imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 55,997
- 88,219
Legacy mi arse nalThe legacy my friend The African legacy
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Legacy mi arse nalThe legacy my friend The African legacy
Hakuna cha mama wala nini, inahitajika mabadiliko ya sherea from the scratch system ni ile ile watu ni wale waleKama ni kweli, kama unavyosema, DDP ameamrishwa, hivyo ni kesi za kubambika, sasa washitakiwe kwa nini ili hali umeeleza wamepewa amri?!. Manyanyaso, maonevu, dhulma, kumbambikia watu kesi, kusotesha watu mahabusu, kutotenda haki etc, issues hizi huwa zinashughulikiwa na karma. Mama Samia hataki mambo haya, na keshaelekeza yaangaliwe na yamalizwe.
PEscrow: Tumuombee J. Rugemalila alindwe kwa nguvu na uweza wa Roho Mtakatifu!, Wema wake usimponze!
Wanabodi, "Wema usizidi uwezo!" ila pia too much of anything is harmful, hivyo "wema nao ukizidi, unaweza kukuponza!". Bwana Mungu alitupa amri kuu "mpendane"!, katika utekelezaji wa amri hii, kuna baadhi ya wenzetu waliojaaliwa uwezo mkubwa wa upendo, hadi kufikia level ya kuwa na "upendo...www.jamiiforums.com
Mkuu karma unafanya kazi kivyako na tumeona ukienda bila upendeleo.Kama ni kweli, kama unavyosema, DDP ameamrishwa, hivyo ni kesi za kubambika, sasa washitakiwe kwa nini ili hali umeeleza wamepewa amri?!. Manyanyaso, maonevu, dhulma, kumbambikia watu kesi, kusotesha watu mahabusu, kutotenda haki etc, issues hizi huwa zinashughulikiwa na karma. Mama Samia hataki mambo haya, na keshaelekeza yaangaliwe na yamalizwe.
PEscrow: Tumuombee J. Rugemalila alindwe kwa nguvu na uweza wa Roho Mtakatifu!, Wema wake usimponze!
Wanabodi, "Wema usizidi uwezo!" ila pia too much of anything is harmful, hivyo "wema nao ukizidi, unaweza kukuponza!". Bwana Mungu alitupa amri kuu "mpendane"!, katika utekelezaji wa amri hii, kuna baadhi ya wenzetu waliojaaliwa uwezo mkubwa wa upendo, hadi kufikia level ya kuwa na "upendo...www.jamiiforums.com
Rais alikuwa ni JK pekee hawa wengine ni waigizaji tupu, JK nakumbuka watu walipiga kelele kuhusu mama wa pesa ya mboga na Ezekieli Maige akawatoa haraka sn, ikaja akina Hamis Kagasheki naye akamtoka, Emmanuel Nchimbi jambo sikuwa nimepevuka sn lakini hayo matukio nayakumbuka sn, huwezi kuwa na DPP takataka kama Mganga kwenye ofisi za umma pamoja Ole Sabaya ni mpuuzi mkubwa sn na dharau kwa wananchi.Kama ni kweli, kama unavyosema, DDP ameamrishwa, hivyo ni kesi za kubambika, sasa washitakiwe kwa nini ili hali umeeleza wamepewa amri?!. Manyanyaso, maonevu, dhulma, kumbambikia watu kesi, kusotesha watu mahabusu, kutotenda haki etc, issues hizi huwa zinashughulikiwa na karma. Mama Samia hataki mambo haya, na keshaelekeza yaangaliwe na yamalizwe.
PEscrow: Tumuombee J. Rugemalila alindwe kwa nguvu na uweza wa Roho Mtakatifu!, Wema wake usimponze!
Wanabodi, "Wema usizidi uwezo!" ila pia too much of anything is harmful, hivyo "wema nao ukizidi, unaweza kukuponza!". Bwana Mungu alitupa amri kuu "mpendane"!, katika utekelezaji wa amri hii, kuna baadhi ya wenzetu waliojaaliwa uwezo mkubwa wa upendo, hadi kufikia level ya kuwa na "upendo...www.jamiiforums.com
Upo sahihi kabisa mkuu, tunaishi kwa hisani ya watawala, sheria za hovyo kabisa tena wamejitungia kinga za kutoshitakiwa.Hakuna cha mama wala nini, inahitajika mabadiliko ya sherea from the scratch system ni ile ile watu ni wale wale
Tubadili sheria zetu ziwe zenye kwenda na uhalisia wasasa, mambo yamebadilika jamani sasa ni karne ya 21
Imekuwa ni sehemu ya majambaziKwa miaka mingi huu upande wa pili wa Dola una matatizo makubwa.
Mhimili wMahakama unafikiri unawajibika kwa wanasiasa na serikali.
Mchawi ni katiba wazee tutafute mbadala wa katiba harakaHiyo taasisi ya DPP ni sehemu ya vitengo katili sana, na imekuwa ikitumika kukomoa na kuumiza wote wanatofautiana na viongozi wa serikali.
Tukimpata DPP asiye na maadili (ethics), hizi "Plea bargain" na "Nolle prosequi" zinaweza kumfanya kuwa billionaire. Nadha hata huyu Biswalo kazitumia sana hizi.DPP anaonekana kuwa na ushawishi au mamlaka zaidi kuliko mahakama.
Mahakama zetu haziwezi mshurutisha DPP
Nimefikiria ya akina Lugemalira nilipoona eti wameshindwa kufikia makubaliano
Najiuliza kwanini mahakama inashuhudia DPP akifanya mazungumzo ya kupanga bei na watuhumiwa?
Takukuru ingekua na meno wangemkamata huyo
Sheria yake afungwe mahabusu kwa miaka minne, wakati huo tukitafuta uchunguzi wa makosa.Tukimpata DPP asiye na maadili (ethics), hizi "Plea bargain" na "Nolle prosequi" zinaweza kumfanya kuwa billionaire. Nadha hata huyu Biswalo kazitumia sana hizi.
Pia Petro E. MselewaNiliskia Pascal Mayalla ni mwanasheria aliye bobea kutoka pale JALALANI japo alipata kura 2 kutoka kwa wajumbe ila naimani atakua na vifungu vya kukupa kwenye hili swala lako...
Una ABC zaidi kuhusu hili la kukaa kimya kwa muda baada ya agizo la president kuhusu kesi ambazo hazina msingi?Tayari leo Mh. Rais kapita nae. Imechangiwa pia na lile agizo la kufuta kesi zisizo kuwa na ushahidi jamaa kakaa kimya kama hakuna agizo toka kwa Mkuu wa nchi.
Mungu akuepushe usije kuingia kwenye mazingira ya "kubambikiwa" kesi au ndugu yako wa karibu asiingie kwenye mazingira hayo. Hadi Rais akaamuru hilo, anajua mazingira ya ubambikiaji wa kesi yapo.Kama walikula mzigo unaobebwa kwa sandarusi unawaonea hiruma ya nini?
Mkuu wamedhulumiwa watu wengi sana kwa kesi za uhujumu uchumi, kumbe lengo ni kupora mali zao au kudhulumu.Mungu akuepushe usije kuingia kwenye mazingira ya "kubambikiwa" kesi au ndugu yako wa karibu asiingie kwenye mazingira hayo. Hadi Rais akaamuru hilo, anajua mazingira ya ubambikiaji wa kesi yapo.
DPP haombi kwa mahakama kufuta kesi, anatoa taarifa kuwa anafuta kesi. rekebisha sentensi.DPP ana mamlaka ya kumwomba Jaji au Hakimu kufta kesi kama mkamataji hana lolote analofanya, ndani ya kipindi fulani.
Kesi haiwezi pelelezwa indefinately.
Sawa mkuu, tena hapo ndio inamuweka DPP katika picha mbaya zaidi, kwa kushindwa kufuta kesi zinazoenda miaka na miaka , kutokana na kutokuwepo upelelezi unaoweza kusimama makhakamani.DPP haombi kwa mahakama kufuta kesi, anatoa taarifa kuwa anafuta kesi. rekebisha sentensi.
mojawapo ya sababu za kufuta kesi inatakiwa kuwa ni maslahi ya umma. tuwe wakweli, kwa wale mashehe kwa mfano waliokuwa wanahatarisha usalama zanzibar kipindi kile wamesababisha watu kumwagiwa tindikali, makanisa kuchomwa na mambo machafu kibao, kati ya wao kutoka au kukaa ndani unafikiri maslahi ya umma yatakuwa ni yepi? DPP anayo mamlaka kufuta kesi lakini mamlaka hayo anatakiwa kuyafanya kwa kuzingatia vigezo fulani (public interest, kutenda haki n.k). hivyo ndivyo ninavyojua.Sawa mkuu, tena hapo ndio inamuweka DPP katika picha mbaya zaidi, kwa kushindwa kufuta kesi zinazoenda miaka na miaka , kutokana na kutokuwepo upelelezi unaoweza kusimama makhakamani.
Hisia ni kwamba wanafanya hivyo kwa maslahi yasiyojulikana.
Ndio maana lazima washitakiwe.
Kwani huyu Sigh si tuliambiwa kuwa aliandika barua kukiri makosa na kuomba msamaha? Sasa vipi mbona bado yumo ndani na watu wameshindwa kufata amri ya Magu ambae ndie aliekuja na nadhani hii ya kutaka wahalifu wakiri na kuomba msamaha na ndio waachiwe?Kuna kesi nyingi ambazo watu ambao wamebambikwa , na kuwa watuhumiwa wa karne, haziendi mbele wala hakuna kinachoendelea.
Kuna Kesi ya yule aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa RAHCO, Tito Benhadart, sasa mwaka unaenda wa tano.
Kuna wengine wengi tu Keko na Segerea.
Lakini funga kazi ni hii ya VIP na IPTL ya akina Rugemalira na Singh
Mimi si mwanasheria , lakini ntural justice inaonekana kama wako kizuizini kwa amri na si kwa kesi inayoeleweka.
Hapa naomba DPP na Jeshi la Polisi na hata Magereza wanaowakweka ndani watu bila kujua la kufanya kwa uonezi mkubwa , basi washitakiwe na hata na third party.
Mtu unapomuweka mahabusu , basi ijulikane kuwa kuna kesi ya kujibu.
Lakini watu wanakaa ndani kwa MIAKA MINNE au MITANO, polisi wanachunguza mpaka hawaoni makosa yalikofichwa .
Hapa basi aidha tuna Idara mbovu sana za uchunguzi kipolisi na wameshindwa ku build up a case kutokana na kosa, au ni ubambikwaji tu ambao hauna ushahidi wowote.
Hizi Idara za Mahakama , Polisi na kwa njia ya kusukumiziwa tatizo, Magereza, wamekuwa miungu watu ambao sasa wanajiona wako juu ya utu na sheria.
DPP ashitakiwe.
Mkuu ile ilikuwa coercion into admission.Kwani huyu Sigh si tuliambiwa kuwa aliandika barua kukiri makosa na kuomba msamaha? Sasa vipi mbona bado yumo ndani na watu wameshindwa kufata amri ya Magu ambae ndie aliekuja na nadhani hii ya kutaka wahalifu wakiri na kuomba msamaha na ndio waachiwe?