Mawembasa1979
JF-Expert Member
- Feb 26, 2015
- 2,540
- 3,333
8 na kuendeleaAlafu TP wanabaki wapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
8 na kuendeleaAlafu TP wanabaki wapi?
Source ya tangazo wapi?Kuna tangazo la tenda kutoka mamlaka ya bandari Tanzania ambalo limetolewa leo mwezi wa nane likiwataka wenye uwezo kuomba kuendesha gati namba 2 ya bandari iliyokuwa ikisemekana hapo kabla kuwa imechukuliwa na kampuni la DP world kutoka Dubai.
Je DP world wameachia?
Kama ni kweli, hongera sana Dk Slaa, wakili msomi Mwambukusi, Peter Madeleka, Mdude Nyagali na wengine wengi waliopambana na majizi ndani ya serikali yaliyokuwa yanauza bandari kimyakimya.
View attachment 2734362
Source ya tangazo wapi?
Hilo tangazo liko wapi source yake? Au mtu kachapa tu Internet cafe kuzuga watu
Bila source ni ujinga mtupu
Watanzania hawadanganyiki kirahisi hivyo
Source hii hapaSource ya tangazo wapi?
Hilo tangazo liko wapi source yake? Au mtu kachapa tu Internet cafe kuzuga watu
Bila source ni ujinga mtupu
Watanzania hawadanganyiki kirahisi hivyo
Hao wanao tangaza hyo kazi wao wameshindwa nn kuongeza wigo kusimamia gati hilo shenzi zaooKuna tangazo la tenda kutoka mamlaka ya bandari Tanzania ambalo limetolewa leo mwezi wa nane likiwataka wenye uwezo kuomba kuendesha gati namba 2 ya bandari iliyokuwa ikisemekana hapo kabla kuwa imechukuliwa na kampuni la DP world kutoka Dubai.
Je DP world wameachia?
Kama ni kweli, hongera sana Dk Slaa, wakili msomi Mwambukusi, Peter Madeleka, Mdude Nyagali na wengine wengi waliopambana na majizi ndani ya serikali yaliyokuwa yanauza bandari kimyakimya.
View attachment 2734362
Unajua maana ya source? Ni kuwa hilo tangazo liko kwenye website ya bandari au kwenye gazeti lipi?Source hii hapaView attachment 2734431
NajipangaKuna tangazo la tenda kutoka mamlaka ya bandari Tanzania ambalo limetolewa leo mwezi wa nane likiwataka wenye uwezo kuomba kuendesha gati namba 2 ya bandari iliyokuwa ikisemekana hapo kabla kuwa imechukuliwa na kampuni la DP world kutoka Dubai.
Je DP world wameachia?
Kama ni kweli, hongera sana Dk Slaa, wakili msomi Mwambukusi, Peter Madeleka, Mdude Nyagali na wengine wengi waliopambana na majizi ndani ya serikali yaliyokuwa yanauza bandari kimyakimya.
View attachment 2734362
CCM kufa Hilo tulisahau kamwe CCM inajisatiti kila waktiCCM yangu pendwa inajifia taratibu
Hahahahahahahahahahaaaaaaa!Hongera sana Dk Slaa, wakili msomi Mwambukusi, Peter Madeleka, Mdude Nyagali na wengine wengi waliopambana na majizi ndani ya serikali yaliyokuwa yanauza bandari kimyakimya.
Baada ya Bunge kutupilia mbali Ile SHERIA ya maliasili kulinda DP World, hiyo IGA imekuwa Rasmi Fake na BATILI.Hamna chochote cha kufurahia hapo, hiyo ni michezo ya Samia kutaka kuhalalisha kwamba mwarabu alipewa bandari baada ya taratibu zote kufuatwa.
Mwanzo walilazimisha kubadili sheria ili iwanufaishe waarabu, wakaona mambo magumu, bunge likagoma na serikali ikakubali yaishe.
Sasa wamekuja na hii mbinu ya kutanganza tender, kwasababu wengi walilalamika mwarabu amepewa bila kushindanishwa, hapo wanamtengenezea mazingira mwarabu ashinde ili wapate uhalali wa kumpa bandari.
Lakini, ukisoma objectives za IGA, mwarabu amepewa aendeshe bandari zote Tanganyika, kwa muda usiojulikana, hivyo hata kama hiyo terminal 2 akiendesha mwingine, itakuwa ni kwa muda tu, kwasababu hiyo terminal 2 ipo ndani ya bandari ya Dsm ambayo mwarabu ameshakabidhiwa, msidanganyike.
Ndio wanatakiwa sasa kutuambia ule mkataba kati yao na mwarabu wameuvunja, ijulikane rasmi, sio kutuvizia na hizi hatua zao fupi zisizoeleweka.Baada ya Bunge kutupilia mbali Ile SHERIA ya maliasili kulinda DP World, hiyo IGA imekuwa Rasmi Fake na BATILI.
Wanaona Aibu, Si unajua tena wanafki,Ndio wanatakiwa sasa kutuambia ule mkataba kati yao na mwarabu wameuvunja, ijulikane rasmi, sio kutuvizia na hizi hatua zao fupi zisizoeleweka.
Ife kabisa.....CCM yangu pendwa inajifia taratibu
Kimya, wako kimkazi wanajifariji.Maulid Kitenge mzee wa minyama anasemaje kwenye hili?
Kuna info yeyote amepost inayohusiana na hili swala?