bongo dili
JF-Expert Member
- Feb 13, 2015
- 12,350
- 25,180
Mwarabu ni kivuli tu Cha mataifa makubwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mmiliki halali wa DP world ni nani?DP World
Umeona mkataba wao na uingereza unasemaje ?Yaani DP World wawepo hadi nchi kubwa ya watu wanaojitambua Duniani ya Uingereza halafu Waswahili wa Tanzania tuikatae?
Taratibu sasa naanza kuamini kuwa huenda Taifa letu lina bahati ya kuwa na population kubwa ya watu Milioni 61 na Vyuo Vikuu vingi ila wanaojielewa hasa wakawa hawazidi hata elfu hamsini (50,000).
Yaani DP World ashindwe kuharibu nchi ya Uingereza aliyomo (kiuwekezaji wa bandari) na nchi zingine 36 halafu akija Uswahilini Tanzania asiweze kufanya vyema huko aliko na alikofanya vyema?
DP World wapewe bandari tafadhali.
Nimesoma heading tu, mkataba ni wa miaka mingapi? Wamepewa Bandar ngapi Tanganyika? Wamepewa bandari ngapi Zanzibar?Yaani DP World wawepo hadi nchi kubwa ya watu wanaojitambua Duniani ya Uingereza halafu Waswahili wa Tanzania tuikatae?
Taratibu sasa naanza kuamini kuwa huenda Taifa letu lina bahati ya kuwa na population kubwa ya watu Milioni 61 na Vyuo Vikuu vingi ila wanaojielewa hasa wakawa hawazidi hata elfu hamsini (50,000).
Yaani DP World ashindwe kuharibu nchi ya Uingereza aliyomo (kiuwekezaji wa bandari) na nchi zingine 36 halafu akija Uswahilini Tanzania asiweze kufanya vyema huko aliko na alikofanya vyema?
DP World wapewe bandari tafadhali.
Kwani mkataba wa waingereza unasemaje?Uingereza hawawezi pitisha mkataba kama wa huu wetu. Hata hao DPW hawawezi wapa Uingereza mkataba kama wetu.
Mnakera mno na kupotoshaNdugu Roadmaster unadhani matusi yako ni mapya? Jitahidi kuwa mbunifu angalau kwenye matusi kwasababu ndo jambo unaloweza. Kasafishe hicho kinyeo chako ndo uje u-comment hapa
DP World mkataba wao na Uingereza ndio huo huo ulijadiliwa na Wabinge wa CCM dodoma?Yaani DP World wawepo hadi nchi kubwa ya watu wanaojitambua Duniani ya Uingereza halafu Waswahili wa Tanzania tuikatae?
Taratibu sasa naanza kuamini kuwa huenda Taifa letu lina bahati ya kuwa na population kubwa ya watu Milioni 61 na Vyuo Vikuu vingi ila wanaojielewa hasa wakawa hawazidi hata elfu hamsini (50,000).
Yaani DP World ashindwe kuharibu nchi ya Uingereza aliyomo (kiuwekezaji wa bandari) na nchi zingine 36 halafu akija Uswahilini Tanzania asiweze kufanya vyema huko aliko na alikofanya vyema?
DP World wapewe bandari tafadhali.
GENTAMYCINE Soma mkataba wa DP world na Uingireza then ulinganishe na mkataba aliousaini Saa100 .Yaani DP World wawepo hadi nchi kubwa ya watu wanaojitambua Duniani ya Uingereza halafu Waswahili wa Tanzania tuikatae?
Taratibu sasa naanza kuamini kuwa huenda Taifa letu lina bahati ya kuwa na population kubwa ya watu Milioni 61 na Vyuo Vikuu vingi ila wanaojielewa hasa wakawa hawazidi hata elfu hamsini (50,000).
Yaani DP World ashindwe kuharibu nchi ya Uingereza aliyomo (kiuwekezaji wa bandari) na nchi zingine 36 halafakija Uswahilini Tanzania asiweze kufanya vyema huko aliko na alikofanya vyema?
DP World wapewe bandari tafadhali.
Yaani DP World wawepo hadi nchi kubwa ya watu wanaojitambua Duniani ya Uingereza halafu Waswahili wa Tanzania tuikatae?
Taratibu sasa naanza kuamini kuwa huenda Taifa letu lina bahati ya kuwa na population kubwa ya watu Milioni 61 na Vyuo Vikuu vingi ila wanaojielewa hasa wakawa hawazidi hata elfu hamsini (50,000).
Yaani DP World ashindwe kuharibu nchi ya Uingereza aliyomo (kiuwekezaji wa bandari) na nchi zingine 36 halafu akija Uswahilini Tanzania asiweze kufanya vyema huko aliko na alikofanya vyema?
DP World wapewe bandari tafadhali.
Ukisikia akili fupi ndio hizi sasa. We unadhani mikataba ni copy and paste itafanana? Unadhani treatment anayopewa mzungu we chausiku utapewa hiyohiyo? Ata mademu zako tu hauwatreat sawa. Kua na akili.Yaani DP World wawepo hadi nchi kubwa ya watu wanaojitambua Duniani ya Uingereza halafu Waswahili wa Tanzania tuikatae?
Taratibu sasa naanza kuamini kuwa huenda Taifa letu lina bahati ya kuwa na population kubwa ya watu Milioni 61 na Vyuo Vikuu vingi ila wanaojielewa hasa wakawa hawazidi hata elfu hamsini (50,000).
Yaani DP World ashindwe kuharibu nchi ya Uingereza aliyomo (kiuwekezaji wa bandari) na nchi zingine 36 halafu akija Uswahilini Tanzania asiweze kufanya vyema huko aliko na alikofanya vyema?
DP World wapewe bandari tafadhali.
Halinaga akili, kwanza ana heshima kwa kipi? Mpayukaji tu huyo.GENTAMYCINE Soma mkataba wa DP world na Uingireza then ulinganishe na mkataba aliousaini Saa100 .
Ukimaliza kuusima UFUTE HIYO THREAD YAKO.
Ili uweze kutunza heshima yako humu Jf.
MKATABAMkataba wa Uingereza una masharti gani na mkataba wa Tanzania una masharti gani ?
Hoja ni masharti ya mkataba kwa nini mnahama kwenye hoja ya msingi mnatafuta visingizio kibao.
Sikiliza hapa ujue sababu ya DP World kukataliwa..Yaani DP World wawepo hadi nchi kubwa ya watu wanaojitambua Duniani ya Uingereza halafu Waswahili wa Tanzania tuikatae?