DP World na kelele zinazoendelea, napata tabu sana kuamini iwapo Rais yupo ama laa! Na kama yupo mbona hatoi mwelekeo? Ona na huu udini!!

DP World na kelele zinazoendelea, napata tabu sana kuamini iwapo Rais yupo ama laa! Na kama yupo mbona hatoi mwelekeo? Ona na huu udini!!

Huo mvutano uko wapi? Huku mtaani habari ni usajili simba na yanga. Habari za bandari nazisomaga jf

tu
Bado tu unaitwa Laki si Pesa tangu enzi za Marehemu. Nilidhani sasa utakuwa unaitwa Bilioni si Pesa. Uchawa haulipi kumbe.
 
Tanzania hii nimeshashudia Dollar inapaa kutoka Shillingi 3 kwa dollar moja mpaka kwenda shillingi 300, sasa hapa nishangae nini tena?

Piga hesabu useme ni alimia ngapi hapo?
Alimia ni jina la Kiisilamu???
 
Back
Top Bottom