DP-World nuru ya kuboresha utendaji na ufanisi katika sekta ya Bandari nchini Tanzania

DP-World nuru ya kuboresha utendaji na ufanisi katika sekta ya Bandari nchini Tanzania

Kweli wewe ni popoma yaaani uuzwaji wa rasilimali ya taifa unaita maendeleo na ulivyozwazwa kwa kuficha upumbavu wako umeamua kuja na newID motherfanta

Chief wewe ni Fala hiyo bandari tulishashindwa long time. Au unataka upewe wewe na mamako ungeweza kuendesha wakati hapo kwenu tuu hata maji ya bomba ni shida pimbi wewe!
 
Hao jamaa si wako wanafanya kazi kwenye baadhi ya nchi za afrika, hebu tuleteeni data za waliyoyafanya huko, badala ya kuimba hizi nyimbo za kuwasifia tu. Tuleteeni data nchi walizofanya kazi, na kufanya bandari itoe 60% ya bajeti ya nchi. Leteni data, sio maneno.
Hiki kizaz kinaturudishia ukoloni , kizaz kimekata tamaa kbs
 
Mpemba.... Acha kuwa mvivu boya wewe ni jukumu lako kutafuta kitu unachotaka kupata ufafanuzi wake wala sio kulalama hapa Jf . Tumia akili na uwezo wako kujua hayo ni bora tumeshaingia mkataba baada ya wahusika kupata taarifa zetu. Hayo yote kamuulize mbuge wako bwege na bwanyenye wewe!
Inasikitisha sana , mwafrika anadanganywa na dini kama babu zake walipodanganywa kwa vioo , vitukuu vitatucheka sana
 
Covax ni mzalendo nambari 1. Ahsante Sana.
Huyo covax uliyemtaja hapa anashadadia hili jambo kwa efforts za kidini hana analojua anadhani muarabu anakuja kutangaza dini.

Angekuwa amepewa mtu tofauti na muarabu (still isingetakiwa sababu ni rasilimali nyeti kwa taifa letu) anayoyaandika humu kuhusu hili jambo yangekuwa tofauti.
 
Saint!
1. Wewe umeona sehemu yoyote imetajwa dini!

2. Au unafikiri uarabu ni dini! Umesikia wanakuja kujenga misikiti bandarini!...
Mimi nimekujibu kutokana na hoja iliyokuwa ktk post husika niliyo-quote ila tuelewane kitu kimoja.

Haitakiwi kwa namna yoyote kuruhusu mtu kuhodhi bandari zetu tena kwa mikataba ya kuficha ficha karne hii elewa hilo.endelea kutukana siku yakigeuka haya uwe tayari pia kuja kutukana humu.
 

Program Manager! Takataka ni wewe mwenyewe au hizo Program unazozisimamia boya wewe! Kama hukuwa na hoja ya kupongeza ujio wa DP World ni bora ungekaa kimya kuliko kuandika upuuzi wako pimbi wewe!
 
Program Manager! Takataka ni wewe mwenyewe au hizo Program unazozisimamia boya wewe! Kama hukuwa na hoja ya kupongeza ujio wa DP World ni bora ungekaa kimya kuliko kuandika upuuzi wako pimbi wewe!
Mimi siyo kilaza kama wewe eti nije public kupongeza ujio wa DP WORLD kwa mkataba wa hovyo kuwahi kutokea.
Umepewa sh ngapi wewe mpaka utumie ujinga wako wote kulazimisha tuunge mkono huu umaku wenu?
 
Wadau wote na waungwana!

Mchakato unaendelea katika kufanikisha kuingia mkataba na kampuni ya DP World ni jambo jema ambalo litaleta Mapinduzi makubwa katika sekta ya Bandari nnchini.

Hayo maneno yote yanayosemwa kuhusu ujio wa DP World ni hisia tuu bila ya kuwa na uhalisia wowote na ndio maana wawakiloshi wetu Wabunge wamepitisha kwa 100 %, haya yote humu mitandaoni na maadamano ni kelele za chura tuu.

Nawasihi watanzania tuwe wavumilivu kwani mambo mazuri yanakuja na pato la taifa litaongezeka mno.

Pia nawaomba sana kwa ushirikiano mwema DP World waongee na ndugu zao Fly Emirate kupitia kampuni yao ya Fly Dubai waje wachukue ATCL ili wafanye mapinduzi katika sekta ya Anga kwani nayo imekuwa na hasara na vituko kila mwaka.

Na pia Mamlaka ya Mapato Dubai njooni pia huku kuna uozo mkubwa mno kwenye utendaji wa TRA ya Tanzania kwani uwepo wenu na connection ya DP World Tanzania itaweza kuboresha upatikanaji wa mapato makubwa.

Hivi vitu pamoja na kivifanya muda mrefu tumeshindwa kupata mafanikio yoyote. Watanzania tusijiegemeze kwenye neno uzalendo kwani uzalendo sio umaskini.
.


Hatutaki kelele
 

Attachments

  • 69480.jpg
    69480.jpg
    14.9 KB · Views: 1
Mpemba.... Acha kuwa mvivu boya wewe ni jukumu lako kutafuta kitu unachotaka kupata ufafanuzi wake wala sio kulalama hapa Jf.

Tumia akili na uwezo wako kujua hayo ni bora tumeshaingia mkataba baada ya wahusika kupata taarifa zetu. Hayo yote kamuulize mbuge wako bwege na bwanyenye wewe!
Nitafute??? Mbona hamkuniambia nikawatafute DP World ili niwalete. Nyinyi mnaoimba hizo pambio, ndio tafuteni data na kuleta, sio mnaongea tu vitu ambavyo hata kwenye huo mkataba wa sasa havipo. Kwanza ametokea wapi huyo DP World? Hiyo Procurement Process ilifanyikia wapi? Maana hatujawahi kuona hata Expression of Interest ikitangazwa kwenye magazeti. Alishindanishwa na nani mpaka yeye akatokea kushinda. Na kama ilikuwa ni single source, kulikuwa na vigezo gani ambavyo vilimfanya yeye ashinde, na wengine washindwe???
 
Back
Top Bottom