DP World wawepo Uingereza kwa wanaojitambua halafu Waswahili wa Tanzania tuikatae?

GENTAMYCINE ukiona muarabu kaoa uingereza, hiyo Ni sababu tosha na wewe umpeleke mtoto wako akaolewe na huyo muarabu, hata Kama umesikia huyo muarabu ana kesi mahakamani za kuwatendea watalaka wake ukatili wa kijinsia?
Ndio mlivyofundishwa SAUT!

You need your head examined.
 
Kwani tatizo ni DP au ni mkataba!? Kwani mkataba wa uingereza umeuona!? Hivi huko shuleni SI mliwasumbua Sana walimu!!!?
Watu hawakatai DP wanakataa mkataba!?
 
Uko sahihi popoma. Bongo ina uhaba mkubwa wa wananchi wanaojielewa. Ukitoa makundi yafuatayo unaweza kukuta hata hao wanaojitambua 50k hawafiki;
1. Wafuasi wa Da Mange.
2. Wafuasi wa Mdude Chadema.
3. Wafuasi wa Dr Babutale.
4. Wafuasi wa manabii feki.
Inaonekana huko shuleni walimu wenu chamoto walikiona, watu hawakatai hiyo kampuni wanachokataa ni mkataba!!! Kwan mnatumia kiungo Gani kusikiliza!? Kinyeo au!?
Pili !! Mkataba wa UK na huu ni sawa!??
Duuu watu wagumu kuelewa kama " jiwe"!!
Halafu unakuta unautaka ukuu wa waliya!! Fxck yuuu
 
Unakosea, shida sio DP WORLD kufanya kazi wapi shida mkataba tunaoingia nao kufanya kazi. Acha kuangalia ukubwa wa kampuni hilo halituhusu sana sisi tunaangalia huo mkataba unatija gani kwetu kama taifa. Nimegundua umesoma lakini haupo kati ya hao 50,000 uliowataja hapo maana umeanza kuangalia ukubwa wa kampuni hiyo, sisi inatija gani kwetu. Kwani makampuni yaliyowahi kuingia mikataba mikubwa hapa bongo yalitoka wapi na tukapigwa. Si nihukohuko abroad mf. uingereza, marekani n.k sasa wewe unakuja na hoja ya ukubwa wa kampuni na inapofanya kazi. Hata kama ingekua inafanya kazi bandari za U.S.A
Nakwambia Kuna watu Wana vichwa vigumu kama jiwe!!
 
Inaonekana huko shuleni walimu wenu chamoto walikiona, watu hawakatai hiyo kampuni wanachokataa ni mkataba!!! Kwan mnatumia kiungo Gani kusikiliza!? Kinyeo au!?
Pili !! Mkataba wa UK na huu ni sawa!??
Duuu watu wagumu kuelewa kama " jiwe"!!
Halafu unakuta unautaka ukuu wa waliya!! Fxck yuuu
Mkuu roadmaster huyu bwege anataka u DED. si kwa uchawa huu wa kujitoa ufahamu.
 
Yaani DP World wawepo hadi nchi kubwa ya watu wanaojitambua Duniani ya Uingereza halafu Waswahili wa Tanzania tuikatae?

Taratibu sasa naanza kuamini kuwa huenda Taifa letu lina bahati ya kuwa na population kubwa ya watu Milioni 61 na Vyuo Vikuu vingi ila wanaojielewa hasa wakawa hawazidi hata elfu hamsini (50,000).

Yaani DP World ashindwe kuharibu nchi ya Uingereza aliyomo (kiuwekezaji wa bandari) na nchi zingine 36 halafu akija Uswahilini Tanzania asiweze kufanya vyema huko aliko na alikofanya vyema?

DP World wapewe bandari tafadhali.
wapo uingereza hadi marekani. hatubishi. tunachobisha, hao wenzetu wameweka mkataba kama huu wa kwetu? hata sisi tunapenda DP WORD walete uwekezaji. na ni dhahiri kwasababu wao wamedominate kwenye hiyo tasnia watakuwa na dili za meli nyingi, meli nyingi zitapita dsm port na mombasa itavurugwa mbaya. hiyo ni faida kwetu. hoja yetu ni vipengele vya mikataba, kwanza kutokuwa na ukomo na pili, kutokuturuhusu kujenga bandari ingine kwenye huo muda usio na ukomo. kwahiyo hatutaendeleza bandari ya bagamoyo, tanga, wala mtwara, ziwa tanganyika etc? hapo unasemaje?
 
Inaonekana huko shuleni walimu wenu chamoto walikiona, watu hawakatai hiyo kampuni wanachokataa ni mkataba!!! Kwan mnatumia kiungo Gani kusikiliza!? Kinyeo au!?
Pili !! Mkataba wa UK na huu ni sawa!??
Duuu watu wagumu kuelewa kama " jiwe"!!
Halafu unakuta unautaka ukuu wa waliya!! Fxck yuuu
Ndugu Roadmaster unadhani matusi yako ni mapya? Jitahidi kuwa mbunifu angalau kwenye matusi kwasababu ndo jambo unaloweza. Kasafishe hicho kinyeo chako ndo uje u-comment hapa
 
Yaani DP World wawepo hadi nchi kubwa ya watu wanaojitambua Duniani ya Uingereza halafu Waswahili wa Tanzania tuikatae?

Taratibu sasa naanza kuamini kuwa huenda Taifa letu lina bahati ya kuwa na population kubwa ya watu Milioni 61 na Vyuo Vikuu vingi ila wanaojielewa hasa wakawa hawazidi hata elfu hamsini (50,000).

Yaani DP World ashindwe kuharibu nchi ya Uingereza aliyomo (kiuwekezaji wa bandari) na nchi zingine 36 halafu akija Uswahilini Tanzania asiweze kufanya vyema huko aliko na alikofanya vyema?

DP World wapewe bandari tafadhali.
Hiyo Uengereza inaongozwa na CCM?
 
Wape na mkeo pia,wako vizuri.
 
Bhangi ni kweli haijawahi kumwacha mtu salama.kichwa kisichokuw na akili ni mzigo kwa shingo.
 
Yaani DP World wawepo hadi nchi kubwa ya watu wanaojitambua Duniani ya Uingereza halafu Waswahili wa Tanzania tuikatae?

Taratibu sasa naanza kuamini kuwa huenda Taifa letu lina bahati ya kuwa na population kubwa ya watu Milioni 61 na Vyuo Vikuu vingi ila wanaojielewa hasa wakawa hawazidi hata elfu hamsini (50,000).

Yaani DP World ashindwe kuharibu nchi ya Uingereza aliyomo (kiuwekezaji wa bandari) na nchi zingine 36 halafu akija Uswahilini Tanzania asiweze kufanya vyema huko aliko na alikofanya vyema?

DP World wapewe bandari tafadhali.
Unasema kwamba mkataba ulioletwa Tanzania au unaotaka kusainiwa ndiyo huo unaotumika pale Uingereza au sijakuelewa chief
 
Yaani DP World wawepo hadi nchi kubwa ya watu wanaojitambua Duniani ya Uingereza halafu Waswahili wa Tanzania tuikatae?

Taratibu sasa naanza kuamini kuwa huenda Taifa letu lina bahati ya kuwa na population kubwa ya watu Milioni 61 na Vyuo Vikuu vingi ila wanaojielewa hasa wakawa hawazidi hata elfu hamsini (50,000).

Yaani DP World ashindwe kuharibu nchi ya Uingereza aliyomo (kiuwekezaji wa bandari) na nchi zingine 36 halafu akija Uswahilini Tanzania asiweze kufanya vyema huko aliko na alikofanya vyema?

DP World wapewe bandari tafadhali.
Na Uingereza nako bandari zote mpaka inayofanana na ya Kibirizi nayo wamepewa DPW?
Uingereza nako wamepewa mkataba at infinity?
 
Yaani DP World wawepo hadi nchi kubwa ya watu wanaojitambua Duniani ya Uingereza halafu Waswahili wa Tanzania tuikatae?

Taratibu sasa naanza kuamini kuwa huenda Taifa letu lina bahati ya kuwa na population kubwa ya watu Milioni 61 na Vyuo Vikuu vingi ila wanaojielewa hasa wakawa hawazidi hata elfu hamsini (50,000).

Yaani DP World ashindwe kuharibu nchi ya Uingereza aliyomo (kiuwekezaji wa bandari) na nchi zingine 36 halafu akija Uswahilini Tanzania asiweze kufanya vyema huko aliko na alikofanya vyema?

DP World wapewe bandari tafadhali.
Je mkataba walioingia na Uingereza unafana na huu wa Tanganyika? Maana kuna uwezekanao mkubwa kwamba kuna vifungu ambavyo huku Tanganyika vimewekwa kwa ajiliya kuibana Tanganganyika, lakini kule kwa waingereza havikuwekwa maana walivikataa.
 
Yaani DP World wawepo hadi nchi kubwa ya watu wanaojitambua Duniani ya Uingereza halafu Waswahili wa Tanzania tuikatae?

Taratibu sasa naanza kuamini kuwa huenda Taifa letu lina bahati ya kuwa na population kubwa ya watu Milioni 61 na Vyuo Vikuu vingi ila wanaojielewa hasa wakawa hawazidi hata elfu hamsini (50,000).

Yaani DP World ashindwe kuharibu nchi ya Uingereza aliyomo (kiuwekezaji wa bandari) na nchi zingine 36 halafu akija Uswahilini Tanzania asiweze kufanya vyema huko aliko na alikofanya vyema?

DP World wapewe bandari tafadhali.
Mkataba wa Uingereza una masharti gani na mkataba wa Tanzania una masharti gani ?
Hoja ni masharti ya mkataba kwa nini mnahama kwenye hoja ya msingi mnatafuta visingizio kibao.
 
Back
Top Bottom