DP World wawepo Uingereza kwa wanaojitambua halafu Waswahili wa Tanzania tuikatae?

mleta uzi ni shekhe ubwabwa tu yaani waingereza unadhani wao wanasaini tu makitu kichwa kichwa wasisome between the line? leta mkataba wa DP na hao waingereza uone kama kuna sehemu wameandika mkataba utakuwa wa maisha na hauwezi kufutika hata kama nchi zitavunja uhusiano wa kibalozi. Pia leta mkataba wa uingereza ambao unasema hata masuala ya kiusalama yanapotaka kufanyika kwao lazima waombe ridhaa ya DP. Mkishalewa viposho vyenu hivyo na kupewa vibabando vya bure huko kwenye vishkwambi vya sensa mnaharisha tu maneno. Fisiemu mmefilisika hamna jipya na angefufuka muasisi wenu angelamba mboko wooote na kufukuzia mbali kabisa.SHAME
 
Tatizo sio Dp kuja kuwekeza Tanzania tatizo masharti Yao tunayoyasaini je unajua ndo hayo hayo waliyoyaaini na uingereza???
 
Watu mnaotetea mkataba huwa hamtaki kabisa kuongelea vipengele....huwa mnatoa mawazo ya jumla jumla tu kama hivi,hoja za kugusa vipengele vyenye utata huwa hamzitaki.
 
Yaani DP World wawepo hadi nchi kubwa ya watu wanaojitambua Duniani ya Uingereza halafu Waswahili wa Tanzania tuikatae?

Taratibu sasa naanza kuamini kuwa huenda Taifa letu lina bahati ya kuwa na population kubwa ya watu Milioni 61 na Vyuo Vikuu vingi ila wanaojielewa hasa wakawa hawazidi hata elfu hamsini (50,000).

Yaani DP World ashindwe kuharibu nchi ya Uingereza aliyomo (kiuwekezaji wa bandari) na nchi zingine 36 halafu akija Uswahilini Tanzania asiweze kufanya vyema huko aliko na alikofanya vyema?

DP World wapewe bandari tafadhali.
Umeona mkataba wao na uingereza unasemaje ?
 
Uingereza wanajielewa ?!!!!

Kila scenario inabidi ichunguzwe kutokana na Mazingira husika...., Unadhani DP World wangepewa Tanga, Wachina huko Tanganyika na huku kukawa na leasing ya muda mfupi mfupi kwa kutoa Tender kuna mtu angepiga kelele ?

Privatization ina faida moja tu competition na bila competition mtu binafsi yupo answerable kwenye jambo moja tu (maximum profit for his / her own coffers)
 
Yaani DP World wawepo hadi nchi kubwa ya watu wanaojitambua Duniani ya Uingereza halafu Waswahili wa Tanzania tuikatae?

Taratibu sasa naanza kuamini kuwa huenda Taifa letu lina bahati ya kuwa na population kubwa ya watu Milioni 61 na Vyuo Vikuu vingi ila wanaojielewa hasa wakawa hawazidi hata elfu hamsini (50,000).

Yaani DP World ashindwe kuharibu nchi ya Uingereza aliyomo (kiuwekezaji wa bandari) na nchi zingine 36 halafu akija Uswahilini Tanzania asiweze kufanya vyema huko aliko na alikofanya vyema?

DP World wapewe bandari tafadhali.
Nimesoma heading tu, mkataba ni wa miaka mingapi? Wamepewa Bandar ngapi Tanganyika? Wamepewa bandari ngapi Zanzibar?
 
Yaani DP World wawepo hadi nchi kubwa ya watu wanaojitambua Duniani ya Uingereza halafu Waswahili wa Tanzania tuikatae?

Taratibu sasa naanza kuamini kuwa huenda Taifa letu lina bahati ya kuwa na population kubwa ya watu Milioni 61 na Vyuo Vikuu vingi ila wanaojielewa hasa wakawa hawazidi hata elfu hamsini (50,000).

Yaani DP World ashindwe kuharibu nchi ya Uingereza aliyomo (kiuwekezaji wa bandari) na nchi zingine 36 halafu akija Uswahilini Tanzania asiweze kufanya vyema huko aliko na alikofanya vyema?

DP World wapewe bandari tafadhali.
DP World mkataba wao na Uingereza ndio huo huo ulijadiliwa na Wabinge wa CCM dodoma?
 
Yaani DP World wawepo hadi nchi kubwa ya watu wanaojitambua Duniani ya Uingereza halafu Waswahili wa Tanzania tuikatae?

Taratibu sasa naanza kuamini kuwa huenda Taifa letu lina bahati ya kuwa na population kubwa ya watu Milioni 61 na Vyuo Vikuu vingi ila wanaojielewa hasa wakawa hawazidi hata elfu hamsini (50,000).

Yaani DP World ashindwe kuharibu nchi ya Uingereza aliyomo (kiuwekezaji wa bandari) na nchi zingine 36 halafakija Uswahilini Tanzania asiweze kufanya vyema huko aliko na alikofanya vyema?

DP World wapewe bandari tafadhali.
GENTAMYCINE Soma mkataba wa DP world na Uingireza then ulinganishe na mkataba aliousaini Saa100 .

Ukimaliza kuusima UFUTE HIYO THREAD YAKO.

Ili uweze kutunza heshima yako humu Jf.
 
Attachments

Yaani DP World wawepo hadi nchi kubwa ya watu wanaojitambua Duniani ya Uingereza halafu Waswahili wa Tanzania tuikatae?

Taratibu sasa naanza kuamini kuwa huenda Taifa letu lina bahati ya kuwa na population kubwa ya watu Milioni 61 na Vyuo Vikuu vingi ila wanaojielewa hasa wakawa hawazidi hata elfu hamsini (50,000).

Yaani DP World ashindwe kuharibu nchi ya Uingereza aliyomo (kiuwekezaji wa bandari) na nchi zingine 36 halafu akija Uswahilini Tanzania asiweze kufanya vyema huko aliko na alikofanya vyema?

DP World wapewe bandari tafadhali.

Huo mkataba walio ingia na UK ni sawa na huu walioingia na sisi? Umejiuliza swali hilo? Au Mzee anafikiri kwa kutumia buttocks? Huu mkataba wa kipuuzi ndo hatuutaki! Mkataba utaisha mpaka shughuli zitakapokoma? Yaani siku bahari imekauka na meli hazina kazi obvious shughuli za bandari zitafika tamati. Mkataba wa hovyo sana huu; tafuta Mkataba wa UK na DP World ndo uje na hoja hapa sio unaropoka tu.
 
Yaani DP World wawepo hadi nchi kubwa ya watu wanaojitambua Duniani ya Uingereza halafu Waswahili wa Tanzania tuikatae?

Taratibu sasa naanza kuamini kuwa huenda Taifa letu lina bahati ya kuwa na population kubwa ya watu Milioni 61 na Vyuo Vikuu vingi ila wanaojielewa hasa wakawa hawazidi hata elfu hamsini (50,000).

Yaani DP World ashindwe kuharibu nchi ya Uingereza aliyomo (kiuwekezaji wa bandari) na nchi zingine 36 halafu akija Uswahilini Tanzania asiweze kufanya vyema huko aliko na alikofanya vyema?

DP World wapewe bandari tafadhali.
Ukisikia akili fupi ndio hizi sasa. We unadhani mikataba ni copy and paste itafanana? Unadhani treatment anayopewa mzungu we chausiku utapewa hiyohiyo? Ata mademu zako tu hauwatreat sawa. Kua na akili.
 
GENTAMYCINE Soma mkataba wa DP world na Uingireza then ulinganishe na mkataba aliousaini Saa100 .

Ukimaliza kuusima UFUTE HIYO THREAD YAKO.

Ili uweze kutunza heshima yako humu Jf.
Halinaga akili, kwanza ana heshima kwa kipi? Mpayukaji tu huyo.
 
Wewe ni mjinga huniambii akili zako zinaishia uko porini

Hujui hawa majangili ya kiarabu yamesitishiwa mikataba nchi nyingi kwa ufisadi na kufanya ujangili

Watanganyika wengi mna low iq ndio maana mnatawaliwa na watu wenye uwezo mdogo
 
Yaani DP World wawepo hadi nchi kubwa ya watu wanaojitambua Duniani ya Uingereza halafu Waswahili wa Tanzania tuikatae?

Taratibu sasa naanza kuamini kuwa huenda Taifa letu lina bahati ya kuwa na population kubwa ya watu Milioni 61 na Vyuo Vikuu vingi ila wanaojielewa hasa wakawa hawazidi hata elfu hamsini (50,000).

Yaani DP World ashindwe kuharibu nchi ya Uingereza aliyomo (kiuwekezaji wa bandari) na nchi zingine 36 halafu akija Uswahilini Tanzania asiweze kufanya vyema huko aliko na alikofanya vyema?

DP World wapewe bandari tafadhali.
Sikiliza hapa ujue sababu ya DP World kukataliwa..
 
watu wengi wanaopinga ubinafsishaji , ni watu ambao hawajui fedha zinavyoibiwa katika mashirika ya umma. yaani hawaelewi , hawajui kitu. Laiti ungejua usingepandisha mishipa kuponda suala la kubinafsisha bandari. UFI, URAFIKI, Tanganyika Parkers, Embassy Hotel,New Africa Hotel, Kilimanjaro Hotel, Air Tanzania, Sigara, Kampuni ya bia, NARCO, Yooote hayo yanakufa ni wizi na ubadhilifu katika mashirika ya umma.
unaetetea kutobinafsisha hujui lolote kuhusu waswahili. cha muhimu mkataba uwe na gawio stahili kwa nchi baaaasi. lakini kumuweka mswahili pale, yuko tayari kuuza crane apate hele ada ya Fesa Boys
 
Back
Top Bottom