DP WORLD: Mkataba wa Bandari kwa Kiswahili (tafsiri isiyo rasmi)

DP WORLD: Mkataba wa Bandari kwa Kiswahili (tafsiri isiyo rasmi)

Waswahili wanasema kikulacho ki nguoni mwako. Siamini kama haya yanayoendelea yanatokea kwa bahati mbaya. Badala ya kupambana na public, tujiulize tumefikajefikaje hapa? Kwa interest za nani?

Wakati wa awamu ya pili suala la IOC nusura lilete balaa. Mwalimu Nyerere aliandika kitabu kuhusu uongozi na hatma ya Tanzania. Na alisema wazi, Rais lazima alindwe. hatuwezi kukubali kuona Rais anatolewa kwa njia haramu kabla ya muda wake wa uongozi. Na alienda mbali kwa kutaja majina ya watu ambao alisema walimshauri vibaya Rais. Akawataja hadharani akisema wajiuzuru. Nia yake ilikuwa ni kuonyesha kuwa dhamana ya uongozi ni kitu kikubwa na uRais ni taasisi. Rais anashauriwa maana sio mtaalamu wa kila kitu.

Nchi kama zetu hizi tusianze kuchezea uongozi mkuu wa nchi. Gharama yake inaweza kuwa kubwa bila sababu ya msingi. Huu mkataba unaombwa ubadilishwe baadhi ya vipengele. Ni hivyo vipengele? Maana shida ya mwanadamu ni kupata fursa na madaraka, wakati mwingine.
Tumeshadangsnysna sana mitandaoni kuhudu huu mkataba wa ushirikiano wa maendeleo.

Sasa upo wazi, kila mmoja ajio neemwenyewe.

Walitudanganya kuwa mkataba hauna ukomo. Ukomo tunauona wazi kwenye vioengele zaidi ya kimoja, mkataba umeonesha mpaka njia na hatua za kuchukuwa kabla ya kufikia ukomo.

Mama anaupiga mwingi Kimataifa.
 
Really? Kila mtu ana uelewa huo? Huko ndani huko kuna nini? Nani ni nani? Maana problem is not out there..problem iko huko ndani
 
Tumeuzwa n mwanamke Daaaah
Labda unahamu ya kujiuza tu, nenda kona bar Sinza, utawakuta wenzako wanaojiuza.

Mkataba huo hapo, kifungu kipi kilichokuuza?

Mama anaupiga mwingi Kimataifa.
 
Moja ya sababu, wanasiasa wengi ni waongo sana.

Mama anaupiga mwingi Kimataifa.
Dada'ngu FaizaFoxy umetuletea jambo zuri. Pamoja na kuuweka mkataba kwa kiswahili kibovu cha gugo unaeleweka kwa mtu yoyote anayependa kusoma.

Umaliziaji wako wa mama anaupiga mwingi unapoteza ile maana yote ya mjadala huu. Unaingiza ushabiki ambao hauna maana.
 
Really? Kila mtu ana uelewa huo? Huko ndani huko kuna nini? Nani ni nani? Maana problem is not out there..problem iko huko ndani
Sijakuelewa.

Mama anaupiga mwingi Kimataifa.
 
Hiyo shida yako haihusiani na huu mkataba wa maendeleo. Kafunguwe uzi unaohusu shida yako, tutakuja kuchangia. Usituchanganyie mada.

Hapa tunaongelea nkataba baina ya Nchi mbili kama ulivyo, tena nenda kafute uongo wako wa kusema huu ni nkataba wa kampuni.

Mama anaupiga mwingi Kimataifa.
Umelipwa sh ngapi?
 
Dada'ngu FaizaFoxy umetuletea jambo zuri. Pamoja na kuuweka mkataba kwa kiswahili kibovu cha gugo unaeleweka kwa mtu yoyote anayependa kusoma.

Umaliziaji wako wa mama anaupiga mwingi unapoteza ile maana yote ya mjadala huu. Unaingiza ushabiki ambao hauna maana.
Nampenda sana Mama Samia. Amefanya mema mengi sana kwa muda mfupi sana.

Huu mkataba unatupeleka mbele kwa spidi ya ajabu.

Wenzetu duniani huko hawashindanii bandari, wanadhindana kujenga majiji ya kuwangizia fedha na. Kuwaletea maendeleo.

Mfano hai, Saudi Arabia wameanza kujenga jiji jipya kabisa la kisasa jangwani, wamekaribisha kila anaeweza kuwekeza aende. Jiji la Dollars Billion 500 linatakiwa lijengwe ndani ya miaka 10. Limeshaanza. Linaitwa Neom City.

Sisi vijigati tu, wala. Siyo bandari yote vinatutowa roho.

Tanzania maendeleo ni baada ya miaka 500 kwa roho mbaya tulizonazo. Jionee👇🏾

Mama anaupiga mwingi Kimataifa.
 
Mkataba nimeuweka kwa Kiswahili kwa msaada wa tafsiri ya Google, kama ulivyo.

Kama kuna makosa ni ya kimtandao, muyaainishe tutayafanyia marekebisho (editing) kidogo kidogo.

Naona Watanzania tunadanyana sana hapa JF. Sasa kila mmoja wetu avione na avisome vipengele vyote walivyokubaliana serikali mbili na tutowe maoni yetu. Tuyajadili kiheshima.

Binafsi nauunga mkono huu mkataba wa maendeleo.

Mama anaupiga mwingi Kimataifa.
Mkuu, umevisoma vipegere vyote? Umevirudia kuvisoma mara ngapi?

Je. Unalizika na vipegere vyote kama vilivyo?
 
Nia yake ilikuwa ni kuonyesha kuwa dhamana ya uongozi ni kitu kikubwa na uRais ni taasisi. Rais anashauriwa maana sio mtaalamu wa kila kitu.
Mleta mada hii tunayojadili alisema Mwalimu alikuwa kiongozi mbovu na akamfungilia uzi. Nilisikitika sana.
 
Sisi vijigati tu, wala. Siyo bandari yote vinatutowa roho.
Waende Comoro kwenye maeneo menginya kuweka gati nyingi! Ut tugati watuache. Hata hivyo hiyo ni kampuni kubwa kw nini iangaike na nchi masiki?
====
Na kw maelezo yako haya. Nadhani kumbe hujasoma vipegere vyote vya nyaraka hiyo.

Tumlide Mama.
 
Fasili mbaya utafikiri imetumika google translator
Imetumika Google translator na limeabdikwa hilo post za mwanzo mwanzo tu. Unaonesha umekurupuka bila ya kuupitia mjadala.

Andika wewe vizuri, unangoja nini?

Punguani wahed.

Mama anaupiga mwingi Kimataifa.
 
Mleta mada hii tunayojadili alisema Mwalimu alikuwa kiongozi mbovu na akamfungilia uzi. Nilisikitika sana.
Nyuzi nyingi nimefunguwa kuhusu Nyerere, iweke hiyo unnayosema halafu tukamjadili.

Hapa tunajadili mkataba wa Dubai na Tanzania.

Mama anaupiga mwingi Kimataifa.
 
Mkataba nimeuweka kwa Kiswahili kwa msaada wa tafsiri ya Google, kama ulivyo.

Kama kuna makosa ni ya kimtandao, muyaainishe tutayafanyia marekebisho (editing) kidogo kidogo.

Naona Watanzania tunadanyana sana hapa JF. Sasa kila mmoja wetu avione na avisome vipengele vyote walivyokubaliana serikali mbili na tutowe maoni yetu. Tuyajadili kiheshima.

Binafsi nauunga mkono huu mkataba wa maendeleo.

Mama anaupiga mwingi Kimataifa.

Mkataba nimeuweka kwa Kiswahili kwa msaada wa tafsiri ya Google, kama ulivyo.

Kama kuna makosa ni ya kimtandao, muyaainishe tutayafanyia marekebisho (editing) kidogo kidogo.
Tafadhali tuwekee na ule original wa lugha ya kiingereza ya kisheria. Hii itawezesha wasomi tuliomo humu kutoa mapendekezo na marekebisho yetu ya kitalaam kipengele kwa kipengele kwa serikali kuyafanyia maboresho.
 
Back
Top Bottom