkataba usainiwe Dodoma alafu mgogoro ukitokea arbitration ikafanyike south Afrika?Porojo kwa sababu unabuni vitu kichwsni mwako na mkataba upo. Nukuu kifungu kinachokupa shida, hapa hatujadili mawazo yako, tunajadiki nkataba.
Tena nawachora sana mnavyohaha baada ya kuuweka mkataba hapa.
Usimtishe ntu kwa juandamana, kaendamane tu, ni haki yako.
Leo mna kauli ya kusema mtaandamana, miaka miwili nyuna hata jwinyu mlikuwa hamfanyi.
Ma shaa Allah.Neema za mama hizo.
Mama anaupiga mwingi Kimataifa.
Hebu niwekee hapaSoma kifungu cha 20 mwanzo mpaka mwisho.
Unauliza kuhusu bandari za "zenj", mbona sijaona bandari za Tanga Mtwara, Kigoma zikitajwa? Au hazi"po Tanzania?
Mama anaupiga mwingi Kimataifa.
Hoja yako ipo kifungu cha ngapi?Sasa wewe ni mjuaji wa kuiba bandari zetu za Tanganyika na kuziacha za Zanzibar? Hapo Mimi nimeweka hoja kulingana na mkataba lkn wewe unajibu kutoka makalioni hebu achaa upuuzi
Sawa kabisa, "neutral ground". Mkaaba wa nchi mbili kama una mzozo unatatuliwa nchi ya tatu. Tena hapo sisi tuna advantage, kwanza South Afrika ipo karibu sana na sisi ukilinganisha na wataotokea Dubai, halafu tunaushirikiano wa SADC naSoth Africa. Usisahau hilo.Kwaiyo ni sawa mkataba usainiwe Dodoma alafu mgogoro ukitokea arbitration ikafanyike south Afrika?
FaizaFoxy mmekosea kitu kimoja tu nyie wana CCM. Na kosa hili ni kuweka wazi ujinga na uchafu wenu huu...Kwa sababu nguvu kubwa imetumika kuuponda huu mkataba wa maendeleo, sasa tuwache porojo, mkataba ndiyo huu, mseme tatizo nini.
Mama anaupiga mwingi Kimataifa.
Hichi chakula?