DP World wameachia Bandari? TPA yatangaza kutafuta Mzabuni kuhudumia Makasha katika Terminal II

Maslahi ya watanzania yanatakiwa yajae kwenye vifungu vyote siyo kimoja cha 31, kenge wewe
Hata uandike kwa kutumia wino wa dunia nzima, mwisho wa siku biashara za kimataifa zinaendeshwa kwa sheriq na kanuni za kimataifa, hakuna kujimwambafai.

Usijidanganye na kudanganya wajinga wengine.

Hujaiona mikataba ya mwendazake na timu ya waliotunga hiyo mikataba inavyohenyeshwa kimataifa?

Nikukumbushe?
 
Terms zote za kwenye IGA wewe umeona maneno mawili tu, WILL and SHALL?!

Kasome mkataba acha ujinga.
 
Mbona tunalipa mabilioni kila siku kwa kuvunja mikataba ya madini
We upo nchi gani!!
 
Terms zote za kwenye IGA wewe umeona maneno mawili tu, WILL and SHALL?!

Kasome mkataba acha ujinga.
Ujinga unauleta wewe unayedhani IGA ya Dubai ndio kila kitu pale bandarini.

Hiyo barua inawataka wenye uwezo wa kufanya shughuli za bandari iwe ni wazalendo wa ndani iwe wa nje, kujitokeza kugombea hiyo tender ili wapate hiyo kazi.

Huu ni muda wa sisi wazalendo kuomba hiyo kazi kama tunao uwezo kweli wa masuala ya loading na offloading na uendeshaji mzima wa logistics za bandari kisasa.
 
Terms zote za kwenye IGA wewe umeona maneno mawili tu, WILL and SHALL?!

Kasome mkataba acha ujinga.
Serikali ya mama Samia na serikali ya Dubai wameachia kwa kuwaogopa mwambulukusi, mdudu na silaa.

Wanatisha hao three the hardways.

Hivi wako wapi mashujaa?
 
Watanzania kwanza tungekuza uelewa wetu wa masuala mengi ya kidunia kabla hata ya kufikiria kuwa washindani wa soko la kimataifa.

Tunashindwa kujua mipaka ya IGA ni ipi lakini ukisoma unaweza kudhani unachat na profesa wa chuo kikuu.
 
Terms zote za kwenye IGA wewe umeona maneno mawili tu, WILL and SHALL?!

Kasome mkataba acha ujinga.
Serikali ya mama Samia na serikali ya Dubai wameachia kwa kuwaogopa mwambulukusi. Mdudu na silaa.

Wanatisha hao three the hardways.

Hivi wako wapi mashujaa?
 
Wanaona Aibu, Si unajua tena wanafki,

Utapotea kimya kimya kama ulivyokuja,

TEC walitoa maoni wakamaliza wakakaa kimya.
TEC ni lidude likubwa haliwezi kupigizana kelele kama wanavyofanya mashehe ubwabwa wakina mazinge,muharam,asad,ponda nk.Wametoa WARAKA wamekaa kimya sasa samia ashupaze shingo aone kitakachotokea.
 
hayo yaache huko ulikocop kwa kigogo.
 
Hao wanao tangaza hyo kazi wao wameshindwa nn kuongeza wigo kusimamia gati hilo shenzi zaoo
Domo la mswahili halilali njaa, Mambo yapo hadharani bado tu nongwa zipo palepale dah! Qui qui qui😁😁😁
WAZEE WA NONGWA!
 
wewe mjinga TEC inataarifa nyeti za nchi hii huwa hawakurupuki kama mashehe wako ubwabwa.Ndo maana imetoa taarifa ikapiga kimya.Sasa jukumu lilobaki ni la samia kuonyesha ubavu.

Samia hawezi kuuza bandari za nchi yetu kwa wapwa wake Dubai tukae kimya.NEVER!
 
wewe mjinga usitumie kichwa kama kizibio cha shingo.
 
we' kweli chizi fresh!

unajua sheria kushinda Emaratus prof.Shivji,Tundu Lissu,Kibatala,Think Tank ya Taifa(TEC)?
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Eti kutuvizia[emoji23]
 
Mambo yanaenda kinyumenyume. Tulianza kwa kusaini mkataba kati yetu na mkandarasi, tukaja kuomba ridhaa bungeni (ili mkataba baina yetu na mkandarasi usainiwe), tumemaliza na kutangaza tenda (ili tumpate mkandarasi)
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Unajua maana ya source? Ni kuwa hilo tangazo liko kwenye website ya bandari au kwenye gazeti lipi?

Hilo tangazo liko wapi ? Source lilikotolewa?
We nawe huon kama ni gazeti hilo au unachosha watu tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…