Yesu Anakuja
JF-Expert Member
- Apr 10, 2019
- 12,675
- 25,924
Nimeona mwanasheria mmoja hivi kwenye youtube (pete madeleka) anadanganya watu ati pesa hizo huwa zinalipwa kwa DPP, nijuavyo mimi pesa hizo ambazo hata mimi nimeshalipa kwa ndugu zangu, zinalipwa kweney account iliyoko hazina iliyofunguliwa na Treasury registrar. hela zile haziendi kwenye ofisi yeyote nyingine. au yule jamaa alikuwa anamaanisha nini?