DP-World nuru ya kuboresha utendaji na ufanisi katika sekta ya Bandari nchini Tanzania

Kweli wewe ni popoma yaaani uuzwaji wa rasilimali ya taifa unaita maendeleo na ulivyozwazwa kwa kuficha upumbavu wako umeamua kuja na newID motherfanta

Chief wewe ni Fala hiyo bandari tulishashindwa long time. Au unataka upewe wewe na mamako ungeweza kuendesha wakati hapo kwenu tuu hata maji ya bomba ni shida pimbi wewe!
 
Hiki kizaz kinaturudishia ukoloni , kizaz kimekata tamaa kbs
 
Inasikitisha sana , mwafrika anadanganywa na dini kama babu zake walipodanganywa kwa vioo , vitukuu vitatucheka sana
 
Covax ni mzalendo nambari 1. Ahsante Sana.
Huyo covax uliyemtaja hapa anashadadia hili jambo kwa efforts za kidini hana analojua anadhani muarabu anakuja kutangaza dini.

Angekuwa amepewa mtu tofauti na muarabu (still isingetakiwa sababu ni rasilimali nyeti kwa taifa letu) anayoyaandika humu kuhusu hili jambo yangekuwa tofauti.
 
Saint!
1. Wewe umeona sehemu yoyote imetajwa dini!

2. Au unafikiri uarabu ni dini! Umesikia wanakuja kujenga misikiti bandarini!...
Mimi nimekujibu kutokana na hoja iliyokuwa ktk post husika niliyo-quote ila tuelewane kitu kimoja.

Haitakiwi kwa namna yoyote kuruhusu mtu kuhodhi bandari zetu tena kwa mikataba ya kuficha ficha karne hii elewa hilo.endelea kutukana siku yakigeuka haya uwe tayari pia kuja kutukana humu.
 

Program Manager! Takataka ni wewe mwenyewe au hizo Program unazozisimamia boya wewe! Kama hukuwa na hoja ya kupongeza ujio wa DP World ni bora ungekaa kimya kuliko kuandika upuuzi wako pimbi wewe!
 
Program Manager! Takataka ni wewe mwenyewe au hizo Program unazozisimamia boya wewe! Kama hukuwa na hoja ya kupongeza ujio wa DP World ni bora ungekaa kimya kuliko kuandika upuuzi wako pimbi wewe!
Mimi siyo kilaza kama wewe eti nije public kupongeza ujio wa DP WORLD kwa mkataba wa hovyo kuwahi kutokea.
Umepewa sh ngapi wewe mpaka utumie ujinga wako wote kulazimisha tuunge mkono huu umaku wenu?
 
.


Hatutaki kelele
 

Attachments

  • 69480.jpg
    14.9 KB · Views: 1
Nitafute??? Mbona hamkuniambia nikawatafute DP World ili niwalete. Nyinyi mnaoimba hizo pambio, ndio tafuteni data na kuleta, sio mnaongea tu vitu ambavyo hata kwenye huo mkataba wa sasa havipo. Kwanza ametokea wapi huyo DP World? Hiyo Procurement Process ilifanyikia wapi? Maana hatujawahi kuona hata Expression of Interest ikitangazwa kwenye magazeti. Alishindanishwa na nani mpaka yeye akatokea kushinda. Na kama ilikuwa ni single source, kulikuwa na vigezo gani ambavyo vilimfanya yeye ashinde, na wengine washindwe???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…