Steven Joel Ntamusano
JF-Expert Member
- Jun 17, 2023
- 5,203
- 3,913
Mkuu naona umeamua kuachana na vile vifungu vinavyohoji uwekezaji wa DPW, ulikuwa kila uzi unavitupia!.Kuna baya kweny comments yang chief? C nimekutagg utoe ufafanuzi chief negotiator!!
Aisee!!! Atalitolea ufafanuzi nadhani, muhusika.Msishangilie sasa...
Inawezekana DP World ndo wameanza kufanya kazi kwa mujibu wa IGA. Likely TPA wanatuka tu kama mshirika wa DP World
Au tumesahau mara kuwa ktk mkataba wa IGA ya TZ & Dubai Emirate kuna ibara inasema kuwa "......DP World and its affiliate companies....."?
Hizo kampuni ndogo ndogo zitakazopewa majukumu tofauti tofauti bila shaka watafanya kazi chini ya DP World maana kama ilivyo IGA hii mpaka sasa, bandari zote za Tanganyika ni zao..!
Ili tujue DP hawapo tena, ni sharti Rais Samia Suluhu Hassan aseme kuwa 'tumeiondoa IGA hii". Bila kauli toka Kwa aliyesaini, basi tambueni kuwa DP World wapo maana mkataba ulishakuwa ratified (domesticated) na Bunge tayari....!!
Ngiyo yenyewe!Hii ni inside trick ya walioko kwenye system ili kuzima hoja kwamba tenda haikutangazwa kwa mujibu wa sheria ya PPPR!
Hiyo ngiyo Tanzania [emoji1241]
Tarehe 25 mwezi wa kumi nenda bandarini utaona DPW akianza shughuli za uendeshaji wa magati namba tatu mpaka saba pale TPA.Msishangilie sasa...
Inawezekana DP World ndo wameanza kufanya kazi kwa mujibu wa IGA. Likely TPA wanatuka tu kama mshirika wa DP World
Au tumesahau mara kuwa ktk mkataba wa IGA ya TZ & Dubai Emirate kuna ibara inasema kuwa "......DP World and its affiliate companies....."?
Hizo kampuni ndogo ndogo zitakazopewa majukumu tofauti tofauti bila shaka watafanya kazi chini ya DP World maana kama ilivyo IGA hii mpaka sasa, bandari zote za Tanganyika ni zao..!
Ili tujue DP hawapo tena, ni sharti Rais Samia Suluhu Hassan aseme kuwa 'tumeiondoa IGA hii". Bila kauli toka Kwa aliyesaini, basi tambueni kuwa DP World wapo maana mkataba ulishakuwa ratified (domesticated) na Bunge tayari....!!
Hapo sasa DP WEDI WANARUHUSIWA KUOMBA, LKN SI KAMA VILE WALIVYOTAKA FANYA
Sent from my SM-G977B using JamiiForums mobile app
Nahisi uhuni hapa!Mbona ile ya kwanza haikutangazwa hivi, na je wiki mbili zinatosha kukamilisha maombi? Kwa mchakato mgumu kama huu??
Isome IGA ya kiswahili naona hiyo nyingine inakuchanganya.Mkuu, nadhani hiyo Terminal II si sehemu ya IGA. Jiridhishe na Appendix 1 ya IGA.
Sijui wanakimbiza nini??Mbona ile ya kwanza haikutangazwa hivi, na je wiki mbili zinatosha kukamilisha maombi? Kwa mchakato mgumu kama huu??
Mh! Hii mbona mapema sana alafu hata hamsemi kuwa hii niwiki 2 tu bado wiki4 za waraka kusomwaView attachment 2734325
Haya kelele za Watanzania wengi zimesikilizwa, Wenye sifa waombe kazi hiyo, tupunguze lawama.
Msimamo ni uleule ila nimemuuliza kidampa wa DP world atoe ufafanuzi!!Mkuu naona umeamua kuachana na vile vifungu vinavyohoji uwekezaji wa DPW, ulikuwa kila uzi unavitupia!.
Mwezi wa kumi wiki ya mwisho wanaanza kazi hapo bandarini.Msimamo ni uleule ila nimemuuliza kidampa wa DP world atoe ufafanuzi!!
Haujasomwa jumapili hii kanisani kwetu.Mh! Hii mbona mapema sana alafu hata hamsemi kuwa hii niwiki 2 tu bado wiki4 za waraka kusomwa
Ndio vzr waanze kbs itajulikana kama wameamua kufanya kwa matakwa yao au matakwa ya watanzania!!Mwezi wa kumi wiki ya mwisho wanaanza kazi hapo bandarini.
Na vipi kama ni kiini macho ili ionekana walishinda kwenye zabuni iliyotangazwa ili kupunguza kelele za waliokuwa wanaipinga DP World?View attachment 2734325
Haya kelele za Watanzania wengi zimesikilizwa, Wenye sifa waombe kazi hiyo, tupunguze lawama.
Wewe una akili ndogo unatakiwa kujua kulingana na ile IGA DPW ndio wenye mamlaka ya bandari yote na Tanzania wakitaka kufanya lolote watawajuza kwa hiyo kwakifupi DPW wamepewa taarifa na wameruhusu kutangazwa kwa tenda na sitoshangaa na wao wakawa wahusika wa kuomba hiyo tenda na kushinda!Maaskofu walichemka sana kuusoma ule waraka. Halafu ni majina 32 wakaorodheshwa kumbe wanaingizwa mkenge bila ya kufahamu.
Kama DPW amenunua hiyo bandari imeweza vipi kutangaza tender ya kuendesha magati yake?.
Hatujui mambo mengi na hatutaki kukubali kwamba hatujui.
Terms ziko wazi nenda kasome ! DPW wanajulishwa na tenda inatangazwa na wao ndio wanahamua nani awe mwekezaji na kwa aina hii ya tenda ni wazi kuwa DPW wanaweza kushinda kupitia wao direct au kampuni yao ili kuendelea na kiini macho ..kama umesoma IGA uwezi shangaa TPA kutangaza tenda lakini kwa ile IGA hii ni kiini macho ππππUelewa wako mdogo sana. Hizo terms zingekuwa na matatizo hao mabosi wa TPA wangepata wapi mamlaka ya kuandika hilo tangazo la kumhitaji muendeshaji mwingine?.
Tafuta mtu mwenye uelewa wa kitu wa kina ili upate shule kiasi kwamba unapokuja kuandika kitu uwe angalau kwa asilimia sitini unaelewa unaandika nini.
Nimefuatlia sana unajimwambafai hapa kupotosha watu. Ujinga wa sakata la DPW kila mtz mwenye akili timamu anajua.Kama chanzo chako ni Tanzania Leaks basi na wewe ni wale wale wazee wa FAKE NEWS.
Mwelekeze Ng"ombe wa CCM HuyoWewe una akili ndogo unatakiwa kujua kulingana na ile IGA DPW ndio wenye mamlaka ya bandari yote na Tanzania wakitaka kufanya lolote watawajuza kwa hiyo kwakifupi DPW wamepewa taarifa na wameruhusu kutangazwa kwa tenda na sitoshangaa na wao wakawa wahusika wa kuomba hiyo tenda na kushinda!
Tunajua serikali inajaribu kujitekenya halafu baadae ichekeππππ
Kwa hiyo wewe unafurahia kusikia watz hawana uwezo wa kuendesha bandari? Crazy!!! We mtu wa hovyo kweli.Wazawa wenye uwezo wa kuendesha bandari wameitwa hapo TPA wafanye kazi ya kuinua uchumi wa nchi na sio kuishia kupiga domo mitandaoni.
Hiyo barua ya TPA ni dongo zito sana kwa kina Tibaijuka na wazalendo wengine wajuaji, kwamba kama uwezo wanao waende wakaendeshe bandari kwa vitendo.