Yenga08
JF-Expert Member
- Jul 7, 2019
- 458
- 894
Tumepigwa sana mkuu.., toka miaka ya 1990's mpaka leo tunaendelea kupigwa., ndio maana tukiona hata jani tu tunahisi ni NYOKA.Wadau wote na waungwana!
Mchakato unaendelea katika kufanikisha kuingia mkataba na kampuni ya DP World ni jambo jema ambalo litaleta Mapinduzi makubwa katika sekta ya Bandari nnchini...