DP World wawepo Uingereza kwa wanaojitambua halafu Waswahili wa Tanzania tuikatae?

Sikiliza hapa ujue sababu ya DP World kukataliwa..
uingereza hawajaingia nao mkataba kama wa kwetu pimbi wee. tunachogomba ni terms za mkataba, na sio uwekezaji wa dp world. akili zako ziko makalioni aisee.
 
Shida si kufanya vyema we popoma, embu tonyeshe mikataba ya hizo nchi unazosema tulinganishe, huenda ukawa haumo kati ya hao 50elfu uliotaja. Mbuzi wewe
 
Tunaogopa mirija yetu itakatwa.

Mfano ukiagiza mizigo/gari kutoka ng'ambo ikifika/likifika hapo siku ya kuchukua utakuta vifaa/mzigo kibao umechomolewa/vimechomolewa utatamani kuacha kulia.

Hata mali nyinginezilizofungwa jamaa wanapekenyua na kusepa nazo.

Urasimu ndio mahala pake bandarini.

Bandarini ni deal deal deal za kukera zinapigwa.

Sasa tukisikia wawekezaji wanakuja ni lazima tuwe na hofu juu ya wasiwasi ya kula bata na kuweka heshima mjini.

Kwa ajili ya masilahi ya baadhi yetu wajanja wa mjini, ni lazima tuwazie hatima yetu watakapoanza kazi hao wawekezaji, mirija yetu itakatwa.

Tafakuri inahitajika.
 
Umemjibu vizuri kabisa,...nilitaka mpa jibu linalofanana na hili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…