Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii ni inside trick ya walioko kwenye system ili kuzima hoja kwamba tenda haikutangazwa kwa mujibu wa sheria ya PPPR!Kuna tangazo la tenda kutoka mamlaka ya bandari Tanzania ambalo limetolewa leo mwezi wa nane likiwataka wenye uwezo kuomba kuendesha gati namba 2 ya bandari iliyokuwa ikisemekana hapo kabla kuwa imechukuliwa na kampuni la DP world kutoka Dubai.
Je DP world wameachia?View attachment 2734362
Siamini sana katika masuala ya ramliCCM yangu pendwa inajifia taratibu
Hatimaye Wananchi Wameshinda !Kuna tangazo la tenda kutoka mamlaka ya bandari Tanzania ambalo limetolewa leo mwezi wa nane likiwataka wenye uwezo kuomba kuendesha gati namba 2 ya bandari iliyokuwa ikisemekana hapo kabla kuwa imechukuliwa na kampuni la DP world kutoka Dubai.
Je DP world wameachia?View attachment 2734362
Ijifie tu kwa kweli ili maisha nayo yaendelee.CCM yangu pendwa inajifia taratibu
Unaiamini Serikali ya Tanzania ?Watanzania mna uelewa mdogo sana.
Juzi serikali ilisema inaendelea na taratibu za mkataba
Kwa hiyo hapo wewe umefurahiUnaiamini Serikali ya Tanzania ?
Hongera sana Dk Slaa, wakili msomi Mwambukusi, Peter Madeleka, Mdude Nyagali na wengine wengi waliopambana na majizi ndani ya serikali yaliyokuwa yanauza bandari kimyakimya.Hatimaye Wananchi Wameshinda !