DP World wameachia Bandari? TPA yatangaza kutafuta Mzabuni kuhudumia Makasha katika Terminal II

Source ya tangazo wapi?

Hilo tangazo liko wapi source yake? Au mtu kachapa tu Internet cafe kuzuga watu

Bila source ni ujinga mtupu

Watanzania hawadanganyiki kirahisi hivyo
 
Hao wanao tangaza hyo kazi wao wameshindwa nn kuongeza wigo kusimamia gati hilo shenzi zaoo
 
Najipanga
 
Hongera sana Dk Slaa, wakili msomi Mwambukusi, Peter Madeleka, Mdude Nyagali na wengine wengi waliopambana na majizi ndani ya serikali yaliyokuwa yanauza bandari kimyakimya.
Hahahahahahahahahahaaaaaaa!
Dah, kweli kuna watu mazuzu aisee!!!!
 
Kumbe tamasha Lile ni kujikosha Kwa Aibu!!
 
Hamna chochote cha kufurahia hapo, hiyo ni michezo ya Samia kutaka kuhalalisha kwamba mwarabu alipewa bandari baada ya taratibu zote kufuatwa.

Mwanzo walilazimisha kubadili sheria ili iwanufaishe waarabu, wakaona mambo magumu, bunge likagoma na serikali ikakubali yaishe.

Sasa wamekuja na hii mbinu ya kutanganza tender, kwasababu wengi walilalamika mwarabu amepewa bila kushindanishwa, hapo wanamtengenezea mazingira mwarabu ashinde ili wapate uhalali wa kumpa bandari.

Lakini pia, hata ukisoma objectives za IGA, mwarabu amepewa aendeshe bandari zote Tanganyika, tena kwa muda usiojulikana, hivyo hata kama hiyo terminal 2 akiendesha mwingine, itakuwa ni kwa muda tu, kwasababu hiyo terminal 2 bado ipo ndani ya bandari ya Dsm ambayo mwarabu ameshakabidhiwa milele, msidanganyike.

Serikali ya Samia inatakiwa kuvunja ule mkataba wa hovyo wa IGA walioingia na mwarabu, wasitudanganye kwa hii michezo ya kitoto wanayocheza, ni utapeli mtupu.
 
Baada ya Bunge kutupilia mbali Ile SHERIA ya maliasili kulinda DP World, hiyo IGA imekuwa Rasmi Fake na BATILI.
 
Baada ya Bunge kutupilia mbali Ile SHERIA ya maliasili kulinda DP World, hiyo IGA imekuwa Rasmi Fake na BATILI.
Ndio wanatakiwa sasa kutuambia ule mkataba kati yao na mwarabu wameuvunja, ijulikane rasmi, sio kutuvizia na hizi hatua zao fupi zisizoeleweka.

Ieleweke wazi, tatizo sio tender kutangazwa, tatizo pale ni terms za hovyo kwenye ule mkataba wa IGA, msidanganyike.
 
Maulid Kitenge mzee wa minyama anasemaje kwenye hili?

Kuna info yeyote amepost inayohusiana na hili swala?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…