GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Yaani DP World wawepo hadi nchi kubwa ya watu wanaojitambua Duniani ya Uingereza halafu Waswahili wa Tanzania tuikatae?
Taratibu sasa naanza kuamini kuwa huenda Taifa letu lina bahati ya kuwa na population kubwa ya watu Milioni 61 na Vyuo Vikuu vingi ila wanaojielewa hasa wakawa hawazidi hata elfu hamsini (50,000).
Yaani DP World ashindwe kuharibu nchi ya Uingereza aliyomo (kiuwekezaji wa bandari) na nchi zingine 36 halafu akija Uswahilini Tanzania asiweze kufanya vyema huko aliko na alikofanya vyema?
DP World wapewe bandari tafadhali.