DP World wameachia Bandari? TPA yatangaza kutafuta Mzabuni kuhudumia Makasha katika Terminal II

Tukisema watz ni wapumbavu kwa kukurupuka mnasema sie ni machawa [emoji28][emoji28]mda hua unasema kweli mdogo mdogo mtajua hao kina slaa ni wahuni
Wanajifanya kama hawaoni. Zile hoja zao za kipuuzi kuwa Mama ameuza bandari ni kama wamezisahau vile wamerukia mambo mengine.

Ukweli ingawa unachelewaga ila uzuri wake ni kwamba lazima ufikege
 
Tunawakumbusha tu TEC ,Profesa Tibaijuka, Kinana , GSM na wengine kuwa TPA wametoa tenda ya kuendesha bandari.

Kufuatia ule waraka wenu mliosa mmetumwa na watanzania sasa hapa ndipo tunataka waje wale wawekezaji wenu mliokuwa mnawasema kwenye ule waraka wenu wa ki intarahamwe kuwa kuwa watanzania wanaweza kufanya hii kazi.

Hatutaki mje kuanza kuwalaumu waarabu kwa haya mambo maana mmesema kuna watanzania wana uwezo,haya tangazo la kuitisha tenda hili hapa mkalisome makanisani kama mlivyousoma waraka ule ili wale mnaosema wana uwezo waje kuomba na wapewe kazi hii.

Na nyie mshatengeneza makampuni yenu hewa mje nayo.. yote yatakuwa ni vivuli vya DPW. Mnatuchukulia poa sana nyie [emoji35].
 
Screenshot_20230831-164523.png
 
View attachment 2734325

Haya kelele za Watanzania wengi zimesikilizwa, Wenye sifa waombe kazi hiyo, tupunguze lawama.
DP World anategemewa kuendesha magati namba tatu mpaka saba, huyo anayetafutwa ni muendelezaji mwingine wa magati namba nane mpaka kumi na moja.

Hii ni aibu kwa baraza la maaskofu waliosema wanapinga bandari zote nchini kupewa DPW, hayo magati yanayotafuta muendelezaji ni sehemu tu ya bandari ya Dar.

Kuna tangazo kama hili litakuja baadae mwaka huu kuhusu uendelezaji wa bandari ya Bagamoyo.

Kuna tangazo lingine litakuja kuhusu uendelezaji wa bandari ya Mbamba Bay kule Ziwa Nyasa na kutakuwa na tangazo kuhusu bandari ya Ziwa Tanganyika.

Kote huko serikali itatangaza nafasi ya uendelezaji wa bandari hizo. Maaskofu hawajamtendea haki Rais SSH kwa kuja na waraka ambao umefanana na upotoshaji wa kinachotegemewa kufanyika.
 
Ni kiinimacho hawataki lawama. Kilingana mkataba wa DTW wao watakuwa na mamlaka ya mwisho ya kumtangaza mshindi. TPA ni kipaza sauti tu.

Sent from my Infinix X689F using JamiiForums mobile app
Sio kweli hata kidogo. DPW ni sehemu ya wakodishaji wa TPA, hana mamlaka juu ya wawekezaji wengine.

Huu uongo ndio ukawaingia maaskofu na wakauamini kisha wakaandika waraka na kuusambaza makanisani. Aibu sana.
 
Usijizime data, hiyo ni moja ya utekelezaji wa HGA (Host government agreements) mikataba hiyo ipo ndani ya mkataba mkuu wa IGA. Bado ngoma mbichi.
Anawashukuru hao wapotoshaji walioshindwa kesi huko mahakamani, kuna watu wanakwenda kuaibika siku zijazo.
 
DP World anategemewa kuendesha magati namba tatu mpaka saba, huyo anayetafutwa ni muendelezaji mwingine wa magati namba nane mpaka kumi na moja.

Hii ni aibu kwa baraza la maaskofu waliosema wanapinga bandari zote nchini kupewa DPW, hayo magati yanayotafuta muendelezaji ni sehemu tu ya bandari ya Dar.

Kuna tangazo kama hili litakuja baadae mwaka huu kuhusu uendelezaji wa bandari ya Bagamoyo.

Kuna tangazo lingine litakuja kuhusu uendelezaji wa bandari ya Mbamba Bay kule Ziwa Nyasa na kutakuwa na tangazo kuhusu bandari ya Ziwa Tanganyika.

Kote huko serikali itatangaza nafasi ya uendelezaji wa bandari hizo. Maaskofu hawajamtendea haki Rais SSH kwa kuja na waraka ambao umefanana na upotoshaji wa kinachotegemewa kufanyika.
Kinachogomba pale bandarini kwa sasa ni terms za kwenye ule mkataba wa IGA, wala sio nani ataendesha gati ipi..

Umejaza ujinga mwingi kichwani mpaka naihurumia shingo yako!.
 
Wanajifanya kama hawaoni. Zile hoja zao za kipuuzi kuwa Mama ameuza bandari ni kama wamezisahau vile wamerukia mambo mengine.

Ukweli ingawa unachelewaga ila uzuri wake ni kwamba lazima ufikege
Walisema Bandari zote Tanzania zimeuzwa, na mkataba hauvunjiki. Ila leo wanakwambia mama aachana na DP mara ooh, full ujinga yaani.
 
Tunawakumbusha tu TEC ,Profesa Tibaijuka, Kinana , GSM na wengine kuwa TPA wametoa tenda ya kuendesha bandari.

Kufuatia ule waraka wenu mliosa mmetumwa na watanzania sasa hapa ndipo tunataka waje wale wawekezaji wenu mliokuwa mnawasema kwenye ule waraka wenu wa ki intarahamwe kuwa kuwa watanzania wanaweza kufanya hii kazi.

Hatutaki mje kuanza kuwalaumu waarabu kwa haya mambo maana mmesema kuna watanzania wana uwezo,haya tangazo la kuitisha tenda hili hapa mkalisome makanisani kama mlivyousoma waraka ule ili wale mnaosema wana uwezo waje kuomba na wapewe kazi hii.
Maaskofu walichemka sana kuusoma ule waraka. Halafu ni majina 32 wakaorodheshwa kumbe wanaingizwa mkenge bila ya kufahamu.

Kama DPW amenunua hiyo bandari imeweza vipi kutangaza tender ya kuendesha magati yake?.

Hatujui mambo mengi na hatutaki kukubali kwamba hatujui.
 
Bado itakuwa ni ushindi, maana document ya tenda itakuja na mkataba mzuri, sio ule alioutengeneza yeye. Kumbuka watu tunapinga nkataba, sio uwekezaji. Akili itawakaa sawa tu
Waraka wa Kanisa unakataa kubinafsisha wao wanataka serikali iendelee
 
Kinachogomba pale bandarini kwa sasa ni terms za kwenye ule mkataba wa IGA, wala sio nani ataendesha gati ipi..

Umejaza ujinga mwingi kichwani mpaka naihurumia shingo yako!.
IGA unayosema wewe ni ya DPW, ina uhusiano gani na huyu mwekezaji mpya anayetafutwa?.

Tatizo lile lile la Tanzania kila mtu kujifanya anajua kila kitu, kumbe anaishia kuchekesha tu watu.
 
Sio kweli hata kidogo. DPW ni sehemu ya wakodishaji wa TPA, hana mamlaka juu ya wawekezaji wengine.

Huu uongo ndio ukawaingia maaskofu na wakauamini kisha wakaandika waraka na kuusambaza makanisani. Aibu sana.
Hivi umeusoma hata ule mkataba wa IGA, au unaimba tu hapa kama kasuku?!

Nenda kasome zile terms za hovyo kule usituimbie taarabu zako hapa.
 
Back
Top Bottom