Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tumeshadangsnysna sana mitandaoni kuhudu huu mkataba wa ushirikiano wa maendeleo.Waswahili wanasema kikulacho ki nguoni mwako. Siamini kama haya yanayoendelea yanatokea kwa bahati mbaya. Badala ya kupambana na public, tujiulize tumefikajefikaje hapa? Kwa interest za nani?
Wakati wa awamu ya pili suala la IOC nusura lilete balaa. Mwalimu Nyerere aliandika kitabu kuhusu uongozi na hatma ya Tanzania. Na alisema wazi, Rais lazima alindwe. hatuwezi kukubali kuona Rais anatolewa kwa njia haramu kabla ya muda wake wa uongozi. Na alienda mbali kwa kutaja majina ya watu ambao alisema walimshauri vibaya Rais. Akawataja hadharani akisema wajiuzuru. Nia yake ilikuwa ni kuonyesha kuwa dhamana ya uongozi ni kitu kikubwa na uRais ni taasisi. Rais anashauriwa maana sio mtaalamu wa kila kitu.
Nchi kama zetu hizi tusianze kuchezea uongozi mkuu wa nchi. Gharama yake inaweza kuwa kubwa bila sababu ya msingi. Huu mkataba unaombwa ubadilishwe baadhi ya vipengele. Ni hivyo vipengele? Maana shida ya mwanadamu ni kupata fursa na madaraka, wakati mwingine.
Really? Kila mtu ana uelewa huo? Huko ndani huko kuna nini? Nani ni nani? Maana problem is not out there..problem iko huko ndaniTumeshadangsnysna sana mitandaoni kuhudu huu mkataba wa ushirikiano wa maendeleo.
Sasa upo wazi, kila mmoja ajio neemwenyewe.
Walitudanganya kuwa mkataba hauna ukomo. Ukomo tunauona wazi kwenye vioengele zaidi ya kimoja, mkataba umeonesha mpaka njia na hatua za kuchukuwa kabla ya kufikia ukomo.
Mama anaupiga mwingi Kimataifa.
Dada'ngu FaizaFoxy umetuletea jambo zuri. Pamoja na kuuweka mkataba kwa kiswahili kibovu cha gugo unaeleweka kwa mtu yoyote anayependa kusoma.Moja ya sababu, wanasiasa wengi ni waongo sana.
Mama anaupiga mwingi Kimataifa.
Umelipwa sh ngapi?Hiyo shida yako haihusiani na huu mkataba wa maendeleo. Kafunguwe uzi unaohusu shida yako, tutakuja kuchangia. Usituchanganyie mada.
Hapa tunaongelea nkataba baina ya Nchi mbili kama ulivyo, tena nenda kafute uongo wako wa kusema huu ni nkataba wa kampuni.
Mama anaupiga mwingi Kimataifa.
Nampenda sana Mama Samia. Amefanya mema mengi sana kwa muda mfupi sana.Dada'ngu FaizaFoxy umetuletea jambo zuri. Pamoja na kuuweka mkataba kwa kiswahili kibovu cha gugo unaeleweka kwa mtu yoyote anayependa kusoma.
Umaliziaji wako wa mama anaupiga mwingi unapoteza ile maana yote ya mjadala huu. Unaingiza ushabiki ambao hauna maana.
Umelipwa sh ngapi?Hiki ni kipengele muhimu sana ili tuendelee kunifaika mpaka mwisho wa mkataba
Hao jamaa hata kwa dawa hawawezi invest tz, contracts yao ishakosa mantiki.Sisi Watanzania tunawataka DP World. Tena haraka sana.
Mama Samia anaupiga mwingi Kimataifa.
We utakuwa raia wa sudani ya kusini usiyotaka mema kwa Tanzania
Mkuu, umevisoma vipegere vyote? Umevirudia kuvisoma mara ngapi?Mkataba nimeuweka kwa Kiswahili kwa msaada wa tafsiri ya Google, kama ulivyo.
Kama kuna makosa ni ya kimtandao, muyaainishe tutayafanyia marekebisho (editing) kidogo kidogo.
Naona Watanzania tunadanyana sana hapa JF. Sasa kila mmoja wetu avione na avisome vipengele vyote walivyokubaliana serikali mbili na tutowe maoni yetu. Tuyajadili kiheshima.
Binafsi nauunga mkono huu mkataba wa maendeleo.
Mama anaupiga mwingi Kimataifa.
Mleta mada hii tunayojadili alisema Mwalimu alikuwa kiongozi mbovu na akamfungilia uzi. Nilisikitika sana.Nia yake ilikuwa ni kuonyesha kuwa dhamana ya uongozi ni kitu kikubwa na uRais ni taasisi. Rais anashauriwa maana sio mtaalamu wa kila kitu.
Waende Comoro kwenye maeneo menginya kuweka gati nyingi! Ut tugati watuache. Hata hivyo hiyo ni kampuni kubwa kw nini iangaike na nchi masiki?Sisi vijigati tu, wala. Siyo bandari yote vinatutowa roho.
Imetumika Google translator na limeabdikwa hilo post za mwanzo mwanzo tu. Unaonesha umekurupuka bila ya kuupitia mjadala.Fasili mbaya utafikiri imetumika google translator
Nyuzi nyingi nimefunguwa kuhusu Nyerere, iweke hiyo unnayosema halafu tukamjadili.Mleta mada hii tunayojadili alisema Mwalimu alikuwa kiongozi mbovu na akamfungilia uzi. Nilisikitika sana.
Mkataba nimeuweka kwa Kiswahili kwa msaada wa tafsiri ya Google, kama ulivyo.
Kama kuna makosa ni ya kimtandao, muyaainishe tutayafanyia marekebisho (editing) kidogo kidogo.
Naona Watanzania tunadanyana sana hapa JF. Sasa kila mmoja wetu avione na avisome vipengele vyote walivyokubaliana serikali mbili na tutowe maoni yetu. Tuyajadili kiheshima.
Binafsi nauunga mkono huu mkataba wa maendeleo.
Mama anaupiga mwingi Kimataifa.
Tafadhali tuwekee na ule original wa lugha ya kiingereza ya kisheria. Hii itawezesha wasomi tuliomo humu kutoa mapendekezo na marekebisho yetu ya kitalaam kipengele kwa kipengele kwa serikali kuyafanyia maboresho.Mkataba nimeuweka kwa Kiswahili kwa msaada wa tafsiri ya Google, kama ulivyo.
Kama kuna makosa ni ya kimtandao, muyaainishe tutayafanyia marekebisho (editing) kidogo kidogo.