DP WORLD: Mkataba wa Bandari kwa Kiswahili (tafsiri isiyo rasmi)

Nauliza tena mkabata ukomo wake ni muda gani
 
Attachments

  • 730619CE-8AE1-4B9D-88BD-19E36F3CA157.jpeg
    730619CE-8AE1-4B9D-88BD-19E36F3CA157.jpeg
    41.4 KB · Views: 10
Gwajima aliyekuwa akishusha nondo za corona, karamba asali sasa hawezi hata kuchambua madhara ya mkataba wa milele wa DP world!
Bibilia inasema mzazi mwenye hekima hulinda Mali kwa ajili ya urithi wa wanaye!
Sisi tunabinafsisha milele huu ni zaidi ya unyama kabisa!

Kama kuna mtu anaemshauri mama vibaya huyu ndiyo wa kumuondoa asiendelee kutusumbua
 
Kwanini unataka kuuweka rehani ubunge wake 2025?
 
Moja ya sababu, wanasiasa wengi ni waongo sana.

Mama anaupiga mwingi Kimataifa.
wa kwanza ni samia,mbarawa hawana uchungu na mali za tanganyika.

mtu akiwa mwarabu tu wao wanampa kila kitu.Samia rais wa hovyo toka kuumbwa dunia.
 
Hiyo shida yako haihusiani na huu mkataba wa maendeleo. Kafunguwe uzi unaohusu shida yako, tutakuja kuchangia. Usituchanganyie mada.

Hapa tunaongelea nkataba baina ya Nchi mbili kama ulivyo, tena nenda kafute uongo wako wa kusema huu ni nkataba wa kampuni.

Mama anaupiga mwingi Kimataifa.
Tundu Lissu akiongea na waandishi wa habari amesema haya...

Kwenye mamlaka ya moja kwa moja waliyonayo kama Wazanzibar kwenye huu MKATABA kwa makusudi kabisa hawajajumuisha bandari ya kwao Zanzibar ilhali ni jambo la MUUNGANO.

Hawa WAZANZIBAR wameuza mali yetu Watanganyika kwa MKATABA wa milele. Namaanisha hadi bahari itapokauka!"

Mimi ninao huo MKATABA lakini sijaona wapi pameandikwa tutapata hizo hela zinazosemwa na wapambe waliohongwa."

Ni wazi wao kuanzia Samia, Mbarawa na Katibu mkuu wa wizara husika ni WAZANZIBAR na kwa makusudi wameuza mali ya Tanganyika kwa sababu haiwahusu!"

Wengi wenu mnafikiri ni bandari pekee imeuzwa na hao WAZANZIBAR mnajidanganya! Kwa mjibu wa MKATABA hiyo reli ya Magufuli na mabarabara ni ya waarabu hadi maeneo yote maalum ya kibiashara yanakuwa yao."

Bandari kavu kwa mfano ile ya Isaka na zingine zote zinakuwa za waarabu wameuziwa na Samia ambaye ni Mzanzibar."

DPW wamehonga karibia kila awaye na ushawishi. Waandishi zaidi ya 40 walipelekwa kula raha na miongoni mwao yupo mmoja amenieleza kwa siku tatu alizokaa kule alirejea na hongo ya mililioni 6!"

Kama kweli huo mkataba una manufaa na faida kwanini hao WAZANZIBAR ( Samia na Mbarawa ) wameziacha bandari zao?!"

HATUPO TAYARI RASILIMALI ZETU WATANGANYIKA ZIUZWE HOVYO NA WAZANZIBAR - HATUPO TAYARI NASEMA!"

Hili suala halitaisha leo wala kesho na lazima Samia atambue. Huu MKATABA haufai na mbovu kuliko ubovu wenyewe!"

Lissu.
 
Si kasema tu? Maneno matupu,anaelewa kuwa Watanzania wengi mapoyoyo hamsomi mkataba, anawalisha matango pori.

Mkataba huo hapo, tuoneshe kifungu ambacho kimeuza bandari.

Zanzabar tayari wanamikataba yao ya bandari ya kibiashara ya bandari mbili, sisi hatuna hata mmoja. Huu mkataba wa ushiriano wapi ambapo umeeleza haya mashirikiano ya kimaendeleo ni kwa ajili ya Tanzania bara peke yake?

Ausiku hizi jina Tanzania halijumuishi na Zanzibar?

Nawasikitikia sana Watanzania, mkkataba mnao mnasema "Tundu Lissu kasema", sasa yeye kusema na kupayuka na kuona watu wote wajinga si ndiyo kazi yake?

Nikuulizewewe, hujuwi kusoma? Huuoni mkataba? Una hoja ipi wewe binafsi kuhusu mkataba, achana nafulani kasema "hear say", ni ujinga huo.
 
wa kwanza ni samia,mbarawa hawana uchungu na mali za tanganyika.

mtu akiwa mwarabu tu wao wanampa kila kitu.Samia rais wa hovyo toka kuumbwa dunia.
Wewe kwa dunia ya leo una nini cha kumpa Mwarabu ambacho yeye hana? Tena Mwarabu wenyewe wa Dubai.

Semeni tu, mna maslahi yenu huko bandarini, nyie ndiyo wizi wenyewe wa bandarini, mifumo yenu ya wizi inaminywa, Mwarabu anakuja kukomesha wizi, mnamuona adui.

Au kwa neno "Mwarabu" unamaanisha Muislam? Funguka tu.
 
Mkataba nimeuweka kwa Kiswahili kwa msaada wa tafsiri ya Google, kama ulivyo.

Kama kuna makosa ni ya kimtandao, muyaainishe tutayafanyia marekebisho (editing) kidogo kidogo.

Naona Watanzania tunadanyana sana hapa JF. Sasa kila mmoja wetu avione na avisome vipengele vyote walivyokubaliana serikali mbili na tutowe maoni yetu. Tuyajadili kiheshima.

Binafsi nauunga mkono huu mkataba wa maendeleo.

Mama anaupiga mwingi Kimataifa.
Pro DPW mnachanganya sana mambo!

Ukienda kwenye WhatsApp groups utaambiwa "Humu ndani tunadanganyana sana", ukiingia JF mnatuambia " Humu JF tunadanganya sana" ukienda Insta utasikia Chadema mnapotosha Twita vivyo hivyo. Iko hivi;

Wanaopinga huu mkataba ni WANANCHI WA TZ. TENA WAAJIRI WA WANAOLAZIMISHA KUPITISHA MKATABA HUU. IWE HUMU AU WAPI TAMBUENI KUWA. Watanzania hawautaki huu mkataba mengine porojo tu.

Mimi ni mwana CCM na ni na kadi lakini kwa hili siko pamoja na wanaoshabikia mambo wasiyoyajua. Nasema hivyo kwani naamini wengi hawajausoma mkataba ila wanatetea hadi wanatokwa na mapovu bila kujua kilichomo ndani.

Hatutaki nchi yetu iuzwe full stop. Kwanini mnatumia nguvu kubwa upite?

Hivi watu wana njaa, unawapa chakula wanakataa wewe unawalazimisha wale ili iweje?. Kwanini mnahangaika kuwataka watu waukubali wakati wao wako tayari wafe maskini ila mkataba huu usipite?. Why mnawalazimisha? Kama una maslahi wao hawayataki kwann mnataka waukubali???

Stop this business bhaana.

Mnatumia nguvu kubwa kulazimisha mkataba mbovu huu ili iweje???

Hatutaki hata utafisiri kwa lugha ya Kibena au Kihehe we don't want this contract full stop.
 
Kwa sababu nguvu kubwa imetumika kuuponda huu mkataba wa maendeleo, sasa tuwache porojo, mkataba ndiyo huu, mseme tatizo nini.

Mama anaupiga mwingi Kimataifa.
Hatuyataki hayo maendeleo kwanini hayajapelekwa Zanzibar???
 
Si kasema tu? Maneno matupu,anaelewa kuwa Watanzania wengi mapoyoyo hamsomi mkataba, anawalisha matango pori.

Mkataba huo hapo, tuoneshe kifungu ambacho kimeuza bandari.

Zanzabar tayari wanamikataba yao ya bandari ya kibiashara ya bandari mbili, sisi hatuna hata mmoja. Huu mkataba wa ushiriano wapi ambapo umeeleza haya mashirikiano ya kimaendeleo ni kwa ajili ya Tanzania bara peke yake?

Ausiku hizi jina Tanzania halijumuishi na Zanzibar?

Nawasikitikia sana Watanzania, mkkataba mnao mnasema "Tundu Lissu kasema", sasa yeye kusema na kupayuka na kuona watu wote wajinga si ndiyo kazi yake?

Nikuulizewewe, hujuwi kusoma? Huuoni mkataba? Una hoja ipi wewe binafsi kuhusu mkataba, achana nafulani kasema "hear say", ni ujinga huo.
Wew na Lisu nani anaijuwa sheria.., acha kuwadharau raia wenye asili ya Tanganyika nakuwaita Mapoyoyo.., wew yawezakuwa ni poyoyo kuliko hata wao an nahisi kinachokusumbua ni njaa tu.
 
"Zanzabar tayari wanamikataba yao ya bandari ya kibiashara ya bandari mbili, sisi hatuna hata mmoja" Tunanufaikaje Watanzania na hiyo Mikataba, je unajuwa mikataba ya Zanzibar wameweka terms gani, unatumia nguvu sana dada kwenye hili swala.
 
Back
Top Bottom