Yesu Anakuja
JF-Expert Member
- Apr 10, 2019
- 12,675
- 25,924
Takukuru nao hawamuoni.Tukimpata DPP asiye na maadili (ethics), hizi "Plea bargain" na "Nolle prosequi" zinaweza kumfanya kuwa billionaire. Nadha hata huyu Biswalo kazitumia sana hizi.
Kama vile majaji wamekua watazamaji na wasikilizaji wa maamuzi ya DPP.DPP kawa Jaji sasa mikesi yake ya hovyo yeye ndio anaenda kuiamua sasa, hatari sana maisha yanakwenda kasi mno.
Wamelawitiwa sana kisheria , kumbuka alivyoenda kumtoa mahabusu usiku kesho yake akaapishwa ubunge na ndugwayKama vile majaji wamekua watazamaji na wasikilizaji wa maamuzi ya DPP.
Mganga ameuteka mhimili wa kutafsiri sheria
.Iandikwe hivyo kwenye vitabu vya kumbukumbu
Heshima kitu cha bure, huwezi kumuita mtu takataka au mpuuzi, huku ni kutukana!.Rais alikuwa ni JK pekee hawa wengine ni waigizaji tupu, JK nakumbuka watu walipiga kelele kuhusu mama wa pesa ya mboga na Ezekieli Maige akawatoa haraka sn, ikaja akina Hamis Kagasheki naye akamtoka, Emmanuel Nchimbi jambo sikuwa nimepevuka sn lakini hayo matukio nayakumbuka sn, huwezi kuwa na DPP takataka kama Mganga kwenye ofisi za umma pamoja Ole Sabaya ni mpuuzi mkubwa sn na dharau kwa wananchi.
Janja weed maneno makali kweli,hujauona huu mfungo mkuuWamelawitiwa sana kisheria , kumbuka alivyoenda kumtoa mahabusu usiku kesho yake akaapishwa ubunge na ndugway
sijawahi kuona wakili asiye na ufahamu kama huyu, vyote ameongea hapo ni sifuri kabisa.ndio maana mnashindwa kesi aisee.Inahitajika mjadala mzito na mkubwa sana kwa ukweli ulielezwa na mwanasheria huyu pmadeleka.
Waziri wa sheria na katiba inabidi ashughulikie haya yanayowatesa watuhumiwa wetu kwa mujibu wa sheria.
Huko Uhamiaji nako wajipange kujibu tuhuma hizi zilizoibuliwa na wakili huyu. Mengi aliyaysema juu ya uendeshwaji wa makosa ya jinai yana ukweli. Mfano mtu kupelekwa mahakamani ili hali hajathibitishwa kama kweli amekosa
Msikilize hapa akimwaga sumu kali on broad daylight
ALiyoyafanya ni mazuri? una mtetea mtu wa hovyo? mbona wewe ulipokuwa sawa kabla ya vipande 8 vya mkate tulikuwa tuna kuheshimu sn? kila mtu akale alikopeleka mbogaHeshima kitu cha bure, huwezi kumuita mtu takataka au mpuuzi, huku ni kutukana!.
P
Yana mwisho, na tumeuona.Kama vile majaji wamekua watazamaji na wasikilizaji wa maamuzi ya DPP.
Mganga ameuteka mhimili wa kutafsiri sheria
.Iandikwe hivyo kwenye vitabu vya kumbukumbu
Kweli hakuna marefu yaso nchaYana mwisho, na tumeuona.
Asante Mama.