DP World wawepo Uingereza kwa wanaojitambua halafu Waswahili wa Tanzania tuikatae?

DP World wawepo Uingereza kwa wanaojitambua halafu Waswahili wa Tanzania tuikatae?

Sikiliza hapa ujue sababu ya DP World kukataliwa..

uingereza hawajaingia nao mkataba kama wa kwetu pimbi wee. tunachogomba ni terms za mkataba, na sio uwekezaji wa dp world. akili zako ziko makalioni aisee.
 
Yaani DP World wawepo hadi nchi kubwa ya watu wanaojitambua Duniani ya Uingereza halafu Waswahili wa Tanzania tuikatae?

Taratibu sasa naanza kuamini kuwa huenda Taifa letu lina bahati ya kuwa na population kubwa ya watu Milioni 61 na Vyuo Vikuu vingi ila wanaojielewa hasa wakawa hawazidi hata elfu hamsini (50,000).

Yaani DP World ashindwe kuharibu nchi ya Uingereza aliyomo (kiuwekezaji wa bandari) na nchi zingine 36 halafu akija Uswahilini Tanzania asiweze kufanya vyema huko aliko na alikofanya vyema?

DP World wapewe bandari tafadhali.
Shida si kufanya vyema we popoma, embu tonyeshe mikataba ya hizo nchi unazosema tulinganishe, huenda ukawa haumo kati ya hao 50elfu uliotaja. Mbuzi wewe
 
Yaani DP World wawepo hadi nchi kubwa ya watu wanaojitambua Duniani ya Uingereza halafu Waswahili wa Tanzania tuikatae?

Taratibu sasa naanza kuamini kuwa huenda Taifa letu lina bahati ya kuwa na population kubwa ya watu Milioni 61 na Vyuo Vikuu vingi ila wanaojielewa hasa wakawa hawazidi hata elfu hamsini (50,000).

Yaani DP World ashindwe kuharibu nchi ya Uingereza aliyomo (kiuwekezaji wa bandari) na nchi zingine 36 halafu akija Uswahilini Tanzania asiweze kufanya vyema huko aliko na alikofanya vyema?

DP World wapewe bandari tafadhali.
Tunaogopa mirija yetu itakatwa.

Mfano ukiagiza mizigo/gari kutoka ng'ambo ikifika/likifika hapo siku ya kuchukua utakuta vifaa/mzigo kibao umechomolewa/vimechomolewa utatamani kuacha kulia.

Hata mali nyinginezilizofungwa jamaa wanapekenyua na kusepa nazo.

Urasimu ndio mahala pake bandarini.

Bandarini ni deal deal deal za kukera zinapigwa.

Sasa tukisikia wawekezaji wanakuja ni lazima tuwe na hofu juu ya wasiwasi ya kula bata na kuweka heshima mjini.

Kwa ajili ya masilahi ya baadhi yetu wajanja wa mjini, ni lazima tuwazie hatima yetu watakapoanza kazi hao wawekezaji, mirija yetu itakatwa.

Tafakuri inahitajika.
 
We unaona Uingereza ipo sawa na sisi? Elimu, siasa, uwazi na uhuru wa vyombo vya habari? Ulishatizama bunge la Uingereza? Wale jamaa ni vichwa huwezi waingiza mikataba ya kijinga na hata ikitokea utawajibishwa, katiba yao imenyooka, PM wanapigiwa kura za kutoaminiwa na MPs hapa utaweza?

Kingine hizo bandari sio kubwa kwa taifa la Uingereza.
Umemjibu vizuri kabisa,...nilitaka mpa jibu linalofanana na hili.
 
Back
Top Bottom