Nguvu ya TECKuna tangazo la tenda kutoka mamlaka ya bandari Tanzania ambalo limetolewa leo mwezi wa nane likiwataka wenye uwezo kuomba kuendesha gati namba 2 ya bandari iliyokuwa ikisemekana hapo kabla kuwa imechukuliwa na kampuni la DP world kutoka Dubai.
Je DP world wameachia?
Kama ni kweli, hongera sana Dk Slaa, wakili msomi Mwambukusi, Peter Madeleka, Mdude Nyagali na wengine wengi waliopambana na majizi ndani ya serikali yaliyokuwa yanauza bandari kimyakimya.
View attachment 2734362
Unamanisha ya Dubai yenyewe ? Au hihi ya Tanzania ikaje upyaDp world karibuni Tanzania
Waje wenyewe dp world ya Dubai sio hii ya pwani na Kanda ya kati iliyobuniwa Ili itapeli na ardhi za watanzania and nkWataomba upya
Amtaje ,hamu anayo kikanda kinachoendelea sio jambodogoHumtaji Lissu ata iweje [emoji2957][emoji2957][emoji2957]
Upo sahihi. Kwa mujibu wa IGA, DPW inaenda****Mkuu, nadhani hiyo Terminal II si sehemu ya IGA. Jiridhishe na Appendix 1 ya IGA.
Hao chawa wa mama kichwani matope matupu.Wewe una akili ndogo unatakiwa kujua kulingana na ile IGA DPW ndio wenye mamlaka ya bandari yote na Tanzania wakitaka kufanya lolote watawajuza kwa hiyo kwakifupi DPW wamepewa taarifa na wameruhusu kutangazwa kwa tenda na sitoshangaa na wao wakawa wahusika wa kuomba hiyo tenda na kushinda!
Tunajua serikali inajaribu kujitekenya halafu baadae icheke[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
nadhani hata hatujui tunashangilia nn maskini siyeUpo sahihi. Kwa mujibu wa IGA, DPW inaenda****
Kusimamia, Kuendesha na Kuendeleza ******eneo jingine tofauti na eneo hilo lililotangazwa kwa uzabuni
Ilishakufa inaishinkwenye kamba nyembamba ya policcm tuCCM yangu pendwa inajifia taratibu
Aibu sn kuwa na bunge la jinga namna ileMatakataka[emoji23][emoji23][emoji23](Kwa Sauti ya Chalii yangu OllaChuga Oc )
IGA ya kiswahili umeitunga wewe?Isome IGA ya kiswahili naona hiyo nyingine inakuchanganya.
Nimesha karibia, wenye kuhara damu wacha wahare.Dp world karibuni Tanzania
Atakujibu?Serikali ya mama Samia na serikali ya Dubai wameachia kwa kuwaogopa mwambulukusi, mdudu na silaa.
Wanatisha hao three the hardways.
Hivi wako wapi mashujaa?
Wewe na kanisa lako sijui TEC mlishajibiwa kuwa hamna jeuri ya kuligawa Taifa kama unabisha waambie hao TEC wafanye cha kufanyaTEC ni lidude likubwa haliwezi kupigizana kelele kama wanavyofanya mashehe ubwabwa wakina mazinge,muharam,asad,ponda nk.Wametoa WARAKA wamekaa kimya sasa samia ashupaze shingo aone kitakachotokea.
Vp bandari zimeuzwa hazijauzwa?Msimamo ni uleule ila nimemuuliza kidampa wa DP world atoe ufafanuzi!!
Hilo la kuuzwa sio sahihi but changamoto ni πππVp bandari zimeuzwa hazijauzwa?
Profesa Assad alisema kwamba afrika inao upungufu wa nguvu kazi yenye elimu, huyo ni CAG mstaafu ambaye lazima ni mtu wa TISS pia.Kwa hiyo wewe unafurahia kusikia watz hawana uwezo wa kuendesha bandari? Crazy!!! We mtu wa hovyo kweli.
Mengi hatuyajui tena yale ya kitaalam. DPW anatarajia kuja na ufanisi wa mapato ya trilioni 28 kwa mwaka pesa atakayokusanya TRA, sidhani kama tunanyonywa na hawa waarabu.Tatizo siyo DP World ,Tatizo ni Mikataba ya Kimangungo hata hao wapya wakija na IGA/HGA zilezile haina maana....Wabadilishe vipengele ambavyo wanasheria walivipinga ili iwe win-win na si huu wa sasa ambao 100% inakula kwetu.