4 7mbatizaji
JF-Expert Member
- Dec 8, 2019
- 8,406
- 9,619
PGO imekua shida mkuuWatafuta kesi nyingi sana maana zilifunguliwa kumfurahisha Mwendakuzimu bila kuzingatia vigezo muhimu.
Pia hakukua na jinai wala misingi muhimu. Kifo cha Magufuli ni neema kwa taifa.
Boya yule alifikiri nchi ni mali yake. Hata mke wake amenawiri baada ya kifo chake maana yake alimchosha mwanamke na vitasa.
Unapotendewa jambo jema, ustaarabu ni kushukuru kwa yote hata kama ulionewa. Natoa wito kwa Tundu Lissu, amshukuru sana Mama Samia
Ila pia sitashangaa iwapo shukrani haitatolewa kwasababu baadhi ya wenzetu hawana shukrani.
P
Chini ya Katiba hii ,hakuna namna rais aweza kwepa lawama ,KATIBA MPYA LAZIMA NA INAKUJA HAKUNA WA KUZUIAMama Samia anahusika vipi na maamuzi ya DPP?
Na mnapomlilia Mama SAMIA afute kesi ya Mbowe ni kwa lipi?
Achilia mbali kusema nimlete mama yangu.Boys mamako mwambie aje aone shugli
USSR
Amshukuru mama kwani alifanyaje mpaka akashitakiwa na kesi imefutwa kwa sababu gani?Unapotendewa jambo jema, ustaarabu ni kushukuru kwa yote hata kama ulionewa. Natoa wito kwa Tundu Lissu, amshukuru sana Mama Samia
Ila pia sitashangaa iwapo shukrani haitatolewa kwasababu baadhi ya wenzetu hawana shukrani.
P
Sio wengi wanajua chanzo, hicho anachofanya DPP ni kitendo tuu sio chanzo.Mama Samia anahusika vipi na maamuzi ya DPP?
Mwenyewe kasema zimebaki kesi nyingine tano...Ni jambo jema!
Tundu Lisu na familia yake warudi nyumbani sasa!
Kwanza mkamate na kuwafungulia kesi waliotaka kumuua bila hivyo itakua ni uongo..miaka 4 yote mnataka kusema mmeshindwa???
Anaemlilia ni nani,? Tunasema KESI ya mh Mbowe ifutwe, lengo ni kulinda heshima ya TZ ya kesho ,kwani SSH rais ni nchi?Labda ili kuiepusha serikali yake na aibu inayoendelea mahakamani!
Vinginevyo, sio kazi ya Samia.
Mama anaupigaNi jambo jema!
Tundu Lisu na familia yake warudi nyumbani sasa!
Hivi tunapataje PGO maana naona ni msaada sana huko tuendako, mwenye nayo aweke nakala hapa plz!!!DPP kaogopa yasimtokee yale ya PGO