DP World wameachia Bandari? TPA yatangaza kutafuta Mzabuni kuhudumia Makasha katika Terminal II

DP World wameachia Bandari? TPA yatangaza kutafuta Mzabuni kuhudumia Makasha katika Terminal II

Msishangilie sasa...

Inawezekana DP World ndo wameanza kufanya kazi kwa mujibu wa IGA. Likely TPA wanatuka tu kama mshirika wa DP World

Au tumesahau mara kuwa ktk mkataba wa IGA ya TZ & Dubai Emirate kuna ibara inasema kuwa "......DP World and its affiliate companies....."?

Hizo kampuni ndogo ndogo zitakazopewa majukumu tofauti tofauti bila shaka watafanya kazi chini ya DP World maana kama ilivyo IGA hii mpaka sasa, bandari zote za Tanganyika ni zao..!

Ili tujue DP hawapo tena, ni sharti Rais Samia Suluhu Hassan aseme kuwa 'tumeiondoa IGA hii". Bila kauli toka Kwa aliyesaini, basi tambueni kuwa DP World wapo maana mkataba ulishakuwa ratified (domesticated) na Bunge tayari....!!
Aisee!!! Atalitolea ufafanuzi nadhani, muhusika.
 
Tarehe 25 mwezi wa kumi nenda bandarini utaona DPW akianza shughuli za uendeshaji wa magati namba tatu mpaka saba pale TPA.
Hapo sasa DP WEDI WANARUHUSIWA KUOMBA, LKN SI KAMA VILE WALIVYOTAKA FANYA

Sent from my SM-G977B using JamiiForums mobile app
 
Maaskofu walichemka sana kuusoma ule waraka. Halafu ni majina 32 wakaorodheshwa kumbe wanaingizwa mkenge bila ya kufahamu.

Kama DPW amenunua hiyo bandari imeweza vipi kutangaza tender ya kuendesha magati yake?.

Hatujui mambo mengi na hatutaki kukubali kwamba hatujui.
Wewe una akili ndogo unatakiwa kujua kulingana na ile IGA DPW ndio wenye mamlaka ya bandari yote na Tanzania wakitaka kufanya lolote watawajuza kwa hiyo kwakifupi DPW wamepewa taarifa na wameruhusu kutangazwa kwa tenda na sitoshangaa na wao wakawa wahusika wa kuomba hiyo tenda na kushinda!

Tunajua serikali inajaribu kujitekenya halafu baadae icheke😂😂😂😂
 
Uelewa wako mdogo sana. Hizo terms zingekuwa na matatizo hao mabosi wa TPA wangepata wapi mamlaka ya kuandika hilo tangazo la kumhitaji muendeshaji mwingine?.

Tafuta mtu mwenye uelewa wa kitu wa kina ili upate shule kiasi kwamba unapokuja kuandika kitu uwe angalau kwa asilimia sitini unaelewa unaandika nini.
Terms ziko wazi nenda kasome ! DPW wanajulishwa na tenda inatangazwa na wao ndio wanahamua nani awe mwekezaji na kwa aina hii ya tenda ni wazi kuwa DPW wanaweza kushinda kupitia wao direct au kampuni yao ili kuendelea na kiini macho ..kama umesoma IGA uwezi shangaa TPA kutangaza tenda lakini kwa ile IGA hii ni kiini macho 😎😎😎😎
 
Wewe una akili ndogo unatakiwa kujua kulingana na ile IGA DPW ndio wenye mamlaka ya bandari yote na Tanzania wakitaka kufanya lolote watawajuza kwa hiyo kwakifupi DPW wamepewa taarifa na wameruhusu kutangazwa kwa tenda na sitoshangaa na wao wakawa wahusika wa kuomba hiyo tenda na kushinda!

Tunajua serikali inajaribu kujitekenya halafu baadae icheke😂😂😂😂
Mwelekeze Ng"ombe wa CCM Huyo
 
Wazawa wenye uwezo wa kuendesha bandari wameitwa hapo TPA wafanye kazi ya kuinua uchumi wa nchi na sio kuishia kupiga domo mitandaoni.

Hiyo barua ya TPA ni dongo zito sana kwa kina Tibaijuka na wazalendo wengine wajuaji, kwamba kama uwezo wanao waende wakaendeshe bandari kwa vitendo.
Kwa hiyo wewe unafurahia kusikia watz hawana uwezo wa kuendesha bandari? Crazy!!! We mtu wa hovyo kweli.
 
Wanaleta kanyaboya, ukishangaa huku wanapiga kule.
 
Back
Top Bottom