DP World wameachia Bandari? TPA yatangaza kutafuta Mzabuni kuhudumia Makasha katika Terminal II

Kuna tangazo la tenda kutoka mamlaka ya bandari Tanzania ambalo limetolewa leo mwezi wa nane likiwataka wenye uwezo kuomba kuendesha gati namba 2 ya bandari iliyokuwa ikisemekana hapo kabla kuwa imechukuliwa na kampuni la DP world kutoka Dubai.

Je DP world wameachia?

Kama ni kweli, hongera sana Dk Slaa, wakili msomi Mwambukusi, Peter Madeleka, Mdude Nyagali na wengine wengi waliopambana na majizi ndani ya serikali yaliyokuwa yanauza bandari kimyakimya.

 
Hii ni inside trick ya walioko kwenye system ili kuzima hoja kwamba tenda haikutangazwa kwa mujibu wa sheria ya PPPR!

Hiyo ngiyo Tanzania [emoji1241]
 
Hatimaye Wananchi Wameshinda !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…