Kalaga Baho Nongwa
JF-Expert Member
- Sep 27, 2020
- 9,953
- 23,150
Dissermination versus sentimentationHuo mvutano uko wapi? Huku mtaani habari ni usajili simba na yanga. Habari za bandari nazisomaga jf
tu
Ndiyo, Bakhresa ni kivuli tu mali zote ni za mzee Mwinyi. Bakhresa anatumika kama koti tuYasemakana hadi leo Mwinyi anamiliku nusu ya DSM. Mali zote walizo Wahindi wa enzi hizo na Bakhressa. Rushwa haifawi
Ah wapi weweee ya Mwinyi uyajue wwe wa miaka ya 90? Acha mbwembwe mkuu mlaumuni Mbowe na kampeni zake chonganishi hazina kichwa Wala miguuYasemakana hadi leo Mwinyi anamiliku nusu ya DSM. Mali zote walizo Wahindi wa enzi hizo na Bakhressa. Rushwa haifawi
Marais wa Kiislamu wanapenda kuwekeza mali zao kwa Wahindi na Waarabu.Ndiyo, Bakhresa ni kivuli tu mali zote ni za mzee Mwinyi. Bakhresa anatumika kama koti tu
Pia ameziba masikioRais alushatoa mwelekeo , fuatilia vizur
Huyu wa kwetu haya mengi wala machachei hana labda ya kununua magoliRais ana mambo mengi sana ya kufanya. Wewe unataka kuonana na Rais, nenda kafanye appointment, utapangiwa muda wako wa kumuona. Hajawahi kukataa kuonana na yeyote yule.
Hakuna mpinzani wake wala nini.
Tumemshauri akae kimya, achape kazi huko huko, aachane na wajinga wajinga.
katuelewa.
Kashauriwa kuwa ni upepo unapita ndo maana yuko kimyaSauti ya Rais ni faraja,
Rais, kwa sauti yake, ni dira ya nchi na wananchi
Lakini pia, yeye ndiye kocha mkuu, kunapotokea wasaidizi wake wameelemewa uwanjani, yeye hutokea kubadili upepo wa mchezo
Sasa yapata mwezi na ushee nchi ipo kwenye mzozo wa mkataba wa bandari!
Kila upande unavutana, huku serikali ikiamini mkataba hauna makosa, wananchi wakiwemo wasomi na wanasheria mbalimbali wao wanasema ubadirishwe baadhi ya sheria zake na ama ufutwe wote
Bado mh Rais hajatoa mwelekeo wa moja kwa moja kwamba tunatembea na hiki
Vuta nikuvute, mjadala wa mkataba umebadirika gjafula na kuchukuliea kidini, na huu ni mpasuko mkubwa wa nchi usipodhibitiwa mapema!
Mbali na ufa huu unaoonekana bayana ni kutugawa umoja wetu kama nchi moja, bado mh Rais hatokei kusema kitu
Rais wetu yupo?
Tatizo urais ugenini.Huyu wa kwetu haya mengi wala machachei hana labda ya kununua magoli
mjinga.Watu wa pwani huwa hawafai kabisa kwenye uongozi, ni wapuuziaji sana (yaani wanapuuzia mambo sana). Huwa wakifika ikulu wanaingia likizo ya akili.
Yasemekana
..mzee Mwinyi alikuwa mpuuziaji.
..Kikwete alikuwa mpuuziaji.
..na sasa Samia ni mpuuziaji.
La bandari mbona lilishaisha!Sauti ya Rais ni faraja,
Rais, kwa sauti yake, ni dira ya nchi na wananchi
Lakini pia, yeye ndiye kocha mkuu, kunapotokea wasaidizi wake wameelemewa uwanjani, yeye hutokea kubadili upepo wa mchezo
Sasa yapata mwezi na ushee nchi ipo kwenye mzozo wa mkataba wa bandari!
Kila upande unavutana, huku serikali ikiamini mkataba hauna makosa, wananchi wakiwemo wasomi na wanasheria mbalimbali wao wanasema ubadirishwe baadhi ya sheria zake na ama ufutwe wote
Bado mh Rais hajatoa mwelekeo wa moja kwa moja kwamba tunatembea na hiki
Vuta nikuvute, mjadala wa mkataba umebadirika gjafula na kuchukuliea kidini, na huu ni mpasuko mkubwa wa nchi usipodhibitiwa mapema!
Mbali na ufa huu unaoonekana bayana ni kutugawa umoja wetu kama nchi moja, bado mh Rais hatokei kusema kitu
Rais wetu yupo?
Na huo ndo ukweliWatanganyika mtanyamaza tuu. Mmeingia cha kike.
Teh teh teh.Huo mvutano uko wapi? Huku mtaani habari ni usajili simba na yanga. Habari za bandari nazisomaga jf
tu
You mean lile shetani lenu la Chato!?Rais alikufa mwaka juzi
Washamba Sana watzIla watz mnachonga khaa,mngekuwa Sudan au Somalia sijui ingekuwaje......tujifunze kuwa na kias Kwa Kila jambo aisee
Mpumbavu we!Anaelewa kabisa wanchi hawataki huo mkataba upo kiunyonyaji zaidi ni vile tu kashupaza shingo!
Kikubwa tambua kabisa UONGOZI umemshinda na hauwezi kuinua mikono tu ndo hawezi ko bora liende ngwe yake iishe
Dola 2510 kutoka 2309 2021 JanuaryRais ana mambo mengi sana ya kufanya. Wewe unataka kuonana na Rais, nenda kafanye appointment, utapangiwa muda wako wa kumuona. Hajawahi kukataa kuonana na yeyote yule.
Hakuna mpinzani wake wala nini.
Tumemshauri akae kimya, achape kazi huko huko, aachane na wajinga wajinga.
katuelewa.
Kamwe sijawahi na sitowahi kuwapanikia walioshindwa!!Umepaniki tayari