DP World wameachia Bandari? TPA yatangaza kutafuta Mzabuni kuhudumia Makasha katika Terminal II

DP World wameachia Bandari? TPA yatangaza kutafuta Mzabuni kuhudumia Makasha katika Terminal II

Kuna tangazo la tenda kutoka mamlaka ya bandari Tanzania ambalo limetolewa leo mwezi wa nane likiwataka wenye uwezo kuomba kuendesha gati namba 2 ya bandari iliyokuwa ikisemekana hapo kabla kuwa imechukuliwa na kampuni la DP world kutoka Dubai.

Je DP world wameachia?

Kama ni kweli, hongera sana Dk Slaa, wakili msomi Mwambukusi, Peter Madeleka, Mdude Nyagali na wengine wengi waliopambana na majizi ndani ya serikali yaliyokuwa yanauza bandari kimyakimya.

View attachment 2734362
Nguvu ya TEC
 
Wewe una akili ndogo unatakiwa kujua kulingana na ile IGA DPW ndio wenye mamlaka ya bandari yote na Tanzania wakitaka kufanya lolote watawajuza kwa hiyo kwakifupi DPW wamepewa taarifa na wameruhusu kutangazwa kwa tenda na sitoshangaa na wao wakawa wahusika wa kuomba hiyo tenda na kushinda!

Tunajua serikali inajaribu kujitekenya halafu baadae icheke[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hao chawa wa mama kichwani matope matupu.
 
Upo sahihi. Kwa mujibu wa IGA, DPW inaenda****
Kusimamia, Kuendesha na Kuendeleza ******eneo jingine tofauti na eneo hilo lililotangazwa kwa uzabuni
nadhani hata hatujui tunashangilia nn maskini siye
 
TEC ni lidude likubwa haliwezi kupigizana kelele kama wanavyofanya mashehe ubwabwa wakina mazinge,muharam,asad,ponda nk.Wametoa WARAKA wamekaa kimya sasa samia ashupaze shingo aone kitakachotokea.
Wewe na kanisa lako sijui TEC mlishajibiwa kuwa hamna jeuri ya kuligawa Taifa kama unabisha waambie hao TEC wafanye cha kufanya
 
Kina Tulia watatoa wapi hela za kurudisha kwa mwarabu. Au walikuwa hawajazitumia?
 
Tatizo siyo DP World ,Tatizo ni Mikataba ya Kimangungo hata hao wapya wakija na IGA/HGA zilezile haina maana....Wabadilishe vipengele ambavyo wanasheria walivipinga ili iwe win-win na si huu wa sasa ambao 100% inakula kwetu.
 

Attachments

  • 1687761662681.jpeg
    1687761662681.jpeg
    136.5 KB · Views: 1
Kwa hiyo wewe unafurahia kusikia watz hawana uwezo wa kuendesha bandari? Crazy!!! We mtu wa hovyo kweli.
Profesa Assad alisema kwamba afrika inao upungufu wa nguvu kazi yenye elimu, huyo ni CAG mstaafu ambaye lazima ni mtu wa TISS pia.

Na yeye aliongea akiwa anafurahia uwezo wetu wa kuendesha bandari kuwa mdogo?, ukweli siku zote unaposemwa huwa ni tiba kwa yule anayeusikia ndio maana ya msemo usemao ukweli unauma.
 
Tatizo siyo DP World ,Tatizo ni Mikataba ya Kimangungo hata hao wapya wakija na IGA/HGA zilezile haina maana....Wabadilishe vipengele ambavyo wanasheria walivipinga ili iwe win-win na si huu wa sasa ambao 100% inakula kwetu.
Mengi hatuyajui tena yale ya kitaalam. DPW anatarajia kuja na ufanisi wa mapato ya trilioni 28 kwa mwaka pesa atakayokusanya TRA, sidhani kama tunanyonywa na hawa waarabu.
 
Back
Top Bottom