Wadau wote na waungwana!
Mchakato unaendelea katika kufanikisha kuingia mkataba na kampuni ya DP World ni jambo jema ambalo litaleta Mapinduzi makubwa katika sekta ya Bandari nnchini.
Hayo maneno yote yanayosemwa kuhusu ujio wa DP World ni hisia tuu bila ya kuwa na uhalisia wowote na ndio maana wawakiloshi wetu Wabunge wamepitisha kwa 100 %, haya yote humu mitandaoni na maadamano ni kelele za chura tuu.
Nawasihi watanzania tuwe wavumilivu kwani mambo mazuri yanakuja na pato la taifa litaongezeka mno.
Pia nawaomba sana kwa ushirikiano mwema DP World waongee na ndugu zao Fly Emirate kupitia kampuni yao ya Fly Dubai waje wachukue ATCL ili wafanye mapinduzi katika sekta ya Anga kwani nayo imekuwa na hasara na vituko kila mwaka.
Na pia Mamlaka ya Mapato Dubai njooni pia huku kuna uozo mkubwa mno kwenye utendaji wa TRA ya Tanzania kwani uwepo wenu na connection ya DP World Tanzania itaweza kuboresha upatikanaji wa mapato makubwa.
Hivi vitu pamoja na kivifanya muda mrefu tumeshindwa kupata mafanikio yoyote. Watanzania tusijiegemeze kwenye neno uzalendo kwani uzalendo sio umaskini.