DP World na kelele zinazoendelea, napata tabu sana kuamini iwapo Rais yupo ama laa! Na kama yupo mbona hatoi mwelekeo? Ona na huu udini!!

Rais ana mambo mengi sana ya kufanya. Wewe unataka kuonana na Rais, nenda kafanye appointment, utapangiwa muda wako wa kumuona. Hajawahi kukataa kuonana na yeyote yule.

Hakuna mpinzani wake wala nini.

Tumemshauri akae kimya, achape kazi huko huko, aachane na wajinga wajinga.

katuelewa.
Huyu wa kwetu haya mengi wala machachei hana labda ya kununua magoli
 
Sauti ya Rais ni faraja,

Rais, kwa sauti yake, ni dira ya nchi na wananchi

Lakini pia, yeye ndiye kocha mkuu, kunapotokea wasaidizi wake wameelemewa uwanjani, yeye hutokea kubadili upepo wa mchezo

Sasa yapata mwezi na ushee nchi ipo kwenye mzozo wa mkataba wa bandari!

Kila upande unavutana, huku serikali ikiamini mkataba hauna makosa, wananchi wakiwemo wasomi na wanasheria mbalimbali wao wanasema ubadirishwe baadhi ya sheria zake na ama ufutwe wote

Bado mh Rais hajatoa mwelekeo wa moja kwa moja kwamba tunatembea na hiki

Vuta nikuvute, mjadala wa mkataba umebadirika gjafula na kuchukuliea kidini, na huu ni mpasuko mkubwa wa nchi usipodhibitiwa mapema!

Mbali na ufa huu unaoonekana bayana ni kutugawa umoja wetu kama nchi moja, bado mh Rais hatokei kusema kitu

Rais wetu yupo?
Kashauriwa kuwa ni upepo unapita ndo maana yuko kimya
 
Watu wa pwani huwa hawafai kabisa kwenye uongozi, ni wapuuziaji sana (yaani wanapuuzia mambo sana). Huwa wakifika ikulu wanaingia likizo ya akili.

Yasemekana
..mzee Mwinyi alikuwa mpuuziaji.
..Kikwete alikuwa mpuuziaji.
..na sasa Samia ni mpuuziaji.
mjinga.
 
Sauti ya Rais ni faraja,

Rais, kwa sauti yake, ni dira ya nchi na wananchi

Lakini pia, yeye ndiye kocha mkuu, kunapotokea wasaidizi wake wameelemewa uwanjani, yeye hutokea kubadili upepo wa mchezo

Sasa yapata mwezi na ushee nchi ipo kwenye mzozo wa mkataba wa bandari!

Kila upande unavutana, huku serikali ikiamini mkataba hauna makosa, wananchi wakiwemo wasomi na wanasheria mbalimbali wao wanasema ubadirishwe baadhi ya sheria zake na ama ufutwe wote

Bado mh Rais hajatoa mwelekeo wa moja kwa moja kwamba tunatembea na hiki

Vuta nikuvute, mjadala wa mkataba umebadirika gjafula na kuchukuliea kidini, na huu ni mpasuko mkubwa wa nchi usipodhibitiwa mapema!

Mbali na ufa huu unaoonekana bayana ni kutugawa umoja wetu kama nchi moja, bado mh Rais hatokei kusema kitu

Rais wetu yupo?
La bandari mbona lilishaisha!
Sasa hv ni utekelezaji tu.
Hao wapiga kelele wacha waendelee nao ndo namna ya kutoa stress zao
 
Anaelewa kabisa wanchi hawataki huo mkataba upo kiunyonyaji zaidi ni vile tu kashupaza shingo!

Kikubwa tambua kabisa UONGOZI umemshinda na hauwezi kuinua mikono tu ndo hawezi ko bora liende ngwe yake iishe
Mpumbavu we!
 
Mwacheni Raisi wetu apige kazi ya kutuletea maendeleo......habari za mkataba alishamaliza na sasa anasubiri utekelezaji tu.

Nyie raisi wenu si mbowe!! Msikilizeni mbowe
 
Rais ana mambo mengi sana ya kufanya. Wewe unataka kuonana na Rais, nenda kafanye appointment, utapangiwa muda wako wa kumuona. Hajawahi kukataa kuonana na yeyote yule.

Hakuna mpinzani wake wala nini.

Tumemshauri akae kimya, achape kazi huko huko, aachane na wajinga wajinga.

katuelewa.
Dola 2510 kutoka 2309 2021 January
 
Back
Top Bottom