FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
- Thread starter
- #441
Hawa watu Dhahabu Nyeusi kishawachambuwa, anasema "ujinga Mwafrika ni kujifanya anajuwa kumbe hajuwi", anaendelea kusema "Mwafrika hafanyi tafiti za kutafuta data. Ndipo tunapigwa bao", msikilize hapa:Kifungu no 23...
Still mtu atakwambia "hakuna termination clause"
Huyu Mwafrika mwenzetu "anatisha", anaongea maneno mazito sana kuhusu ujinga wa Waafrika
Kama kichwa cha habari kinavyosema, katika pita pita yangu mtandaoni nimekumbana na hii video. Kwa mtazano wangu, huyu jamaa ana upeo, muono na mawazo mapana sana na ana kipaji cha kuzifikisha fikra zake kwa ufasaha na utulivu wa viwango vya juu kabisa. Ana uchungu na ujinga wetu Waafrika na...