GUSA ACHIA BAHASHA GOLI
JF-Expert Member
- Apr 19, 2023
- 5,110
- 7,349
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakijibu niite broo hata mimi sijaelewa hapoNauliza tena mkabata ukomo wake ni muda gani
Waarabu wanazungushwa na misafara mikubwa dar kuliko RaisAlooo
Kwanini unataka kuuweka rehani ubunge wake 2025?Gwajima aliyekuwa akishusha nondo za corona, karamba asali sasa hawezi hata kuchambua madhara ya mkataba wa milele wa DP world!
Bibilia inasema mzazi mwenye hekima hulinda Mali kwa ajili ya urithi wa wanaye!
Sisi tunabinafsisha milele huu ni zaidi ya unyama kabisa!
Kama kuna mtu anaemshauri mama vibaya huyu ndiyo wa kumuondoa asiendelee kutusumbua
Mungu wee, nawaonea huruma makuli wa bandarini.
Kwani kwenye mkataba hauoneshiNauliza tena mkabata ukomo wake ni muda gani
wa kwanza ni samia,mbarawa hawana uchungu na mali za tanganyika.Moja ya sababu, wanasiasa wengi ni waongo sana.
Mama anaupiga mwingi Kimataifa.
uwe unasoma basi hata katiba.Bandari siyo jambo la Muungano
Tundu Lissu akiongea na waandishi wa habari amesema haya...Hiyo shida yako haihusiani na huu mkataba wa maendeleo. Kafunguwe uzi unaohusu shida yako, tutakuja kuchangia. Usituchanganyie mada.
Hapa tunaongelea nkataba baina ya Nchi mbili kama ulivyo, tena nenda kafute uongo wako wa kusema huu ni nkataba wa kampuni.
Mama anaupiga mwingi Kimataifa.
Hiyo ilikuwa Kero ya Muungano na ilishaondolewa
Si kasema tu? Maneno matupu,anaelewa kuwa Watanzania wengi mapoyoyo hamsomi mkataba, anawalisha matango pori.Tundu Lissu akiongea na waandishi wa habari amesema haya...
Kwenye mamlaka ya moja kwa moja waliyonayo kama Wazanzibar kwenye huu MKATABA kwa makusudi kabisa hawajajumuisha bandari ya kwao Zanzibar ilhali ni jambo la MUUNGANO.
Hawa WAZANZIBAR wameuza mali yetu Watanganyika kwa MKATABA wa milele. Namaanisha hadi bahari itapokauka!"
Mimi ninao huo MKATABA lakini sijaona wapi pameandikwa tutapata hizo hela zinazosemwa na wapambe waliohongwa."
Ni wazi wao kuanzia Samia, Mbarawa na Katibu mkuu wa wizara husika ni WAZANZIBAR na kwa makusudi wameuza mali ya Tanganyika kwa sababu haiwahusu!"
Wengi wenu mnafikiri ni bandari pekee imeuzwa na hao WAZANZIBAR mnajidanganya! Kwa mjibu wa MKATABA hiyo reli ya Magufuli na mabarabara ni ya waarabu hadi maeneo yote maalum ya kibiashara yanakuwa yao."
Bandari kavu kwa mfano ile ya Isaka na zingine zote zinakuwa za waarabu wameuziwa na Samia ambaye ni Mzanzibar."
DPW wamehonga karibia kila awaye na ushawishi. Waandishi zaidi ya 40 walipelekwa kula raha na miongoni mwao yupo mmoja amenieleza kwa siku tatu alizokaa kule alirejea na hongo ya mililioni 6!"
Kama kweli huo mkataba una manufaa na faida kwanini hao WAZANZIBAR ( Samia na Mbarawa ) wameziacha bandari zao?!"
HATUPO TAYARI RASILIMALI ZETU WATANGANYIKA ZIUZWE HOVYO NA WAZANZIBAR - HATUPO TAYARI NASEMA!"
Hili suala halitaisha leo wala kesho na lazima Samia atambue. Huu MKATABA haufai na mbovu kuliko ubovu wenyewe!"
Lissu.
Wewe kwa dunia ya leo una nini cha kumpa Mwarabu ambacho yeye hana? Tena Mwarabu wenyewe wa Dubai.wa kwanza ni samia,mbarawa hawana uchungu na mali za tanganyika.
mtu akiwa mwarabu tu wao wanampa kila kitu.Samia rais wa hovyo toka kuumbwa dunia.
Pro DPW mnachanganya sana mambo!Mkataba nimeuweka kwa Kiswahili kwa msaada wa tafsiri ya Google, kama ulivyo.
Kama kuna makosa ni ya kimtandao, muyaainishe tutayafanyia marekebisho (editing) kidogo kidogo.
Naona Watanzania tunadanyana sana hapa JF. Sasa kila mmoja wetu avione na avisome vipengele vyote walivyokubaliana serikali mbili na tutowe maoni yetu. Tuyajadili kiheshima.
Binafsi nauunga mkono huu mkataba wa maendeleo.
Mama anaupiga mwingi Kimataifa.
Hatuyataki hayo maendeleo kwanini hayajapelekwa Zanzibar???Kwa sababu nguvu kubwa imetumika kuuponda huu mkataba wa maendeleo, sasa tuwache porojo, mkataba ndiyo huu, mseme tatizo nini.
Mama anaupiga mwingi Kimataifa.
Wew na Lisu nani anaijuwa sheria.., acha kuwadharau raia wenye asili ya Tanganyika nakuwaita Mapoyoyo.., wew yawezakuwa ni poyoyo kuliko hata wao an nahisi kinachokusumbua ni njaa tu.Si kasema tu? Maneno matupu,anaelewa kuwa Watanzania wengi mapoyoyo hamsomi mkataba, anawalisha matango pori.
Mkataba huo hapo, tuoneshe kifungu ambacho kimeuza bandari.
Zanzabar tayari wanamikataba yao ya bandari ya kibiashara ya bandari mbili, sisi hatuna hata mmoja. Huu mkataba wa ushiriano wapi ambapo umeeleza haya mashirikiano ya kimaendeleo ni kwa ajili ya Tanzania bara peke yake?
Ausiku hizi jina Tanzania halijumuishi na Zanzibar?
Nawasikitikia sana Watanzania, mkkataba mnao mnasema "Tundu Lissu kasema", sasa yeye kusema na kupayuka na kuona watu wote wajinga si ndiyo kazi yake?
Nikuulizewewe, hujuwi kusoma? Huuoni mkataba? Una hoja ipi wewe binafsi kuhusu mkataba, achana nafulani kasema "hear say", ni ujinga huo.