Averos
JF-Expert Member
- Aug 6, 2010
- 993
- 703
SanaAhsante.
Mama anaupiga mwingi Kimataifa.
Allah amfanyie wepesi kwa kila zito
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SanaAhsante.
Mama anaupiga mwingi Kimataifa.
Kwenye mikopo wanapewa gawio......ikija kwenye Bandari, ya Zanzibar inafichwaKwenye fedha za COVID 19 tulikuwa pamoja
Umechagua upande unaokufurahisha na ukaja na jumuisho lako. Kosa lile lile linalofanywa na wasomi wetu wengi.Hatari ya mkataba huu ni:
Hatutaweza kuuvunja hata kama wao watavunja makubaliano/ sheria za nchi yetu Ila wao wanaweza kuuvunja mda wowote
Hatutaweza kuendeleza bandari nyingine yeyote Tanzania bara bila ruhusa ya dpw.
Ardhi yeyote watakayo ihitaji watapewa na serikali bila masharti yoyote.
Makubaliano au mkataba huu ni WA milele mpaka labda bahari au maziwa yakauke au wao waamue kuuvunja.
TRA haitahusika kukusanya Kodi isipokuwa TPA itatoza vigharama vyake vidogo kwa sheria za Tanzania au makubaliano mapya kati ya TPA na dpw kuhusu hizo tozo.
Kuajiri au kusomesha wafanya kazi wa kitanzania itakuwa ni hiari ya dpw na SI vinginevyo.
Kwa makubaliano haya inabidi tubadili sheria na katiba ya nchi kwenye sheria Zinazohusu bandari n.k.
Kiufupi ni utapeli mtupu.
Na hii imesainiwa tu kwa sababu Kuna watu wanakwenda kuwa ma share holders.
Madalali ya warabu yaliyohongwa utayajua tu.1. Uhuru umepitiliza
2. Ujuaji mwingi
3. Njaa (Kuna wakosoaji wengine wanatumika na maadui zetu kuhakikisha hatupigi hatua) rejea battle la Bwawa la mwl Nyerere na ujasiri wa mwendazake.
4. Kutafuta kutrend na kuonekana (wanasiasa wanaingia hapa)
Umeandika mengi ambayo huna uhakika nayo.Ubovu wa huu mkataba ni obligation za dubai hakuna ila kwa upande wa Tanzania kila kitu ni shall. Na pia mkataba hauna muda maalum wa ukomo na pia mkataba huu umegeuka ibara ya 63(3)(e) huu ni just mkataba tuu siyo treaty kwahiyo bunge halina mamlaka ya kuratify na bunge liki ratify treaty inamana inakuwa sheria binding. Pia mkataba umejichanganya haweki wazi kati ya mahakama na bunge ni kipi kiuchambue huu mkataba vitu ni vingi in short mkataba huu uliandaliwa na upande mmoja alafu sisi viongozi wa Tanzania tuka weka sahihi kwa maelezo ya Mkataba huu hata ikitokea dp world wakavunja masharti ya mkataba Nchi ya Tanzania haina mamlaka ya kujitoa kwenye mkataba huo. Ndugu kwani huu ni mkataba tuu au ndoa ya kikatoliki?
Huu mkataba ni tricky na una loop holes kibao za kuleta migogoro mfano sheria itakayo tumika ni ya uingereza hapo hapo unaambiwa mgogoro ukitokea tuta utatua kwa njia ya arbitration Nchini south Afrika swali langu ni moja kwa wataalamu wa private international law hii ni sawa? mgogoro lazima utatuliwe pale ulipo anzia. Haya ndiyo mavitu ya rushwa kusafiri hovyo kutatua migogoro ya Tanzania kwenye nchi za watu. Sheria itumike ya jamuhuri ya muungano wa Tanzania. Neno shall limetumika hapa kuikandamiza Tanzania kama sisi ndiyo weaker party kwenye mkataba yani shall limetumika mpaka nashangaa tunapelekeashwa vp na hawa mabedui? Tanzania sio nchi dhaifu kiasi hicho neno shall litumike kutudhoofisha
Wakati tunahongwa we ulikuwepo?Natafutaje na nimeuliza jukwaani hapa kwa nyie mliohongwa kanzu na halua
Sasa "mbuzi" anaefata porojo ya mtu JF aliyejuibandikia tu uharo wake bila kunukuu kifungu chochote cha mkataba au "mbuzi" anaeufata mkataba uliowekwa JF?Halafu kuna mimbuzi inaunga mkono hilo
Walahi bora tuandamane tu Sir 100 Out
Kwanini mtetee mkataba ambao hauna ukomo?Wakati tunahongwa we ulikuwepo?
Ukomo wa mkataba ni muda gani na kwanini bandari ya zenji haipo?Sasa "mbuzi" anaefata porojo ya mtu JF aliyejuibandikia tu uharo wake bila kunukuu kifungu chochote cha mkataba au "mbuzi" anaeufata mkataba uliowekwa JF?
Wewe kifungu kipi kinachokufanya usiuunge mkono mkataba?
Ukishibdwa kukiweka utaelewa mbuzi ni nani.
Mama anaupiga mwingi Kimataifa.
Wakodishwe kwanza ya kwao wapate faidaKwenye mikopo wanapewa gawio......ikija kwenye Bandari, ya Zanzibar inafichwa
Wakati mnachukua mbona hamkuuliza hilo swali? kodisheni bandari yenu ya Zanzibar mpate faida au nyie hamtaki faida?Kwani fedha za covid ni fedha za muungano.
Ana mambo ya hovyo sn huyu ajuzaDuh, hiyo ndiyo busara na hekima yako?
Kosa lile lile la wajuaji wa JF, kudhani kuwa kilichosainiwa bungeni ndio kinachokwenda kutumika katika utendaji wa kibiashara.Hatari ya mkataba huu ni:
Hatutaweza kuuvunja hata kama wao watavunja makubaliano/ sheria za nchi yetu Ila wao wanaweza kuuvunja mda wowote
Hatutaweza kuendeleza bandari nyingine yeyote Tanzania bara bila ruhusa ya dpw.
Ardhi yeyote watakayo ihitaji watapewa na serikali bila masharti yoyote.
Makubaliano au mkataba huu ni WA milele mpaka labda bahari au maziwa yakauke au wao waamue kuuvunja.
TRA haitahusika kukusanya Kodi isipokuwa TPA itatoza vigharama vyake vidogo kwa sheria za Tanzania au makubaliano mapya kati ya TPA na dpw kuhusu hizo tozo.
Kuajiri au kusomesha wafanya kazi wa kitanzania itakuwa ni hiari ya dpw na SI vinginevyo.
Kwa makubaliano haya inabidi tubadili sheria na katiba ya nchi kwenye sheria Zinazohusu bandari n.k.
Kiufupi ni utapeli mtupu.
Na hii imesainiwa tu kwa sababu Kuna watu wanakwenda kuwa ma share holders.
Soma kifungu cha 20 mwanzo mpaka mwisho.Ukomo wa mkataba ni muda gani na kwanini bandari ya zenji haipo?
Kilichosainiwa bungeni ni mkataba Mama, hauwezi kuwa na ukomo, hii mikataba ya kiutendaji itakayosainiwa baadae ndio inaweza kuwa na ukomo.Ukomo wa mkataba ni muda gani na kwanini bandari ya zenji haipo?
Siyo kweli, soma article 20, inonesha mpaka namna ya kutatuwa matatizo yakitokea.Hatari ya mkataba huu ni:
Hatutaweza kuuvunja hata kama wao watavunja makubaliano/ sheria za nchi yetu Ila wao wanaweza kuuvunja mda wowote
Hatutaweza kuendeleza bandari nyingine yeyote Tanzania bara bila ruhusa ya dpw.
Ardhi yeyote watakayo ihitaji watapewa na serikali bila masharti yoyote.
Makubaliano au mkataba huu ni WA milele mpaka labda bahari au maziwa yakauke au wao waamue kuuvunja.
TRA haitahusika kukusanya Kodi isipokuwa TPA itatoza vigharama vyake vidogo kwa sheria za Tanzania au makubaliano mapya kati ya TPA na dpw kuhusu hizo tozo.
Kuajiri au kusomesha wafanya kazi wa kitanzania itakuwa ni hiari ya dpw na SI vinginevyo.
Kwa makubaliano haya inabidi tubadili sheria na katiba ya nchi kwenye sheria Zinazohusu bandari n.k.
Kiufupi ni utapeli mtupu.
Na hii imesainiwa tu kwa sababu Kuna watu wanakwenda kuwa ma share holders.
Bandari yetu au bandari zetu??Kilichosainiwa bungeni ni mkataba Mama, hauwezi kuwa na ukomo, hii mikataba ya kiutendaji itakayosainiwa baadae ndio inaweza kuwa na ukomo.
Suala la Zenji kutokuwepo ni la kikatiba. Pia muwekezaji anaitumia bandari yetu ili aweze kufika DRC na Rwanda kwenye mali anazozitaka. Vipi huko Zenji zipo hizo mali anazozitaka?.