Dan Zwangendaba
JF-Expert Member
- Apr 25, 2014
- 5,814
- 8,118
Nauliza lingine, Bandari imeuzwa au haijauzwa?Hili swali kwangu la kitoto sana, tafuta lingine kama ubongo wako unafanya kazi vizuri..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nauliza lingine, Bandari imeuzwa au haijauzwa?Hili swali kwangu la kitoto sana, tafuta lingine kama ubongo wako unafanya kazi vizuri..
He! Hii ni bandari ile ile tuloambiwa imeuzwa... au nyingine!?View attachment 2734325
Haya kelele za Watanzania wengi zimesikilizwa, Wenye sifa waombe kazi hiyo, tupunguze lawama.
Kumbe bandari haijauzwa!Kuna tangazo la tenda kutoka mamlaka ya bandari Tanzania ambalo limetolewa leo mwezi wa nane likiwataka wenye uwezo kuomba kuendesha gati namba 2 ya bandari iliyokuwa ikisemekana hapo kabla kuwa imechukuliwa na kampuni la DP world kutoka Dubai.
Je DP world wameachia?
Kama ni kweli, hongera sana Dk Slaa, wakili msomi Mwambukusi, Peter Madeleka, Mdude Nyagali na wengine wengi waliopambana na majizi ndani ya serikali yaliyokuwa yanauza bandari kimyakimya.
View attachment 2734362
Uelewa wako mdogo sana. Hizo terms zingekuwa na matatizo hao mabosi wa TPA wangepata wapi mamlaka ya kuandika hilo tangazo la kumhitaji muendeshaji mwingine?.Hivi umeusoma hata ule mkataba wa IGA, au unaimba tu hapa kama kasuku?!
Nenda kasome zile terms za hovyo kule usituimbie taarabu zako hapa.
Ndio maana nimejua wewe ni kichwa maji usiyejielewa, hujui hata kama ile IGA ya DPW itaingilia sehemu ya majukumu ya huyo mwekezaji kama akiwa tofauti na hao waarabu, kasome ile IGA usipotezee watu muda hapa na kelele zakoIGA unayosema wewe ni ya DPW, ina uhusiano gani na huyu mwekezaji mpya anayetafutwa?.
Tatizo lile lile la Tanzania kila mtu kujifanya anajua kila kitu, kumbe anaishia kuchekesha tu watu.
Hivi sio nyie mliosema bandari imeuzwa!?Hatimaye Wananchi Wameshinda !
Sasa kati ya wewe na yeye nani aliyesoma akaelewa? Nyie si mlisema Bandari kauziwa DP World, iweje TPA atangaze kukodisha mali ya mtu?Hivi umeusoma hata ule mkataba wa IGA, au unaimba tu hapa kama kasuku?!
Nenda kasome zile terms za hovyo kule usituimbie taarabu zako hapa.
Kwa maelezo haya, nina uhakika haujausoma. Ni bahati mbaya sana kuna baadhi ya watu hawakuusoma waraka wa TEC, badala yake walisimuliwa misikitini na kwenye vijiwe vingine kuwa Maaskofu wa RC wanakataa uwekezajiWaraka wa Kanisa unakataa kubinafsisha wao wanataka serikali iendelee
Kwa hiyo unataka nikubali ujinga kama wewe?!Huyo mjomba kajaa chuki mpaka shingoni, kila kauli yake ni kupinga tu.
Ila hapa, kwa macho yanayoona mbali kuna kitu. Huyo huyo DPW anaweza kuwa nyuma ya Pazia, Watawala wa leo ni ngum sana kuyaamin wayatendayo.View attachment 2734325
Haya kelele za Watanzania wengi zimesikilizwa, Wenye sifa waombe kazi hiyo, tupunguze lawama.
Hao wajinga ndio wamejazana humu na viswali vyao vya kitoto.Kwa maelezo haya, nina uhakika haujausoma. Ni bahati mbaya sana kuna baadhi ya watu hawakuusoma waraka wa TEC, badala yake walisimuliwa misikitini na kwenye vijiwe vingine kuwa Maaskofu wa RC wanakataa uwekezaji
Hujui unachoandika mkuu denooj. Kama IGA ingekuwa na nguvu hapo bandarini, hilo tangazo lisingeandikwa na boss wa TPA.Ndio maana nimejua wewe ni kichwa maji usiyejielewa, hujui hata kama ile IGA ya DPW itaingilia sehemu ya majukumu ya huyo mwekezaji kama akiwa tofauti na hao waarabu, kasome ile IGA usipotezee watu muda hapa na kelele zako
Majaliwa alipo hana furaha, japo usoni ana bashasha lakin moyoni daaah sanaa tu.Ccm imeoza na inanuka vibaya. Massoro mmemtimua, ... Majaliwa hana amani. KISA DPW.
Kuna ujinga zaidi ya huu wa kwako wa kuandika vitu usivyovifahamu?.Kwa hiyo unataka nikubali ujinga kama wewe?!
Stop this nonsense.
Narudia tena, kasome IGA yote ndio urudi hapa, kulazimisha kuwaamini TPA ambao walishajichanganya toka mwanzo kwa taarifa zao ni ujinga, nenda kasome ile IGA uje hapa uniambie TPA wana nguvu gani baada ya mwarabu kupewa bandari, Sawa?Uelewa wako mdogo sana. Hizo terms zingekuwa na matatizo hao mabosi wa TPA wangepata wapi mamlaka ya kuandika hilo tangazo la kumhitaji muendeshaji mwingine?.
Tafuta mtu mwenye uelewa wa kitu wa kina ili upate shule kiasi kwamba unapokuja kuandika kitu uwe angalau kwa asilimia sitini unaelewa unaandika nini.
NakaziaUpo sahihi pale hakuna bunge ni takataka kabisa
Tutaelewana tu, bakini na mwarabu wenuHivi sio nyie mliosema bandari imeuzwa!?
Hivi unajua ile IGA ina kipengele kinachotaka mwarabu awe wa kwanza kujulishwa juu ya fursa mpya za kiuchumi zitakazojitokeza?Hujui unachoandika mkuu denooj. Kama IGA ingekuwa na nguvu hapo bandarini, hilo tangazo lisingeandikwa na boss wa TPA.
Na hilo sio tangazo la mwisho, kuna muendelezaji anatafutwa kwa ajili ya bandari ya Mbamba bay. Kuna mwingine atatafutwa kwa ajili ya uendeshaji wa bandari ya Bagamoyo, na kuna wengine watatafutwa kwa ajili ya Bandari ya Ziwa Tanganyika.
Sio Chuki tu, na ujinga mwingi vichwani mwaoHuyo mjomba kajaa chuki mpaka shingoni, kila kauli yake ni kupinga tu.